Niliyoyaona kwenye Jukwaa la Siasa

Niliyoyaona kwenye Jukwaa la Siasa

Siasani kumejaa upuuzi tupu, mara nyingi wanatambuana kwa uccm na uchadema wao, upumbavu mtupu. Hakuna kutumia logic siasani, ukitoa hoja mtu anaruka tu "wewe ni chadema"
Poleni muwe wavumilivu siasa imnataka mtu mwenye uwezo wa kusikia yale asiyopenda kuyasikia na kuyasikia yale anayopenda kuyasikia bila kuwa na mihemuko yoyote. Ndiyo maana kuwa mwanasiasa kunahitaji kuwa na ngozi ngumu na uvumilivu wa kisiasa.
Siyo kila hoja ya kuijibu
Na siyo kila hoja ya kuipuuzia.

Binafsi nina miaka karibuni 8 sijawahi kutoa uzi wowote kwasababu bado naendelea kujinza!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui alipo, kwani katika ukosoaji wake alimfata kiongozi husika au hata kumuandikia barua, sasa unapokuwa mupga lazima ufundishwe kuwa jasiri,unatiwa adabu tu, ili siku nyingine ukitaka kukosoa mfate muhusika mkae meza moja.

Ndio uone kwamba alitumia njia ambayo sio sahihi, ndio maana akatiwa adabu na huu ndio usahihi.

Pili, wakosoaji nyinyi ambao mnaakili za panzi,yaani hamjui kuangalia maslahi ya wengi zaodi ya vurugu na ujuaji mwingi, sasa kujadiliana na wajinga kama nyinyi ni kuihujumu akili.
Eti tuna akili za panzi. Sasa kama tuna akili za panzi wewe ndiyo unajiona una akili za nini?
 
Sasa hii ndio nidhamu ya uoga mzee, mnajificha mitandaoni, kiongozi anakolewa wa kumfata na kukaa nae meza moja. Sasa utaona nani ana nidhamu ya uoga,mnaojificha nyuma ya "keyboard" na mfano wenu na wale wanao mfata Kiongozi kwa siri na kumsahihisha. Mkiambiwa nyinyi wajinga watu wa fujo mjue hatuwadhulumu bali tunawapa haki yenu.

Ahsante.

Ww mwenye nidhamu isiyo ya woga na unasifia mbona umekuja na fake I'd kama sisi? Peleka uduwanzi mbali.
 
Siitumii kukosoa utawala kama nikitaka kuukosoa utawalla natumia njia bora zaidi na yenye tija.

Sasa tuliza kichwa na ujue naongelea nini humu.
 
Hanithi tu huna lolote ngiri jike ww.

Kijana mwepesi sana kwa hoja,unachokifanya ni matokeo ya wazi ya kushindwa hoja na kutokuwa mvumilivu, kama tupo mchezoni hapa nimechukua point 3 muhimu, mimi nakupa udhuru kweli wewe hayawani.

Nacheka sana.

Tuendelee na mjadala.
 
Ungekuwa na hoja usingechomeka lugha za kipuuzi, tunakujibu kulingana na upuuzi wako. Kwa taarifa yako hapa ni kama unaanika nguo kavu.
 
Masiku yamepita na miezi imepita, nafsi ina sita lakini akili na moyo vinanisukuma kuandika jambo kuhusu niliyo yaona kwenye jukwaa la siasa humu JF na katika hili nafsi ikashinda, ila leo nikakumbuka kitu fulani kilicho nitokea baada ya kuhoji jambo fulani katika uzi fulani (Sikumbuki jina la uzi) nilijibiwa shombo, nikasema sitachangia kitu katika jukwaa hili sababu watu wamekaa kihamasa zile hamasa hasi, mihemko, ushabiki, chuki, na wanao hoji basi wanahoji kisengemneke.

Kwa ufupi niliyo yaona wengi wameyaona na wanaendelea kuyaona na wataendelea kuyaona, kwani yako wazi sana, ila haya yafuatayo watu wanatakiwa kuyajua na kinyume cha hayo ni uongo wa wazi.
  1. Siasa imegawanyika sehemu kuu mbili, inayofaa na isio faa. Lakini kabla sijagusia siasa inayo faa na isio faa, basi ni nini maana ya tamko Siasa ?
  • Siasa maana yake ni usimamizi wa jambo fulani kwa kufata utaratibu fulani.
  • Siasa iso faa hii kwa jina lingine huitwa siasa ya Kishetani humo inaingia Demokrasia na mfano wake. Siasa inayo faa inayo faa sitaigusia kwani ni kinyume cha ile isio faa.
Yafuatayo tunatakiwa kuyazingatia na kuyajua

  1. Ukiona mna kiongozi au mtawala muovu, asie muadilifu ujue na nyinyi raia mna tabia kama za kiongozi wenu. Huu ukweli haupingiki. Sasa kutatua hili inabidi kwanza nyinyi raia mbadilike.
  2. Kiongozi au mtawala hakosolewi kwenye majukwaa, yaani hadharani, kiongozi anakosolewa kwa siri tena na watu wenye maarifa mapana, wenye uchungu wa dhati na mustakabali wa taifa na watu wa taifa. Hapa najua mtasema mnafata demokrasia, huu ni mfumo wa kishetani mfumo usio faa kutawala watu, na hakuna uhuru usio na mipaka, huo tunaita utumwa wa kujitakia.
Maneno machache ni yale yenye faida na yenye kueleweka na haya ndio maneno bora.

Ahsanteni.
Watu wangapi wana access ya kuongea na viongozi wao sirini.?
 
Hivi kama Nyerere na mawazo yake mapana angewakosoa wakoloni kwa siri tungepata uhuru? Hivi Idd Amini wakosoaji wake walipaswa wamkosea kwa siri? Mobutu, Nguema, Intarahamee ya Rwanda nk. Nk.
Dah ni ushauri wa ajabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kama Nyerere na mawazo yake mapana angewakosoa wakoloni kwa siri tungepata uhuru? Hivi Idd Amini wakosoaji wake walipaswa wamkosea kwa siri? Mobutu, Nguema, Intarahamee ya Rwanda nk. Nk.
Dah ni ushauri wa ajabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tutaendelea na moto huu huu mpaka Jiwe atoke Ikulu. Hatupoi wala hatupunguzi kasi. Kama kufa tutakufa lakini hata wauaji nao watakufa.
 
Ungekuwa na hoja usingechomeka lugha za kipuuzi, tunakujibu kulingana na upuuzi wako. Kwa taarifa yako hapa ni kama unaanika nguo kavu.
Ni chizi pekee ndio anaweza kuanika nguo kavu.

Ndio maana sijakutukana, mwenye akili hawezi kumtusi chizi, ndio maana nimekupuuza.

Wewe ukitukana mimi sikutusi, sababu huku kwetu "tusi" ni "Jeneza". Kwahiyo tuendelee.
 
Watu wangapi wana access ya kuongea na viongozi wao sirini.?
Hata akiwa mmoja, huyo huyo ndio amfikishie habari kiongozi.

Tatizo watu wanajiona jukumu la ukosoaji ni la kila mtu, huku ni kujidanganya, kama mnakubali kwa kufata mfumo wenu wa kidemokrasia wa kuwa wawakilishi bungeni, basi ni bora zaidi pia mkawa na wawakilishi kwa ajili kukukosoa utawala kwa siri.

Lakini wengi hawajui tu, asili ya wingi ni jinsia ya "kike" hauna mdhara na ni dhaifu,na huu wingi wa kelele za ukosoaji ni wingi huo huo.
 
Hivi kama Nyerere na mawazo yake mapana angewakosoa wakoloni kwa siri tungepata uhuru? Hivi Idd Amini wakosoaji wake walipaswa wamkosea kwa siri? Mobutu, Nguema, Intarahamee ya Rwanda nk. Nk.
Dah ni ushauri wa ajabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kunithibitishia ya kuwa ukosoaji wake wa dhahiri ndio ulikuwa sababu ya kupewa uhuru ?

Sio tu Idd Amini kiongozi yoyote awaye anatakiwa kufatwa na kukosolewa sio hizi kelele za vyura. Na kumfata kiongozi na kumkosoa hii ndio adabu na ndio ujasiri.
 
Nenda Mirembe ukapime. Tatizo mpumbavu ni kama kichaa yeye hajijui kama ni kichaa ila watu wengine wote wanajua ni kichaa.

Naona unakosea katika kukosoa, hili tatizo lingine, jaribu kujenga hoja.

Tuendelee....
 
Mimi nashauri moderators wawe wanafuta nyuzi na michacho yenye matusi
 
Hata akiwa mmoja, huyo huyo ndio amfikishie habari kiongozi.

Tatizo watu wanajiona jukumu la ukosoaji ni la kila mtu, huku ni kujidanganya, kama mnakubali kwa kufata mfumo wenu wa kidemokrasia wa kuwa wawakilishi bungeni, basi ni bora zaidi pia mkawa na wawakilishi kwa ajili kukukosoa utawala kwa siri.

Lakini wengi hawajui tu, asili ya wingi ni jinsia ya "kike" hauna mdhara na ni dhaifu,na huu wingi wa kelele za ukosoaji ni wingi huo huo.
Mmoja?.!
In a country with 55Million plus people?!
I mean kuna issue chache hivyo ..?.

okay fine wawakilishi wabunge...how effective is it?.

siungi mkono ukosoaji ulio 'out of proportion' na usio na staha..but hey tunaishi nyakati tofauti...heri ungesema watu waboreshe namna ya ukosoaji..wawe 'objective' na issues nk

sometimes baadhi ya Viongozi pia wanafedhehesha/wanakosoa wenzao hadharani na inageuka kuwa tamaduni/culture ya taifa...kufedheshana..watu wanawinda mabaya yako ili wakukosoe pia....

tunaacha utamaduni wa kuboresha mambo watu wanajikita kwenye kufedheheshana,..

Nchi ya wengi...tegemea maoni mengi pia
 
Mmoja?.!
In a country with 55Million plus people?!
I mean kuna issue chache hivyo ..?.
Haswaa, bila shaka.
okay fine wawakilishi wabunge...how effective is it?.
Utaratibu ni huo huo, kama wanazembea wawakilishi, basi wanachaguliwa wawakilishi ambao viongozi wao ni wabunge wanaenda kwa siri kuwakumbusha wajibu, mpaka ngazi ya chini isiyo kuwa hiyo.
 
Back
Top Bottom