Carnivora
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,650
- 6,028
Ana deserve kwa lipi? We si ulikua na mtu unamwita mchumba....kwanini ulikigawa kwa mheshimiwa? We ni malaya tu.He deserve, hata ungekuwa wewe ungemvulia tu.
Ana deserve kwa lipi? We si ulikua na mtu unamwita mchumba....kwanini ulikigawa kwa mheshimiwa? We ni malaya tu.He deserve, hata ungekuwa wewe ungemvulia tu.
Justify kilichokufanya upigwe mbo..ro na huyo mheshimiwa.Sijasema about money maana hata mimi nimezaliwa katika familia ya waziri, sikuwahi kuijua shida ni kitu gani ila kilichonisumbua ni ujana ( Otherwise haya yalishapita) au unataka nikuwekee na cv yangu hapa? siyo kila mtu anadate na mtu just for money?
Hajielewi huyuAna deserve kwa lipi? We si ulikua na mtu unamwita mchumba....kwanini ulikigawa kwa mheshimiwa? We ni malaya tu.
It seems like unayo frustration cul down dude!Ana deserve kwa lipi? We si ulikua na mtu unamwita mchumba....kwanini ulikigawa kwa mheshimiwa? We ni malaya tu.
Lol. YANI WANAWAKE TUNACHEKESHA, UTAKUTA WEWE UNAYO MACHAFU TENA IKUTE NA NDOA UNAYO LAKINI HUWEZI UKAYASEMA ILA HAPA UNAKOMAA NA MIEPole sana ila nlichokiona hapa wewe ulikua na tamaa pia mzinzi yaani you had a boyfriend kisha ukazini na huyo waziri,,usirudie tena na mshukuru mungu amekuponya ili ubadirike
NIMEKUELEWA ASANTE KWA USHAULIIna maana alikupiga kavu siku ya kwanza tu? Dada, Kua makini.. ukimwi upo na unaua, acha kuuza mechi kifala ( samahani kama neno litakua ni kali sana ) na epuka tamaa. Pole sana
Mimi au wewe?
Unajifunza lakini,unajikuta umeshasababisha vidonda kwa yule mchumba wako kikubwa ukisahkuwa na hofu ya Mungu na ukaepuka mazingira shawishi basi utaepuja mengi kikubwa ulikosea kuruhusu mwili wajo utumike kizembe kizembe
Kwa nini umsaliti boyfriend wako bila sababu ya msingi. Kama sio tamaa za kifedha..NIMEKUELEWA ASANTE KWA USHAULI
Ukweli una tabia za kimalaya we we,kwann hukuridhika na Hugo mpz wako??? Kwasababu ya pesa??tamaa itawaua ninyiAsante sana ila ukinihukumu hainisaidii kitu. na wewe siyo Mungu