Niliyoyaona Jijini Mwanza

Niliyoyaona Jijini Mwanza

Yes, tunasaka fursa.

Sisi tunakuja kwenye mikoa yenu kuanzisha business na kuchukua fursa ambazo ninyi wakazi hamzioni au hamna akili yakutumia hizo opporunity kwa faida za kibiashara.

Jifunze kufikiri kwa kina.

Namna yako yakufikiria ipo chini. Kumradhi nimetumia maneno makali.

Lakini si ndiyo ukweli huo?
Matapalei fursa zipi😂😂 kule kwenu mnakimbia vibaka.

Mkija huku Kuna jua kali msivae Makoti mnaonekana kama bodaboda na washamba.

Kumbe unajua kujitetea 😂
 
Mwanza wanawake wanakimbiza baiskeli kinoma, tena wanaendesha zile Phoenix alaf mrembo kuwazidi wenzake baiskeli yake inakua ina swaga flan hivi anaitolea kiti Cha nyuma anaweka na bendera ya Simba au yanga hapo mbele

Ww unaongelea Shinyanga
 
Lijapo swala la mchanganyiko Arisha hauwezi kuifananisha na Mwanza mkuu, tuwe wa kweli.
Mimi nimeongea ukweli wangu, ingawa napenda zaidi kuishi Arusha sababu ya hali ya hewa kuliko Mwanza, ingawa nilivyovitaja ndiyo huwa vinanikata stimu.
Mwanza ni sehemu ya one time tu kwa ajili ya bata, ila kuweka makaazi kule siwezi, lakini kuwekeza ni very pwafect place kuliko Arusha
Tourism imefanya Arusha iwe na mchanganyiko mkubwa wa watu kutoka mataifa tofauti na hii ni ushahidi tosha A town ni cosmopolitan. Huwezi sema hii kuihusu Mwanza.

Chukua hii uchangamshe ubongo wako. Arusha inapokea maeflu ya wageni toka nchi nyingi duniani na wageni hawa baadhi, wanachagua kuishi Arusha.
 
Unadhani silijui hilo la tourism? Nalifajamu vizuri sana ila siliongei kijuujuu
 
Hapa Arusha wapo watu kutoka mikoa yote ya Tanzania. Je, unaweza kusema hao watu wamefanyiwa "usela mavi" upi kama ulivyoita?

Nachoona mimi ni kujishtukia tu. Ni kama vile Watz wanavyojishtukia na kudhani wanadharauliwa na Wakenya.

Bila shaka wewe ni mkazi wa A town au uliishi hapa. Wewe binafsi umeshawahi kumfanyia "usela mavi" mtu yeyote?

Binafsi mimi napenda watu wote, haijalishi unatokea wapi iwe Mtwara, Sumbawanga au Mwanza.
Mkuu hilo wala halina mjadala, sijazaliwa Arusha ila nimesoma na kuishi hapo kwa nyakati kadhaa. Na hakuna mwaka unaisha sijakanyaga Arusha as kila ninapokuja kupumzika mwisho wa mwaka Moshi lazima pia nifike Arusha.

Vijana wa Arusha wana usela wa kizamani, mkuu hili wala usitake kilibishia. Majuzi tu hapa iletrend video vijana wakikimbia na mabodaboda ovyo ovyo kitu kilichosababisha ajali na kuua watu zaidi ya watano. Ukiacha hizo fujo bado hata mtaani kwa teenagers na vitoto vya chuo huwa kuna kuvimbiana sana, wakishajua wewe wa kuja utanyanyapaliwa na unaonekana mtoto wa mama kisa wao wanavuta bange na kuvaa minyonyo.
 
Usela wa kijinga yaani sijawahi kupapenda kabisa wala sitaki kabisa kizazi changu kije kuiga ile tabia yao .

Vijana hawana future yaani nimefika pale Yale mavazi nimeona kama nipo mwaka 1990's hujui aliyesoma ni yupi ..wamekaa kizamani zamani na almost pale stendi unaona watu wamevaa Yale matairi ya wamasai ya kuchungia "kata mbuga"

Almost nikiangalia watu wengi walivyo kama vibaka hawaeleweki wamevaa hovyo kabisa
Hahahaha mkuu kule wanapaweza wenyewe na sie baadhi yetu. Napapenda Arusha sababu starehe ipo ya kutosha tu, ingawa binafsi yangu kwa starehe nitachagua Moshi maana hata bia unakunywa kwa amani. Arusha pasua kichwa sana ingawa pesa ipo!!
 
Itachukua miaka mingi watu wa mikoa tofauti na A town kuondoa inferiority complex mliyonayo mnapokutana na wakazi/vijana wa A town.

Hii inaonekana wazi tu na hata wageni wasio watanzania wanasema hii. Wakazi wa A town wapo na strong personality.

Nafahamu unaweza jihisi vibaya na kujiona dhaifu lakini hiyo si lengo langu ujihisi hivyo.

Muhimu endeleeni kujenga self confidence na mtakuwa sawa tu.
Sasa mkuu mtu umetinga zako jeans safi, T-shirt chini umekula Jordans unapita mitaa ya Sombetini umetoka labda msalimia msela mtu na mnyonyo wake anaanza kukutukana mara akuite bishoo huku anakufata na mawe hiyo ndio strong personality??

Mimi Arusha kwangu ni best kuliko hata Mwanza na Dar. Nikiwa Arusha nafeel some peace of mind lakini tabia za usela mavi ndio zinachafua huo mji. Hujiulizi kwanini kila mtu anaponda tabia hizo? Unafikiri kwanini hiyo unayoiita strong personality inaishia USA au pale njia panda ya KIA ambako Moshi wala hizi tabia hazipo??
 
hahahaaaa
Anasema alikua Mwanza,....afu Hasemi kama aliweza kufika na MBINGUNI.

Wakati wenzake wanaokwenda Brazil lazima wafike Reo De JENEIRO.

Mimi hata sijaamini alichokisema....story yake haina tofauti na zile story ambazo bodaboda wanazokuaga wakizipiga huku wakiwa wamelala juu ya pikipiki.
 
Sasa mkuu mtu umetinga zako jeans safi, T-shirt chini umekula Jordans unapita mitaa ya Sombetini umetoka labda msalimia msela mtu na mnyonyo wake anaanza kukutukana mara akuite bishoo huku anakufata na mawe hiyo ndio strong personality??

Mimi Arusha kwangu ni best kuliko hata Mwanza na Dar. Nikiwa Arusha nafeel some peace of mind lakini tabia za usela mavi ndio zinachafua huo mji. Hujiulizi kwanini kila mtu anaponda tabia hizo? Unafikiri kwanini hiyo unayoiita strong personality inaishia USA au pale njia panda ya KIA ambako Moshi wala hizi tabia hazipo??
Wewe binafsi nani aliwahi kukurushia mawe kwasababu ulivaa raba nyeupe?

Au unajaribu kudanganya?
 
Mkuu hilo wala halina mjadala, sijazaliwa Arusha ila nimesoma na kuishi hapo kwa nyakati kadhaa. Na hakuna mwaka unaisha sijakanyaga Arusha as kila ninapokuja kupumzika mwisho wa mwaka Moshi lazima pia nifike Arusha.

Vijana wa Arusha wana usela wa kizamani, mkuu hili wala usitake kilibishia. Majuzi tu hapa iletrend video vijana wakikimbia na mabodaboda ovyo ovyo kitu kilichosababisha ajali na kuua watu zaidi ya watano. Ukiacha hizo fujo bado hata mtaani kwa teenagers na vitoto vya chuo huwa kuna kuvimbiana sana, wakishajua wewe wa kuja utanyanyapaliwa na unaonekana mtoto wa mama kisa wao wanavuta bange na kuvaa minyonyo.
Kawaida sana.

Biker culture ni kawaida kwa vijana wengi kwenye majiji yote duniani.

Kwa watu wanaotokea places zisizopata watalii hawawezi fahamu hili.
 
Sasa wewe umefahamu vipi kwamba vijana wa A town wanarushia mawe watu kwasababu wamevaa raba nyeupe?

Hii haihusianani na wewe kunilazimisha mimi. Hili ni swali linalolenga kuhakiki madai uliyotoa.
Unataka kuhakiki kama nani? Wewe ni RC, RCO, RPC, DC, DCO, MB, Mayor, Mwenyekiti wa CCM Mkoa, Mwenyekiti wa CCM Wilaya au Katibu wa CCM mpaka unilazimishe nikuaminishe madai yangu?

Na unataka nikuaminishe kwa njia gani hapa mtandaoni zaidi ya maneno ambayo wewe umeyakataa na mimi sijalazimisha uyaamini?? Sasa hapa tukisema vijana wa Arusha akili zenu mnazijuaga wenyewe utasemaje?
 
Nimekuuliza wewe umewahi rushiwa mawe kwasababu ulivaa raba nyeupe?

Au ulidhani madai yako kwamba vijana wa A town wanarushia mawe watu kisa wamevaa raba nyeupe yataachwa bila kutaka uthibitisho?

Kumbuka, huu ni mjadala na utawajibika kudhibitisha kila dai unalotoa.

Turudi kwenye swali la msingi.

Wewe binafsi uliwahi rushiwa mawe kisa ulichagua umevaa raba nyeupe?
 
Nilisharushiwa jiwe moja likanikosa akawa anakimbilia kuomota mengine anirushie huku anaporomosha matusi wenzake wakamkamata. Hii ilikuwa Sombetini mwaka 2009.. Unazijua Supra? Nilikua nimekula Supra ya 120k mguuni kijana kalewa mgundi huko anaona wivu anaanza poromosha mawe..
 
Tourism imefanya Arusha iwe na mchanganyiko mkubwa wa watu kutoka mataifa tofauti na hii ni ushahidi tosha A town ni cosmopolitan. Huwezi sema hii kuihusu Mwanza.

Chukua hii uchangamshe ubongo wako. Arusha inapokea maeflu ya wageni toka nchi nyingi duniani na wageni hawa baadhi, wanachagua kuishi Arusha.
Wapita njia hawawezi kukulewa..
Wanywaji wa mrina na picnic hawawezi kukuelewa.
Watakuelewa watu walio set stds zao na maeneo yenye hadhi Arusha.

Anayeshinda matejoo, unga ltd na Ngarenaro hawezi kuelewa uyasemayo
 
Back
Top Bottom