Ciril
JF-Expert Member
- Jan 10, 2011
- 8,558
- 7,168
Mpumbavu ni wewe ambaye unaona ni jukumu lako kukosoa wakati huna sifa za kufanya hivyo, na mpumbavu ni wewe ambaye hujui natija ya kukosoa viongozi kwa siri bali mpumbavu ni wewe usie jua kuchunga heshima za watu.
Hizi ndio zama ambazo wajinga na wapumbavu kama wewe mnataka muwasemee wasomi na wenye maarifa.
Ukija tena uje na hoja na niliuliza huko nyuma nyinyi mnao kosoa mitandaoni mmepewa jukumu hilo kwa katiba gani ? Au utaratibu wa ukosoaji kwa mujibu wa katiba ukoje ? Je ni hata wewe mjinga unaruhusiwa kukosoa ndio maana leo Tanzania nzima kila mtu tabibu, Shwain !, nyinyi mnapaswa kupigwa bakora hadharani kwa kuzitumia hisia zenu badala ya akili.
Wewe tukana uwezavyo ila elewa zile Zama za Udikteta hazifai wakati huu, hii ni Nchi ya Raia wote kima wew.Mtu mwenye Akili za kijinga kama wew hakika ungakuwa karibu ninge kuvunjilia mbali sababu huna maana na mpotoshaji mkubwa ,unawaona Viongozi kama miungu vile.