Nilivyonusurika kuambukizwa UKIMWI

Nilivyonusurika kuambukizwa UKIMWI

Kwahyo kiufup we kinga huwa hutumii.dah..simchezo,kumbe mi mwoga sana..
 
polepole dada, so ulikuwa na mchumba wako na bado ukagawa mwili wako kwa mheshimiwa? hiyo tabia ninakokaa tunaita umalaya sijui kwenu wanaitaje..... Pili huyo mchumba wako ndiyo amefaidika na huo uamuzi wako, maana alikuwa anamahusiano na mtu asie jielewa kabisa wakuitwa chawote.....mwisho unakazi ila unatamaa sana ya maisha ambayo sio kiwango chako, ndo maana ulitembea na mheshimiwa hiyo tabia mtaani kwetu pia tunaita umalaya sijui kwenu wanaitaje..... Kama wanawake wote wapo hivi basi kuoa ni jambo la kipumbavu sana......
Na kuolewa ni jambo la kipumbavu sana. Mtu anayekuwa na mke aliyetulia halafu anatomb...mabar maid ambao anajua wanapitiwa na wanaume wengi tumuitejeee??

Pambaaavvvv muache dada wa watu...
 
Sina hamu ni mwezi wa pili sasa na nimeamua kujitunza maisha yangu yote

Perhaps kutokana na matibabu kiwango chake cha virusi (HIV viral load/HVL) kipo chini ili kuweza kupelekea maambukizi. Mtu anapokuwa na HVL<50 copies/ml uwezokano wa kuambukiza unakuwa haupo/unlikely. Hata hivyo kama ulitumia kipimo cha HIV rapid testing upime tena kipimo kingine baada ya miezi 3 ili kujiridhisha.
 
Dereva asingekutonya?

Na utafanyaje ngono na mtu usiyemfahamu bila kupima au kutumia kinga?

How reckless you are.
 
Nikisomaga threads kama hizi huwa nakosa kabisa hamu ya kuoa,

Wadada wa siku hizi mkoje? Mnatamaa sana, yani hata kama mtu anajua anampenzi halafu anajisahau hadi Anatoka tena na mtu mwingine,
Isitoshe baada ya kutambua umetoka mtegoni tena unamwacha na mpenzi wako halali bila unyumba,

Hivi kila siku yanayosemwaga na wasanii, makanisani/misikitini, hata vyombo vya habari huwa hayaeleweki hadi mtu apate madhara au anusurike ndio aje kutoa shuhuda?
 
Back
Top Bottom