Niliyoyaona kwenye Jukwaa la Siasa

Niliyoyaona kwenye Jukwaa la Siasa

Tatizo la kuvagaa mambo usio ya jua, shetani ni sifa kijana hata wewe unweza kuwa na sifa ya kishetani. Sasa uwe unatuliza akili, na usijifanye mjuaji kwa mambo usio yajua unalivyokosea sasq, unachotakiwa wewe ni kutaka au uhoji kwanini nasema Demokrasia ni Ushetwni, sasa akili za kuhoji kwa usawa hamna, bali mnahoji kisengemneke kama nilivyo bainishw huko juu.
kwanini utoe tafsiri ya siasa halafu kwenye demokrasia utoe sifa zake(shetani).na pia hata tafsiri yako ya siasa haijanyooka,maneno ya lugha za kukopa yanaweza yasibebe maana ya moja kwa moja
ya neno hilo kutoka lugha yake ya asili mtu mwerevu unamtambua kwenye mpangilio wake wa hoja,kitu ambacho my brother/sister umefeli
 
Naona unaendelea kukosea, unaelewa unaposikia "shetani/kishetani" ? Kwanini hujengi hoja kijana unalalamika ?

Nakupa mfano, tamko "Siasa" ni tamko lenye asilo ya kiarabu, swali je kuna watu wenye kujua maana ya hakika yactamko "Siasa" kushinda Waarabu ? Jibu hakuna, hili tuliache najua huliwezi.

Misingi ya maneno ya kukopa huwa yana hali mbili au tatu, kupatia katika maana mfano kama wa neno mauti,roho,dukani,njaa na mfano, ila wanaweza kupindisha maana ikawa ni dhidi ya tamko la asili, na hapa kunaifano mingi.

Pili, nimekupa kazi uweke maana yako ya siasa ambayo inapingana na niliyo itoa lakini mpaka muda huu hujaitoa, hii inaashiria ya kuwa hujui unacho kijadili zaidi ya kushughulika na matokeo na si asili. Sasa sababu unakiri na kudai ya kuwa maana yangu ya siasa haija nyooka, nimekupa fursa sasa uinyooshe.

Tuendelee...
 
Sasa hapa ndipo utaona tofauti yangu na yako, mimi nahoji na nina kupa fursa ya kuhoji wewe unaendelea kudai, na madai yako abadani hayawezi kuwa kweli bila kuonyesha wapi nimekosea na kweli niwe nimekosea.

Tuendelee ...
 
kuna mahala nimehisi kuna tatizo katika matashi yako,ila ngoja nikusaidie ukisikia neno SIASA maana yake ni HARAKATI zinazolenga kuimarisha ustawi/status ya mtu au watu,kwahiyo siasa haipo kwa kadiri ya mtazamo wako au yale ambayo waliwahi kukuhadaa nayo.siasa ni harakati huwezi kutofautisha mambo hayo mawili
 
ulipokosea ni katika tafsiri ya siasa, na ulipokosea zaidi ni kutaka kutuaminisha kuwa upo sahihi, na kingine ambacho ni kibaya zaidi upo stubborn
 
kuna mahala nimehisi kuna tatizo katika matashi yako,ila ngoja nikusaidie ukisikia neno SIASA maana yake ni HARAKATI zinazolenga kuimarisha ustawi/status ya mtu au watu,kwahiyo siasa haipo kwa kadiri ya mtazamo wako au yale ambayo waliwahi kukuhadaa nayo.siasa ni harakati huwezi kutofautisha mambo hayo mawili
Nimecheka sana, kwahiyo kila mwana siasa ni mwanaharakati ?

Ndio maana kuna wazo likanijia, nikasema hivi huyu huenda hata maana ya siasa ? Ukweli umejidhihirisha.

Kwahiyo mafikio ya mtu kuwa mwanasiasa ni kuwa kiongozi au ?
 
ulipokosea ni katika tafsiri ya siasa,na ulipokosea zaidi ni kutaka kutuaminisha kuwa upo sahihi,na kingine ambacho ni kibaya zaidi upo stubborn
Nilikupa kazi ya kuonyesha ua kutenganisha siasa na uendeshaji wa mambo ya kijamii au usimamizi wa mambo ya watu.

Sasa kituko ulicho kiweka hapa ndio nimecheka, kwahiyo kila mwana siasa ni mwanaharakati ? Maana yako ni ya uongo na haija kodhi hadhi ya kuitwa mana ya siasa, sababu inaruhusu kuingia mambo yasiyo husu siasa.
 
Ikibidi yaani,maana hizi kariba nyingine huwa naziona sokoni tu😂😂😂
 
Nilikupa kazi ya kuonyesha ua kutenganisha siasa na uendeshaji wa mambo ya kijamii au usimamizi wa mambo ya watu.

Sasa kituko ulicho kiweka hapa ndio nimecheka, kwahiyo kila mwana siasa ni mwanaharakati ? Maana yako ni ya uongo na haija kodhi hadhi ya kuitwa mana ya siasa, sababu inaruhusu kuingia mambo yasiyo husu siasa.
sasa wewe ukisikia harakati unajua ni fujo tu au.nimegundua najadiliana na blankhead hapa
 
Pili, harakri zote ni fujo sababu zimejikita katika kwenda kinyume na hali iliyopo na utaratibu mzuri. Nimekupa faida, ndio maana umeshindwa kujibu swali la kwahiyo kila mwanasiasa ni mwanaharakati ? Hii maana yako sijui umeipata wapi aisee, embu tuwelee ulipo itoa.
 
Unakubali kwamba kuna watu,hata uwaambie hii ni moja, wanabisha wanakwambia "Hii so moja kama niliyo izoea". Lakini hapo tunajua moja ni moja tu hata ikiwa imebinuka juu chini chini juu.

Sasa watu kama hawa kuwasimamishia hoja ni kupoteza muda.
Kweli kabisa.
 
sijaelewa ulinipa swali au ulinipa kazi

Kwahiyo swali haliwezi kuwa kazi sio ? Watot wanaopewa "Home work" ile huwa nini hasa ikiwa ya maswali, inaitwa kazi ya nyumbani au nini ?
 
Kwa namna fulani alichoandika mleta mada nakubaliana nae jambo moja, ambalo hata mimi nimeli-observe recently; wengi humu uwezo wa kuchambua hoja ni mdogo sana.

Wanatazama zaidi hoja iliyopo mezani imeletwa na nani, kama ni wa upande wao/ mtu wao, watampa "like" hata kama alichoandika hakijitoshelezi, hii inasababishwa either na uwezo mdogo wa kufikiri, au mahaba yaliyopitiliza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo tabia inanikera Sana ndo maana me sipendani kufungua Uzi kwenye Hili jukwaa naona nikupoteza muda wangu bure hata Kama Nina nondo za kufa mtu kutokana na aina ya members waliyopo kwenye hili jukwaa.
 
Back
Top Bottom