Niliyoyaona kwenye Jukwaa la Siasa

Niliyoyaona kwenye Jukwaa la Siasa

Kwa namna fulani alichoandika mleta mada nakubaliana nae jambo moja, ambalo hata mimi nimeli-observe recently; wengi humu uwezo wa kuchambua hoja ni mdogo sana.

Wanatazama zaidi hoja iliyopo mezani imeletwa na nani, kama ni wa upande wao/ mtu wao, watampa "like" hata kama alichoandika hakijitoshelezi, hii inasababishwa either na uwezo mdogo wa kufikiri, au mahaba yaliyopitiliza.

Sent using Jamii Forums mobile app
unajua mkuu mjadala ukishahusisha siasa au dini,watu wanataka kusikia au kuambiwa yanayowafurahisha tu na ndiyo maana mijadala ya aina hii huishia watu kutukanana na kutoleana maneno ya hovyo.na ndio kama mleta mada,anataka watu wajadili vitu kwa namna anavyoelewa yeye ni si kutaka kusikia idea mpya.na ndicho tunacholumbana hapa,kama hukubaliani na hoja reference zipo unaileta hapa watu wanapata idea mpya,siyo kuishia kuitana majina ya kukera kama dogo au bwana mdogo ilhali hatufahamiani.
 
Hapa natakka kujadili ule ukweli na sio kama sio upotoshaji unao uandila hapa, yaani umetoa maana ya Siasa, hata akili yako kama iko salama lazima itapingana naaana uliyo itoa.
 
Kiongozi yoyote hata baba mwenye ngumba ni kiongozi katika nyumba yake, hutakiwi kumkosoa hadharani, kwanza si adabu pili, kiubidamu ni vigumu sana mwanadamu kuvumilia fadheha. Hapa inabidi tuwe wa kweli, hata wewe kama unafikri kwa uzuri, kukosolewa kwenye faragha huwa kunaleta uzito kuliko hadharani, ukizingatia maslahi na madhara, njia ya kukosolewa kwenye faragha huwa ni bora na ina natija sana kuliko njia hii ya pili.

Nimesema huko juu, ukiona mna kiongozi muovu mjue na nyinyi raia ni waouvu kama yeye au zaidi yake.

Duniani kumepita visit ngozi wagumu wa mioyo mpaka leo ardhi inashuhudia hilo, tatizo njia mnazotumia si sahihi. Haya maneno yalishaandikwa na walio faulu katika utawala, na kalamu zimenyanyuka na wino umekauka kitambo sana. Wapo viongozi wao kuuwa mtu hadharani ilikuwa sio tatizo, lakini wapo watu waliwafungia safari na kuwapa nasaha, hutakiwi kuogopa wa kumuogopa kiongozi kama wewe ni muhusika na una vigezo vya kuweza kumpa nasaha kiongozi, una mpaka, akikubali hilo ndio zuri na bora zaidi, akikataa weww wajibu wako umeondoka.

Uzuri haki na ukweli huu haubadiliki na utabakia hapa hapa, walaumu watakao laumu.

Kulipuliwa sio hoja hoja wamenilipua kwa nini, kuna watu aina nne katika maarifa na kujua mambo, ila mule siasani, kuna watu wanajidai wanajua na hawajui kama hawajui, watu wa hivi ni WAPUMBAVU na mpumbavu huwa aana puuzwa.

Angali hivi kuna tatizo kubwa kuliko la mtu kujiona anajua halafu hajui kama hajui, aisee bora uwe chizi kabisa.
Kuna tofauti sana kati ya kiongozi na baba. Uongozi ni kazi ambayo mtu anaiomba, lakini ubaba hauombwi ni position ambayo inamtokea mtu naturally. Hivyo lazima uelewe tofauti hiyo.

Ukiwa baba sio siri kwamba wanafamilia wako wote ni wadogo kwako na hapo heshima ya wewe kuheshimiwa kama mkubwa kiumri kwa mwana familia yako inakuja automatically wala haihitaji kutungiwa katiba.

Hivyo kunapokuwa na discussion ya jambo lolote linalohusu familia wanafamilia watakupa heshima yako kama baba bila shuruti ya katiba wala nini.

Sasa tunapokuja kwa kiongozi wa kisiasa, kwanza yeye ndiye ameomba hiyo kazi ya kuiongoza jamii, na hivyo, jamii inayo haki, na wajibu wa kuhoji, kukosoa na hata kukemea kwa uwazi, pale kiongozi wao anakuwa anakiuka mkataba alioingia dhidi ya anaowaongoza. Maana wakati anaomba hiyo kazi hakuomba kwa siri na wala hakupewa kwa siri. Kulikuwa na ushindani wa wazi na yeye ndiye aliyeshinda kwa uwazi.

Sasa haingii akilini kwamba kiongozi anapoharibu basi anawaongoza wanyamaze kimya au wasubiri mpaka watakapopata nafasi ya kumshauri/kumhoji/kumkosoa/kumkemea kwa siri ndiyo wafanye hivyo.

Muhimu kuzingatia kwamba unapotaka kazi ya kuongoza jamii, tambua miongoni mwa utakaowaongoza wapo watu waliokuzidi umri, wengine wamekuzidi hata elimu, na upeo wa kufukiri, sasa kusema kwamba hao wote utawaongoza kwa namna unavyotaka wewe, halafu wanyamaze tu, huko ni kujilisha upepo.

Binadamu hawajaumbwa kunyamaza tu hali wanaona kiongozi wao hafuati misingi ya uongozi.

Uongozi ambao hauwezi kuhojiwa, kukemewa au kukosolewa ni uongozi katika kampuni binafsi uongozi ambao si wa kisiasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa natakka kujadili ule ukweli na sio kama sio upotoshaji unao uandila hapa, yaani umetoa maana ya Siasa, hata akili yako kama iko salama lazima itapingana naaana uliyo itoa.
na mimi naona kuwa unapotosha ndo maana tunabishana hivyo ukiwa unajadili vitu sensitive ni vyema ukiona watu hawakubaliani na concepts zako ni vyema ukaweka na rejea za kusapoti.kiufupi sikubaliani na wewe sababu na mimi naelewa kwa maana nyingine.by the way don't judge my IQ
 
Hapa natakka kujadili ule ukweli na sio kama sio upotoshaji unao uandila hapa, yaani umetoa maana ya Siasa, hata akili yako kama iko salama lazima itapingana naaana uliyo itoa.
kwa kukusaidia zaidi(kama utaelewa)
Politics (Greek: Πολιτικά, politiká, 'affairs of the cities') is the set of activities that are associated with the governance of a country, state or area. It involves making decisions that apply to groups of members and achieving and exercising positions of governance—organized control over a human community.
Kwa mujibu wa kamusi

Maana nyingine
activities aimed at improving someone's status or increasing power within an organization.
 
Kwahiyo kumbe siasa inachukua sura mbili,sura ya kwanza ni katika uongozi sura ya pili ni sura ya kiharakati katika kutaka kufikia kuongoza jamii
 
ashauriwe kisir? Kiongoz anaedhalilisha watu na kuvunja hak za binadam ashauliwe kwa sir? Kiongoz alietangaza hadharan kuwa hapangiw ashauriwe kwa sir?huo ulikuwa uongoz wa kifalme si wa sasa!! Weka kumbkumbu wale wanaompamba sasa ndio watakao mponda sana madaraka yakiisha!
 
Kuna tofauti sana kati ya kiongozi na baba. Uongozi ni kazi ambayo mtu anaiomba, lakini ubaba hauombwi ni position ambayo inamtokea mtu naturally. Hivyo lazima uelewe tofauti hiyo.
Hapa kazi ipo aisee, kwahiyo baba sio kiongozi wa nyumbani kwake sio ? Hivi kwanini hamsomi mkaelewa mambo ?

Viongozi wanao teuliwa wale unawaweka katika kundi gani sio viongozi kisa hawaja omba ? Kiongozi ni yule yeyote mwenye kuwaongoza watu ba kuwasimamia.
Ukiwa baba sio siri kwamba wanafamilia wako wote ni wadogo kwako na hapo heshima ya wewe kuheshimiwa kama mkubwa kiumri kwa mwana familia yako inakuja automatically wala haihitaji kutungiwa katiba.
Nini maana ya kiongozi maana naona unazidi kukosea ? Hili sharti la kiongozi mpaka aombe umelitoa wapi ? Kichekesho kingine katika Demokrasia (Ushetani) hivi fikiria inakuwaje mtu anaomba kuwa kiongozi ? Unaona nini katika kitendo hiki ?
Sasa haingii akilini kwamba kiongozi anapoharibu basi anawaongoza wanyamaze kimya au wasubiri mpaka watakapopata nafasi ya kumshauri/kumhoji/kumkosoa/kumkemea kwa siri ndiyo wafanye hivyo.
Hakuna aliye sema wanyamaze bali watumie njia nzuri kumkosoa na kumkosoa kinda ngozi hadharani kwa namna yoyote ile sio adabu.

Pili, sio kila mtu ana sifa ya ukososaji au kuwa mkosoaji, miongoni mwa sifa za wakosoaji, lazima wawe na maarifa makubwa kuhusu uongozi, wawe na uchungu na jamii husika, kisha ndio wanakuwa wanawawakilisha raia wengine.
Binadamu hawajaumbwa kunyamaza tu hali wanaona kiongozi wao hafuati misingi ya uongozi.
Binadamu wameumba kufanya vizuri katika kila jambo na hiyo ndio huitwa adabu, ila sio kuongea ongea hovyo na kujitutumua.
Uongozi ambao hauwezi kuhojiwa, kukemewa au kukosolewa ni uongozi katika kampuni binafsi uongozi ambao si wa kisiasa.
Hii sio kweli kabisa hakuna mtu asie kosolewa, ndio maana kwenye kampuni kuna vikao vya board na kuweka mambo sawa.

Kaka mkubwa nasikitika sana ya kuwa hujui maana ya Uongozi,halafu unaujadili uongozi.
 
Anakosoa kama mlipa kodi.
Wewe Zurri huwezi kufundisha watu adabu.
Hii ndio adabu, maana nitakuuliza wewe una kosoa kama nani ?

Tatizo ujuaji unakuwa mwingi, halafu mbele giza. Maana ya adabu ni kulifanya jambo kwa uzuri zaidi.
 
na mimi naona kuwa unapotosha ndo maana tunabishana hivyo ukiwa unajadili vitu sensitive ni vyema ukiona watu hawakubaliani na concepts zako ni vyema ukaweka na rejea za kusapoti.kiufupi sikubaliani na wewe sababu na mimi naelewa kwa maana nyingine.by the way don't judge my IQ

Reja ziko wazi sana kiasi ambacho hakuna haja ya kuziweka, kama ilivyo uwazi wa maji, hivi leo unaweza kutaka ushahidi au upewe ushahidi wa kuwa maji ni nini ? Au umezaliwa au hujazaliwa au jua liko juu au ? Sasa mambo mengine yako wazo mno. Rejea kokote nilikwambia jana uweke maana ya Siasa ambayo haina maanishi usamizi wa jamii na kuwaongoza, ndio maana jana nikakuuliza hivi kwahiyo kila mwana siasa ni mwanaharakati ? Hukujibu hili swali.
 
Anakosoa kama mlipa kodi.
Wewe Zurri huwezi kufundisha watu adabu.
Hata wake zangu na watoto zangu nao ni watu, nawafunza adabu. Kwahiyo adabu nawafunza tunza tu kama hivi, mkikubali sawa msipokubali pia sawa, ila ukweli umefika.
 
kwa kukusaidia zaidi(kama utaelewa)
Politics (Greek: Πολιτικά, politiká, 'affairs of the cities') is the set of activities that are associated with the governance of a country, state or area. It involves making decisions that apply to groups of members and achieving and exercising positions of governance—organized control over a human community.
Kwa mujibu wa kamusi

Maana nyingine
activities aimed at improving someone's status or increasing power within an organization.

Politics is the study of the ways in which countries are governed.

Sasa weka uana harakati katika hilo tamko siasa.
 
Maana nyingine
activities aimed at improving someone's status or increasing power within an organization
Kwahiyo mwisho wa huyo mtu ni kuwa nani ? Jibu rahisi kuwa kiongozi na kusimamia mambo ya watu, ndio maana nikasema hivi weka maana ya siasa ambayo msingi wake sio uongozi na kusimamia mambo ya watu.

Sasa kuna kituko kingine nimekiona humu mwenzako mmoja anasema baba nyumbani sio kiongozi, na kiongozi lazima uombe, aisee,halafu niende kujadiliana mambo na watu wa siasa huku kukoseana adabu, sisi wengine kwenye hizi vurugu zenu huwa tunaomba amani tu, ili mambo yetu yaendelee kufanyika na shughuli zetu pia.
 
Politics is the study of the ways in which countries are governed.

Sasa weka uana harakati katika hilo tamko siasa.
Nikisema harakati namaanisha mchakato wa mtu au kundi la watu ambao wamejitoa kufuatilia jambo fulani katika jamii.nadhani ulivyokuwa unasikia HARAKATI ulikuwa unajua ni fujo tu!
 
Nikisema harakati namaanisha mchakato wa mtu au kundi la watu ambao wamejitoa kufuatilia jambo fulani katika jamii.nadhani ulivyokuwa unasikia HARAKATI ulikuwa unajua ni fujo tu!
Ukishakuwa mwanasiasa maana yake umejitoa kwa ajili ya kujiandaa kuongoza jamii au kuweka mawazo yako katika kuimprove ustawi wa jamii maana yake ni SIASA NI HARAKATI
 
Ninachokiona kwako umekwama na hutaki kwenda na wakati !!. Kiongozi unapokubali kazi ya kuongoza watu (nchi), ukubali pia na kukosolewa. Na si kusifiwa tu hata pale unapoenda kinyume. Unaongoza watu siyo kondoo wa kuswaga. Kwa karne hii kiongozi lazima akosolewe

Kama kwenye halmashauri na bungeni, ambako ilitakiwa ukosoaji uwepo kikatiba na kwa utaratibu hakutakiwi ukosoaji bali kuunga juhudi, wananchi wafanye Je wanapokuwa na dukuduku na yanayoendelea ?!

Usiishi karne ya wafalme , hii ni ya viongozi. Na kiongozi ni kuonyesha njia siyo kutukuzwa [emoji120][emoji40]

Odhis *
Wewe Jaduong unamlenga JPM kwani yeye hakosolewi? Kosoa lakini kwa lugha ya staha wala sio kwa matusi.
 
Nikisema harakati namaanisha mchakato wa mtu au kundi la watu ambao wamejitoa kufuatilia jambo fulani katika jamii.nadhani ulivyokuwa unasikia HARAKATI ulikuwa unajua ni fujo tu!
Tenganisha harakati na fujo.

kwahiyo shughuli zote ni harakati sio ?
 
Ukishakuwa mwanasiasa maana yake umejitoa kwa ajili ya kujiandaa kuongoza jamii au kuweka mawazo yako katika kuimprove ustawi wa jamii maana yake ni SIASA NI HARAKATI
Tatizo lako unabaki kwenye definition tu,haungii kiundani kusoma na kuelewa zaidi
Mwanasiasa siyo lazima awe kiongozi bali hata kushiriki mijadala muhimu kitaifa,kukosoa na kuleta mawazo mbadala kuhusu uongozi wa jamii.chama cha siasa ni medium katika kufanikisha hayo.pia inategemea na aina ya siasa ambayo jamii/nchi husika inafuata
 
Tenganisha harakati na fujo.

kwahiyo shughuli zote ni harakati sio ?
Siyo zote,bali shughuli zinazohusu maamuzi makubwa ya kitaifa,usimamizi na utekelezaji wa sera ndizo shughuli za kisiasa
 
Back
Top Bottom