kwa wapumbavu na wajinga tu.. .. ...
Ila kama una akili timamu zinachaji basi hakuna mahali bora kama JF
kuna marafiki wa kweli, kuna watu halisi, kuna vitu vya kweli, JF ni sehemu
bora na sahihi kwa mwenye akili,kila alie jiunga JF alijiunga kwa LENGO flani
haijawahi tokea tu mtu akawa mwanachama wa JF bila kushawishiwa na nafsi yake
JE,nini kilikushawishi ujiunge na JF? lengo lako hasa lilikua lipi? basi kama dunia ilivyo
kila mtu duniani ameletwa kwa Mission yake, kadhalika kila mwanachama wa JF yupo JF
JF kwa mission Flani,mziki wa sebene la fally ipupa ni kwamba Mimi sijui Mission yako hapa JF
na wewe hujui mission yangu hapa JF,so what to do!? Fata na Fanya kilichokupelekea ujiunge na JF.
Utaipenda sana JF,Hutokua na haja ya kubadili ID hutokua na haja ya kuwa na ID double double,JF is switooooooo.... ONLY (for smartest)