Niliyoyaona nchini German katika tour yangu

Niliyoyaona nchini German katika tour yangu

What pure German. Au unamaanisha ya darasani. Huku hata ukae Miaka 20 hutaweza kukijua kijerumani kikamilifu. Na inakuwa shida kubwa kwasababu ya Lugha mahalia. Kijerumani kina kuwa cha Mahali fulani.
ana ki master vizur kigumu sana
 
Acha kuandika kifesibuku dogo,hii ni jamiiforums usifananisha na huko fesibuku unakoshinda kutwa una like mitindo ya nguo na nywele,usishushe hadhi ya JF limbukeni wewe.
MBNA povu sana mzee? au vyuma vimekaza? Haya nifuate pm nikupatie million mbili upate mtaji wa kulimia mahindi hapo songea maana naona roho inakuuma sana kuona Uzi huu
 
Ujamalizia stori, ulipofika kilimanjaro Airport kipindi unarudi, hujasema ulipanda nini kwenda home. Au ulipanda bombadia. Kamilisha story bro
 
kwahiyo nikiwa na mwenyeji ndio kigexo cha mm kuvunja sheria? visa ilikuwa ya 19 days tu kua na mwenyeji sio ticket ya kuvunja sheria nchi za watu natii sheria niliondka cku NNE kabla
watz n watu wa ajabu sana dah
Acha tu aise..ila sio wote baadhi tu
 
Kuhusu Hiyo Nauli angalia tena Labda hujalipa wewe Muulize alikipia alilipa kiasi gani Kiasi hicho ni kikubwa sana kwa one way route. Halafu kwa visa yako ya matembezi huwezi pata one way ticket. Labda kama one way yako ulimaanisha kitu kingine.
 
Wakuu mpo pouwa?
Miez miwili iliyopita nilikuwa na tour yangu binafsi nchini Ujerumani, safari yangu ilianzia ktk uwanja wa kimataifa wa Kilimanjaro airport hadi Dubai nikitumia Ethiopian airline.

baada ya kufika Dubai nilichukua air Berlin hadi uwanja wa kimataifa wa Frankfurt ujerumani
nilikaa mjini Frankfurt siku mbili kabla ya kupanda treni ya umeme hadi ktk mji uitwao Cologne (koln) ambapo nilikutana na ndugu yangu ambaye ni padre wa kanisa katoliki.

Nilichokiona huko ni kuwa watu wa kule wapo busy sana hawana hata sekunde moja ya kupoteza, wanachakarika sana yaani, vile vile sitasahau siku hiyo nikiwa natoka Frankfurt kwenda koln niliporwa Pesa kama dola 200 nilikuwa nimeziweka mfuko wa mbele wa shati kumbe kuna vibaka kama huku sema wapo more advanced

Mwenyeji wangu aliniambia kuwa vibaka na matapeli wapo sana tu

Siku moja tukasafiri hadi mjini Dortmund kumsabahi padre mmoja hivi mtanzania jina lake padre Mosha nilienjoy sana siku hiyo nilipelekwa hadi uwanja wa mpira ktk mechi ya Borrusia Dortmund ilikuwa ikicheza na timu iitwayo Hertha Berlin ktk uwanja uitwao signal iduna arena hapo mjini Dortmund

Nilimuona live Aubemyang aliekuwa mchezaji wa Dortmund kabla ya kuja Arsenal

Basi nilimaliza ziara yangu ya siku 15 huko German na nikarejea bongo wakati nikirudi nilitumia etihad aiways nikapita Amsterdam Uholanzi then tukapumzika kidgo safari ikaanza hadi Dubai baadae. Nikachukua Ethiopia airline hadi Kilimanjaro international airport
I enjoyed my tour.
sawa mkuu
 
MBNA povu sana mzee? au vyuma vimekaza? Haya nifuate pm nikupatie million mbili upate mtaji wa kulimia mahindi hapo songea maana naona roho inakuuma sana kuona Uzi huu
Acha ushamba wewe limbukeni,mimi nipo majuu kitambo tu na box napiga kama kawa,sio wote washamba kama wewe kujitangaza,ingekua wote tunao safiri tunaanzisha thread kama wewe nadhani humu jf kungekua na thread za aina moja tu.
 
Kuhusu Hiyo Nauli angalia tena Labda hujalipa wewe Muulize alikipia alilipa kiasi gani Kiasi hicho ni kikubwa sana kwa one way route. Halafu kwa visa yako ya matembezi huwezi pata one way ticket. Labda kama one way yako ulimaanisha kitu kingine.
Huyo dogo anajichanganya sana na njia ya muongo ni fupi sana,visiting visa ukate one way?! Huyu kasikia story kwa mtu kisha akaichukua na kuifanya yake halafu akaileta humu bila kujua kua jf kuna ma great thinker.
 
eh eh dogo yupo ujeruman anaibiwa dollar za marekani na jinsi nchi ilivyostrict kwe kutumia hela yao anazingua dah....watu tulizunguka uholanzi ubelgiji uswis trip tukaona ujinga tu bora tuje pambana na hali zetu Tanzania
 
Acha ushamba wewe limbukeni,mimi nipo majuu kitambo tu na box napiga kama kawa,sio wote washamba kama wewe kujitangaza,ingekua wote tunao safiri tunaanzisha thread kama wewe nadhani humu jf kungekua na thread za aina moja tu.
upo nchi gan
 
eh eh dogo yupo ujeruman anaibiwa dollar za marekani na jinsi nchi ilivyostrict kwe kutumia hela yao anazingua dah....watu tulizunguka uholanzi ubelgiji uswis trip tukaona ujinga tu bora tuje pambana na hali zetu Tanzania
ckuwa nimebadli maana nilikuwa mgen
 
Kuhusu Hiyo Nauli angalia tena Labda hujalipa wewe Muulize alikipia alilipa kiasi gani Kiasi hicho ni kikubwa sana kwa one way route. Halafu kwa visa yako ya matembezi huwezi pata one way ticket. Labda kama one way yako ulimaanisha kitu kingine.
nimeeleza n nauli jumlisha hotel ya nyota mbili jumlisha dola 200 nilizoibiwa jaman ka million 5 hakaishi?
 
nimeeleza n nauli jumlisha hotel ya nyota mbili jumlisha dola 200 nilizoibiwa jaman ka million 5 hakaishi?
hotel inaitwaje na ulibook huku au?
"etihad aiways nikapita Amsterdam Uholanzi then tukapumzika kidgo safari ikaanza hadi Dubai baadae. Nikachukua Ethiopia airline hadi Kilimanjaro international airport" na huu mparanganyikoni ulikua unabadili ndege kama daladala nn au etihad iliisha mafuta dubai ndo ukachukua E.T
 
ngoja baadae nitasoma hilo jina LA hotel ktk risiti n jina gumu
kuhusu etihad nilibadili kwakuwa etihadi ilikuwa inaenda Nairobi
 
Back
Top Bottom