Nilivyonusurika kuambukizwa UKIMWI

Nilivyonusurika kuambukizwa UKIMWI

Ukiwa na hera hutongozi ukilipa tiket ya ndege tu unamkula mdada kiuraini kama kumsukuma mlevi mmoja... Vijana tutafute pesa aisee
Nami nimekukatia tiketi uje Mwanza nina mazungumzo. Ukipandishwa kwenye mwewe unatoa mzigo bila hata kutongozwa. Vijana mnategemea kuoa kazi mnayo.
 
Kama yupo kwenye ARV muda mrefu wala hatakuambukiza,ila ni muhimu kutumia condom.Halafu mtu unakutana nae siku moja hata hamjui status zenu unafanya nae matusi bila kinga,hiyo hapana kwa kweli.
Kwani si ndivo mlivo wote mnatubania sisi mapuku tu wenye nazo wanawakula kiulaini.
 
Dada au ndo ww inanisumbua kukula nn maana kuna dada namfukuzia leo wiki 3 sasa hataki kutoa mzigo kumbe ndo ww nmejua aisee.. Tulikutana hapo Ofisini kwako unapofanyia job kumbe siku ukinilegezea nisipige kavu
KWA SASA SIOLEKI WALA SITONGOZEKI, WALA SILIKI AISEE
 
Kabisaa hapa lazma afukuzwe mtu
We mala..ya umemuharibia kazi dereva wa watu...Kwanini hukutumia akili kuwakilisha hiliswala mpaka ukamtaja dereva?mana mzee lazima ajijue kulinganana na stori yenu na lazima akiwakishe kwa dereva.
 
kwenye kikao cha mwisho cha wanaume tuliliongea hili, wanawake ni wepesi kusahau. Tuishi nao kwa akili tu
 
Jamani, na wale wanaoupata Mungu anakuwa hahupo upande wenu muwe mnatusimulia. Kila stori humu ni ya savaiva.
 
sijataka unitukane wala sihitaji maoni yako, wala ukinitukana hainisaidii wala kupunguza chochote. kikumbwa nimejitambua na Mungu ameninusulu dats all.
Hpn yupo sahihi utakiwi kukasirika ndugu yngu pole kwa mitihani...
 
Kuna wakati hua naamini kweli mwalimu wetu kipofu


Hongera kwa kuponea
 
He deserve, hata ungekuwa wewe ungemvulia tu.
Aseeeh, Dada pamoja na yote uliyotaja hapa...Kwanza nilikuonea huruma Sana lakin Mwishoni ulivyosema hata mwanetu ulimpga chini na jibu ulilotoa hili kwa Comrade kipepe tena kwa herufi kubwa. Tukikujibu vibaya humu ni HALALI tunakuwa sahihi kabisa!!! Kuwa na huruma tafadhari angalau hata ungetuficha suala la mwanetu...
 
Kosa lako kubwa na kuficha ID unayojulikana ni kuelezea habari ya dereva.. yaani hapo sasa umejifichaje? Huyo dereva akipoteza kazi si unalo kama kawa hatahumu atakuja kukuanika au instagram etc

Kwa hilo umeboa sana bora tu ungetumia ID yako ya kawaida.. kwa walio karibu na Waziri huyo watakuwa wamemjua.

Ungemuhehimu dereva na kuficha kwa kupindisha hapo maana isinge haribu ulotaka kutujulisha. Miaka na lini ulianza kazi vilikuwa na umuhimu upi wa kuviandika!!!
 
polepole dada, so ulikuwa na mchumba wako na bado ukagawa mwili wako kwa mheshimiwa? hiyo tabia ninakokaa tunaita umalaya sijui kwenu wanaitaje..... Pili huyo mchumba wako ndiyo amefaidika na huo uamuzi wako, maana alikuwa anamahusiano na mtu asie jielewa kabisa wakuitwa chawote.....mwisho unakazi ila unatamaa sana ya maisha ambayo sio kiwango chako, ndo maana ulitembea na mheshimiwa hiyo tabia mtaani kwetu pia tunaita umalaya sijui kwenu wanaitaje..... Kama wanawake wote wapo hivi basi kuoa ni jambo la kipumbavu sana......
Jibu watakalokupa ni "huyo dada ni tabia yake tu", lakini hoja sahih hapa ni "je ni kwa kiasi gani wake/wachumba zetu wako salama huko makazini"???
 
Back
Top Bottom