Niliyoyaona Jijini Mwanza

Niliyoyaona Jijini Mwanza

Wapita njia hawawezi kukulewa..
Wanywaji wa mrina na picnic hawawezi kukuelewa.
Watakuelewa watu walio set stds zao na maeneo yenye hadhi Arusha.

Anayeshinda matejoo, unga ltd na Ngarenaro hawezi kuelewa uyasemayo
Kwani huko unakutaja sio Arusha??
 
Nilisharushiwa jiwe moja likanikosa akawa anakimbilia kuomota mengine anirushie huku anaporomosha matusi wenzake wakamkamata. Hii ilikuwa Sombetini mwaka 2009.. Unazijua Supra? Nilikua nimekula Supra ya 120k mguuni kijana kalewa mgundi huko anaona wivu anaanza poromosha mawe..
Basi hiyo ni experience mbaya. Binafsi ninaamini kila mtu anastahili heshima lakini pia kila mtu ana uhuru wakuvaa vile anavyopenda kwa kuzingatia jamii inayomzunguka.

Hao vijana wenzake walifanya vyema kumkamata kama unavyosema.

Je, kwa walichokifanya hao vijana wengine huoni hiyo ni jambo jema hata wakakusaidia?

Je, huoni hiyo inathibitisha wakazi wa A town ni wema mbali na wabaya wachache? Ambao kila mji kuna watu wa namna hii japo ubaya wao unaweza kuwa kwa namna nyingine?
 
Sio muiko Wala mwiko. Hajui wazungu wenyewe Wana kabila zao na hizo lugha za mataifa yao Ni tizi kuzimasta. Franch, Germany language Ni national language Kuna makabila bado humo ndani ndani ya hizo nchi.

Kuna watu wakishasoma ama wakifika USA wakirudi Ni kutema slang ya kufa mtu eg you know,I gonna,I wanna die hard getting this psyy so wanajiona wako juu ama wamestaraabika fulani.
Yaani mtu kukataa vya kikwenu inaonekana kma wewe mjanja Mara mie sijakulia kijijini na wakati Kuna watt wamezaliwa new York wanajua kuongea kikurya Sasa wewe kuzaliwa kwa mtoghole ama igoma unajiona Kama Ni ujanja kutotukuza lugha yako.
Lugha yako ya nani wewe tulipaswa kuwa na lugha moja tu kiswahili futilia mbali lugha za makabila lengo kujenga umoja lugha ni chanzo cha kujenga umoja au kubomoa.
 
Wakuu wazima?

Nafikiri kuna kapost kangu niliwah post humu kuuliza sehem nzuri ya kupumzika kwa hapa Mwanza.
Sasa kwa kipindi hiki cha wiki 2 nilizokaa huku hay ndo niliyoyaona na kujifunza

1. Wanawake wanapiga kazi sana huku(wanajishughulisha) mida ya jioni barabarani utakutana nao sana wakiuza either matunda, dagaa, samaki, maharagwe yaliyochemshwa tu, nyanya na vikorombwezo vingine4, pia wanachoma mahindi na kuyauza.

2. Wengi wa wasichana huku ni waoga sana hasa kwa strangers.

3. Draft la huku wengi hucheza French( hawajui kuhusu British).

4. Kila wanapokaa hudhani wote ni wa huku hivyo huongea tu kilugha.

5. Hotels and Lodge za huku no bei rahis sana sana huanzia 30k.

6. Mwanza ni mji mzuri sana, una mandhari nzuri kuliko Arusha( kwa mtazamo wangu)

Asanteni wakuu
Inawezekana vipi hujazungumzia experience yq mbususu na minyanduano
 
Observation nzuri.

Wanafunzi wa vyuo wanaotoka A town wanaonekana wapo mbele kuwazidi wenzao wanaotoka mikoa mingine kwa maana ya lifestyle ya maisha yao.

Nilisema hapo juu, hii hali ya watu wanaoishi mikoa tofauti na A town kujiona inferior inaanzia college.

Binafsi wakati nasoma niliona hii. Wanafunzi wanaotoka mikoa tofauti na A town wanakosa kujiamini wanapokuwa pamoja na students from A town.

Ni shida kubwa
Hata media coverage hawaoni watafute watu wanaongoza kwa watangazaji wenye umaarufu na influence kubwa lazima wawe na swaga za chuga...
 
Hata media coverage hawaoni watafute watu wanaongoza kwa watangazaji wenye umaarufu na influence kubwa lazima wawe na swaga za chuga...
Kwa lipi Sasa. Na wewe umesoma chuo ama shule gani. Mbona hayo sikuyaona mie wakati nasoma. Shida ya huko ukenya umewaathiri mno. Mana Kenya watu wanashindana kikabila na kikanda na suala la kujitenga kimajimbo linatokea huko huko. Unakumbuka mareale aliwahi kwenda un kudai Uhuru before ya nyerere Ila yeye aliomba wapewe Uhuru wa kaskazini sijui ndio wachaga wenyewe so akanyimwa.

Kama kusoma nimesoma shule ambazo watanzania wote tunakutana bila kujali mkoa na shule level ingine nimesomea Arusha
 
Hii chumvi ni magadi kabisa ya pale ziwa Balang'ida Lehu
Mkuu, kama kuna mdau humu anaetoka Mwanza muulize. Nilikaa muda mchache sana lakini hii ndo ilivutia. Maeneo mengine mengi tu nimesahau.
 
Bangi, ushoga, ubabe na utapeli ni tabia za vijana wengi Arusha
Hayo ni madai yako.

Sasa kazi kwako kuthibitisha.

Tuanze na bangi. Je, wewe umevuta bangi na vijana wa A town? Au ulifahamu kwa namna gani?

Pili ushoga. Je, wewe binafsi umeshafanya ushoga mara ngapi ukafahamu hili?
 
Back
Top Bottom