- Thread starter
- #121
Unaweza kunipa utofauti wa nyakati za sasa na zilizopita mintarafu utawala ? Tena nyakati hizi ni bora zaidi kuwafata viongozi kimya kimya na kuwakosoa kuliko nyakati zilizopita, kama viongozi kuwa wajeuri na madhalimu nyakati zilizo pita ndio ilikuwa balaa zaidi, hawa sasa ni makapi.siungi mkono ukosoaji ulio 'out of proportion' na usio na staha..but hey tunaishi nyakati tofauti...heri ungesema watu waboreshe namna ya ukosoaji..wawe 'objective' na issues nk
Haya yote yanatakiwa kukemewa na ndio natija ya watu kutokuwa na adabu na kufanya mambo kwa kutumia hisia, bila kuangalia maslahi na faida inayopatikana kwa njia hizo.sometimes baadhi ya Viongozi pia wanafedhehesha/wanakosoa wenzao hadharani na inageuka kuwa tamaduni/culture ya taifa...kufedheshana..watu wanawinda mabaya yako ili wakukosoe pia....
Hili tatizo.tunaacha utamaduni wa kuboresha mambo watu wanajikita kwenye kufedheheshana,..
Nchi ya wengi, inatakiwa kila mtu afanye jukumu lake na aweke kila kitu mahala pake, hauwezi ukawa mchuuzi ukawasemea madaktari na mfano wake.Nchi ya wengi...tegemea maoni mengi pia
Ahsante.