Nilivyonusurika kuambukizwa UKIMWI

Nilivyonusurika kuambukizwa UKIMWI

Hi guys
I hope mko vizuli,
Mimi siyo mgeni huku kama ambavyo mmeniona ila hii id ni ngeni, nimeamua kuficha jina halisi ili niwe huru kushare hili jambo langu ambalo nimekuwa nikitamani niseme ikiwa ni pamoja na kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuniokoa na janga hili.
Awali mimi ni mdada mwenye umri wa miaka 27 nipo kwenye ajira Wizara flani huu mwaka wa 2.
Ilikuwa mwaka jana December ambapo nilipata ka semina Fulani nje, nikiwa safarini nikutana na Waziri mmoja mtu mzima kidogo ( tukasalimiana, of course yeye hakujitembulisha maana ni maarufu ila mimi nilijitambulisha baada ya kusalimiana) tukabadilishana mawasiliano.
Baada ya kuludi nchini tuliendelea kuwasiliana. Siku moja akiwa kikazi Dodoma aliniomba anikatie ticketi ya ndege nifike Dodoma mara moja tukaongee jambo. Siku hiyo nilikuwa bored kiaina nikakubali wito.
Niliondoka kesho yake nikafika Dodoma dereva wake akawa amekuja kunichukua akanipeleka katika makazi yake pale Dodoma. Baada ya kufika kwake nilikaa kidogo nae mwenyeji wangu akawa amefika.
Tuliongea mambo mengi na mvinjo kidogo jamaa akaniambia amenipenda sana ( japo anayo familia) akaniahidi mambo mengi ( sikumbuki ilikuwaje lakini nilijikuta nikifanya mapenzi na huyu mheshimiwa) bao 2 taam sana.
Tukaagana yeye alipata dharula akaondoka kwenda mkoa wa jirani ila akanicha hapo kwake nikalala kesho yake nikachukuliwa na dereva airport nikarudi zangu dar.
Tuliendelea kuwasiliana hapa jamaa ilikuwa kama kakolea maana alionesha kunijali sana. Baada ya siku mbili alisafiri akaenda nje ya nchi. Tukawa bado tunawasiliana vizuri tu
Nakumbuka nilichukua namba ya simu ya dereva wake na siku moja akawa amenipigia tukapiga stori mbili tatu basi ikawa tunasalimia tu. Nakumbuka siku moja huyu kijana aliniambia ( Mheshimiwa anakupenda sana lakini kuwa makini linda afya yako)Mzee huwa anaenda nje ya nchi kutibiwa ( na hii ni siri kubwa ila mimi naijua nimekuambia maana nakupenda) Nikaamua nichunguze maana maneno hayatoshi kujiridhisha.
Nikaendelea kumchunguza huyu jamaa na picha alikuwa ananitumia lakini niligundua kitu kwamba ana ugonjwa ila sikujua ni ugonjwa gani maana kisukari wala presha hakuwa navyo ( Nikagundua ni mwathirika wa H.I.V) nilichanganyikiwa sana nikapunguza mawasiliano nae, mwishowe nikaamua nimblock kila sehemu.

Baada ya miezi minne kuisha nikaanza kupatwa na homa za ajabu ajabu hapa nikajua teyari nimeshaanza kuumwa. Nililia, nikapauka hata kazi zangu za ofisini nikawa sifanyi kiufasaha.

Niliwaza sana hatimaye siku moja nikaamua niende kupima alafu nianze kutumia hizo dawa.
Kufika maabara nikapima, lahaulaaaaaaa, nikawa nipo safi, nililia mbele ya Yule daktari machozi ya kutosha, nikamuomba anipime mara ya pili akapima, nikawa nipo mweupe kabisaaa .
Hii siku sintaisahau katika maisha yangu, ilikuwa siku ambayo nilirudisha matumaini ya kuishi

Kuanzia siku hiyo nikapona vihoma homa nikawa mtu mpya kabisa. ( Hata mchumba wangu ambaye nilikuwa nae nikaamua kuachana nae hadi pale Mungu atakaponipa mume) nilimwambia tu kama unanihitaji fanya unioe full stop.), niliahidi kutokufanya mapenzi tena hadi nikiwa kwenye ndoa ndivyo nilivyomwahidi Mungu.

Lengo la huu uzi ni kukumbushana tu kuwa Ukimwi upo, lakini kwa hili Mungu ameniokoa
Jina la Bwana libarikiwe!
Kwanza nikupe hongera kwa kuachana na upande hatarishi.

Nikiwa kama mtaalam wa Afya nakuambia ivi

"Ngoma isikie kwa watu tu ,kua fulani anao"...

Japokua Maendeleo ya Dawa za kisasa na bora yamezidi kuwepo, ukweli nikwamba HIV bado ni tatizo kubwa sana.

alafu mkuu, wee na elimu yako,, basi hata kukumbuka mpira ulisahau?? .

Na baada ya hilo, Je uliendelea kusex na mchumba wako??

Nakama ulisex naye nawakat ulikua bado hujapima, wakat huohuo ukijua kua mtu ulosex naye uko nyuma ni mgonjwa.... Hii ni hatari zaidi na yakukomoa...

Tizama, Nivipi kama Ungekua nao ?? Huon kama ungemuumiza namchuma wako??

Mwisho...HIV WANAKUA WAKALI SANAA MIEZI MITATU YA MWANZO YA MAAMBUKIZO YAAN, KIDOGO TU ,TAYARI UMESHAMWAMBUKIZA MTU.

ivo kuweni waaminifu.
......tumieni kondom
....achen kunyonyana K..Mashine, matiti n.k

Tumrudie Mungu na Tuogope Uzinzi.
 
Hi guys
I hope mko vizuli,
Mimi siyo mgeni huku kama ambavyo mmeniona ila hii id ni ngeni, nimeamua kuficha jina halisi ili niwe huru kushare hili jambo langu ambalo nimekuwa nikitamani niseme ikiwa ni pamoja na kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuniokoa na janga hili.
Awali mimi ni mdada mwenye umri wa miaka 27 nipo kwenye ajira Wizara flani huu mwaka wa 2.
Ilikuwa mwaka jana December ambapo nilipata ka semina Fulani nje, nikiwa safarini nikutana na Waziri mmoja mtu mzima kidogo ( tukasalimiana, of course yeye hakujitembulisha maana ni maarufu ila mimi nilijitambulisha baada ya kusalimiana) tukabadilishana mawasiliano.
Baada ya kuludi nchini tuliendelea kuwasiliana. Siku moja akiwa kikazi Dodoma aliniomba anikatie ticketi ya ndege nifike Dodoma mara moja tukaongee jambo. Siku hiyo nilikuwa bored kiaina nikakubali wito.
Niliondoka kesho yake nikafika Dodoma dereva wake akawa amekuja kunichukua akanipeleka katika makazi yake pale Dodoma. Baada ya kufika kwake nilikaa kidogo nae mwenyeji wangu akawa amefika.
Tuliongea mambo mengi na mvinjo kidogo jamaa akaniambia amenipenda sana ( japo anayo familia) akaniahidi mambo mengi ( sikumbuki ilikuwaje lakini nilijikuta nikifanya mapenzi na huyu mheshimiwa) bao 2 taam sana.
Tukaagana yeye alipata dharula akaondoka kwenda mkoa wa jirani ila akanicha hapo kwake nikalala kesho yake nikachukuliwa na dereva airport nikarudi zangu dar.
Tuliendelea kuwasiliana hapa jamaa ilikuwa kama kakolea maana alionesha kunijali sana. Baada ya siku mbili alisafiri akaenda nje ya nchi. Tukawa bado tunawasiliana vizuri tu
Nakumbuka nilichukua namba ya simu ya dereva wake na siku moja akawa amenipigia tukapiga stori mbili tatu basi ikawa tunasalimia tu. Nakumbuka siku moja huyu kijana aliniambia ( Mheshimiwa anakupenda sana lakini kuwa makini linda afya yako)Mzee huwa anaenda nje ya nchi kutibiwa ( na hii ni siri kubwa ila mimi naijua nimekuambia maana nakupenda) Nikaamua nichunguze maana maneno hayatoshi kujiridhisha.
Nikaendelea kumchunguza huyu jamaa na picha alikuwa ananitumia lakini niligundua kitu kwamba ana ugonjwa ila sikujua ni ugonjwa gani maana kisukari wala presha hakuwa navyo ( Nikagundua ni mwathirika wa H.I.V) nilichanganyikiwa sana nikapunguza mawasiliano nae, mwishowe nikaamua nimblock kila sehemu.

Baada ya miezi minne kuisha nikaanza kupatwa na homa za ajabu ajabu hapa nikajua teyari nimeshaanza kuumwa. Nililia, nikapauka hata kazi zangu za ofisini nikawa sifanyi kiufasaha.

Niliwaza sana hatimaye siku moja nikaamua niende kupima alafu nianze kutumia hizo dawa.
Kufika maabara nikapima, lahaulaaaaaaa, nikawa nipo safi, nililia mbele ya Yule daktari machozi ya kutosha, nikamuomba anipime mara ya pili akapima, nikawa nipo mweupe kabisaaa .
Hii siku sintaisahau katika maisha yangu, ilikuwa siku ambayo nilirudisha matumaini ya kuishi

Kuanzia siku hiyo nikapona vihoma homa nikawa mtu mpya kabisa. ( Hata mchumba wangu ambaye nilikuwa nae nikaamua kuachana nae hadi pale Mungu atakaponipa mume) nilimwambia tu kama unanihitaji fanya unioe full stop.), niliahidi kutokufanya mapenzi tena hadi nikiwa kwenye ndoa ndivyo nilivyomwahidi Mungu.

Lengo la huu uzi ni kukumbushana tu kuwa Ukimwi upo, lakini kwa hili Mungu ameniokoa
Jina la Bwana libarikiwe!
Hongera sana mkuu. Naamini utakuwa umejifunza sasa. Next time pima afya yako na ya mwenza wako kwanza then tumia kinga kwani kuna magonjwa mengi yanayoambukizwa kwa kujamiiana ukiachilia mbali UKIMWI.
Kusema hutofanya tena mpaka ndoa sawa lakini huwezi jua bhana maana binadamu tunabadilika sana kihisia kulingana na mazingira yanayotuzunguka .
Pia ndoa nayo sio salama kwani huna uhakika kama mwenza wako atatulia. Ukiwa kwenye ndoa utajilinda kwa 50% afu zinazo baki unamuachia mwenza wako (make wanandoa hawatumiagi kinga mostly) but ukiwa single unakuwa 100% ya kujilinda mwenyewe.
 
Huyo mheshimiwa atakuwa ni mtumiaji mwaminifu sana wa ARVs ndio maana umeponea chupuchupu Mungu aendelee kukusimamia katika uamuzi wako wa kubaki mwaminifu mpaka utakapopata mwenzi wako wa maisha
 
Na vipi wanaume wenye tabia hizo?
polepole dada, so ulikuwa na mchumba wako na bado ukagawa mwili wako kwa mheshimiwa? hiyo tabia ninakokaa tunaita umalaya sijui kwenu wanaitaje..... Pili huyo mchumba wako ndiyo amefaidika na huo uamuzi wako, maana alikuwa anamahusiano na mtu asie jielewa kabisa wakuitwa chawote.....mwisho unakazi ila unatamaa sana ya maisha ambayo sio kiwango chako, ndo maana ulitembea na mheshimiwa hiyo tabia mtaani kwetu pia tunaita umalaya sijui kwenu wanaitaje..... Kama wanawake wote wapo hivi basi kuoa ni jambo la kipumbavu sana......
 
Sijasema about money maana hata mimi nimezaliwa katika familia ya waziri, sikuwahi kuijua shida ni kitu gani ila kilichonisumbua ni ujana ( Otherwise haya yalishapita) au unataka nikuwekee na cv yangu hapa? siyo kila mtu anadate na mtu just for money?
Ulikua unatafuta experience!!!
Naona mheshimiwa alikuhaidi unaibu
 
polepole dada, so ulikuwa na mchumba wako na bado ukagawa mwili wako kwa mheshimiwa? hiyo tabia ninakokaa tunaita umalaya sijui kwenu wanaitaje..... Pili huyo mchumba wako ndiyo amefaidika na huo uamuzi wako, maana alikuwa anamahusiano na mtu asie jielewa kabisa wakuitwa chawote.....mwisho unakazi ila unatamaa sana ya maisha ambayo sio kiwango chako, ndo maana ulitembea na mheshimiwa hiyo tabia mtaani kwetu pia tunaita umalaya sijui kwenu wanaitaje..... Kama wanawake wote wapo hivi basi kuoa ni jambo la kipumbavu sana......
Nakazia hapo angeupata angempa na boyfriend wake na yeye labda alikuwa na kadem kengine mwishowe wote tungeupata kupitia yeye,
 
Bado ni mapema kushangilia, mitihani ipo mingi mbele yako.
Jambo la msingi jifunze kutokana na makosa halafu umove on.
 
Dah wakati mwingine unaweza ukachomoka kwenye tundu la sindano na usijue umechomokaje Mimi pia yalinipata ila asubuhi tu nikawahi faster kumpima yule do si nikakuta ana ukimwi na nimekesha nae na nimemtafuna bila ndomu jasho lake sijawahi kulipata tangia nimezaliwa.
Tangia siku hiyo simuamini mtu kwa macho lazima apimwe ndo atafunwe
 
Hi guys
I hope mko vizuli,
Mimi siyo mgeni huku kama ambavyo mmeniona ila hii id ni ngeni, nimeamua kuficha jina halisi ili niwe huru kushare hili jambo langu ambalo nimekuwa nikitamani niseme ikiwa ni pamoja na kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuniokoa na janga hili.
Awali mimi ni mdada mwenye umri wa miaka 27 nipo kwenye ajira Wizara flani huu mwaka wa 2.
Ilikuwa mwaka jana December ambapo nilipata ka semina Fulani nje, nikiwa safarini nikutana na Waziri mmoja mtu mzima kidogo ( tukasalimiana, of course yeye hakujitembulisha maana ni maarufu ila mimi nilijitambulisha baada ya kusalimiana) tukabadilishana mawasiliano.
Baada ya kuludi nchini tuliendelea kuwasiliana. Siku moja akiwa kikazi Dodoma aliniomba anikatie ticketi ya ndege nifike Dodoma mara moja tukaongee jambo. Siku hiyo nilikuwa bored kiaina nikakubali wito.
Niliondoka kesho yake nikafika Dodoma dereva wake akawa amekuja kunichukua akanipeleka katika makazi yake pale Dodoma. Baada ya kufika kwake nilikaa kidogo nae mwenyeji wangu akawa amefika.
Tuliongea mambo mengi na mvinjo kidogo jamaa akaniambia amenipenda sana ( japo anayo familia) akaniahidi mambo mengi ( sikumbuki ilikuwaje lakini nilijikuta nikifanya mapenzi na huyu mheshimiwa) bao 2 taam sana.
Tukaagana yeye alipata dharula akaondoka kwenda mkoa wa jirani ila akanicha hapo kwake nikalala kesho yake nikachukuliwa na dereva airport nikarudi zangu dar.
Tuliendelea kuwasiliana hapa jamaa ilikuwa kama kakolea maana alionesha kunijali sana. Baada ya siku mbili alisafiri akaenda nje ya nchi. Tukawa bado tunawasiliana vizuri tu
Nakumbuka nilichukua namba ya simu ya dereva wake na siku moja akawa amenipigia tukapiga stori mbili tatu basi ikawa tunasalimia tu. Nakumbuka siku moja huyu kijana aliniambia ( Mheshimiwa anakupenda sana lakini kuwa makini linda afya yako)Mzee huwa anaenda nje ya nchi kutibiwa ( na hii ni siri kubwa ila mimi naijua nimekuambia maana nakupenda) Nikaamua nichunguze maana maneno hayatoshi kujiridhisha.
Nikaendelea kumchunguza huyu jamaa na picha alikuwa ananitumia lakini niligundua kitu kwamba ana ugonjwa ila sikujua ni ugonjwa gani maana kisukari wala presha hakuwa navyo ( Nikagundua ni mwathirika wa H.I.V) nilichanganyikiwa sana nikapunguza mawasiliano nae, mwishowe nikaamua nimblock kila sehemu.

Baada ya miezi minne kuisha nikaanza kupatwa na homa za ajabu ajabu hapa nikajua teyari nimeshaanza kuumwa. Nililia, nikapauka hata kazi zangu za ofisini nikawa sifanyi kiufasaha.

Niliwaza sana hatimaye siku moja nikaamua niende kupima alafu nianze kutumia hizo dawa.
Kufika maabara nikapima, lahaulaaaaaaa, nikawa nipo safi, nililia mbele ya Yule daktari machozi ya kutosha, nikamuomba anipime mara ya pili akapima, nikawa nipo mweupe kabisaaa .
Hii siku sintaisahau katika maisha yangu, ilikuwa siku ambayo nilirudisha matumaini ya kuishi

Kuanzia siku hiyo nikapona vihoma homa nikawa mtu mpya kabisa. ( Hata mchumba wangu ambaye nilikuwa nae nikaamua kuachana nae hadi pale Mungu atakaponipa mume) nilimwambia tu kama unanihitaji fanya unioe full stop.), niliahidi kutokufanya mapenzi tena hadi nikiwa kwenye ndoa ndivyo nilivyomwahidi Mungu.

Lengo la huu uzi ni kukumbushana tu kuwa Ukimwi upo, lakini kwa hili Mungu ameniokoa
Jina la Bwana libarikiwe!
wewe ni Kicheche tu..Uliona labda uwaziri basi ukajua maisha yamenyooka
 
Umesha enda kupima tena baada ya miezi 3 au unajisifu tu
 
Atakuwa na ugwadu sana atumie hata condoms bhan sio kukaa mwaka hujazibua mifereji ya uzazi inazibaga mjue ohhh utakuja kitafuta mimba huioni kisha kukaa miaka bila kuzibuliwa mifereji
Kwa hiyo tangu siku hiyo hujafanya tena mapenzi?Ila nawe duh!
 
Back
Top Bottom