Jadason Monga
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 366
- 348
Bado nawaza Sana ulimwamini vipi mtu kwa siku moja? Au pesa ndo Kila kitu
huyo demu alikua kwenye dozi.? Au naye alikua hajijui?.haya mambo yanatisha sanaDah wakati mwingine unaweza ukachomoka kwenye tundu la sindano na usijue umechomokaje Mimi pia yalinipata ila asubuhi tu nikawahi faster kumpima yule do si nikakuta ana ukimwi na nimekesha nae na nimemtafuna bila ndomu jasho lake sijawahi kulipata tangia nimezaliwa.
Tangia siku hiyo simuamini mtu kwa macho lazima apimwe ndo atafunwe
Hi guys
I hope mko vizuli,
Mimi siyo mgeni huku kama ambavyo mmeniona ila hii id ni ngeni, nimeamua kuficha jina halisi ili niwe huru kushare hili jambo langu ambalo nimekuwa nikitamani niseme ikiwa ni pamoja na kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuniokoa na janga hili.
Awali mimi ni mdada mwenye umri wa miaka 27 nipo kwenye ajira Wizara flani huu mwaka wa 2.
Ilikuwa mwaka jana December ambapo nilipata ka semina Fulani nje, nikiwa safarini nikutana na Waziri mmoja mtu mzima kidogo ( tukasalimiana, of course yeye hakujitembulisha maana ni maarufu ila mimi nilijitambulisha baada ya kusalimiana) tukabadilishana mawasiliano.
Baada ya kuludi nchini tuliendelea kuwasiliana. Siku moja akiwa kikazi Dodoma aliniomba anikatie ticketi ya ndege nifike Dodoma mara moja tukaongee jambo. Siku hiyo nilikuwa bored kiaina nikakubali wito.
Niliondoka kesho yake nikafika Dodoma dereva wake akawa amekuja kunichukua akanipeleka katika makazi yake pale Dodoma. Baada ya kufika kwake nilikaa kidogo nae mwenyeji wangu akawa amefika.
Tuliongea mambo mengi na mvinjo kidogo jamaa akaniambia amenipenda sana ( japo anayo familia) akaniahidi mambo mengi ( sikumbuki ilikuwaje lakini nilijikuta nikifanya mapenzi na huyu mheshimiwa) bao 2 taam sana.
Tukaagana yeye alipata dharula akaondoka kwenda mkoa wa jirani ila akanicha hapo kwake nikalala kesho yake nikachukuliwa na dereva airport nikarudi zangu dar.
Tuliendelea kuwasiliana hapa jamaa ilikuwa kama kakolea maana alionesha kunijali sana. Baada ya siku mbili alisafiri akaenda nje ya nchi. Tukawa bado tunawasiliana vizuri tu
Nakumbuka nilichukua namba ya simu ya dereva wake na siku moja akawa amenipigia tukapiga stori mbili tatu basi ikawa tunasalimia tu. Nakumbuka siku moja huyu kijana aliniambia ( Mheshimiwa anakupenda sana lakini kuwa makini linda afya yako)Mzee huwa anaenda nje ya nchi kutibiwa ( na hii ni siri kubwa ila mimi naijua nimekuambia maana nakupenda) Nikaamua nichunguze maana maneno hayatoshi kujiridhisha.
Nikaendelea kumchunguza huyu jamaa na picha alikuwa ananitumia lakini niligundua kitu kwamba ana ugonjwa ila sikujua ni ugonjwa gani maana kisukari wala presha hakuwa navyo ( Nikagundua ni mwathirika wa H.I.V) nilichanganyikiwa sana nikapunguza mawasiliano nae, mwishowe nikaamua nimblock kila sehemu.
Baada ya miezi minne kuisha nikaanza kupatwa na homa za ajabu ajabu hapa nikajua teyari nimeshaanza kuumwa. Nililia, nikapauka hata kazi zangu za ofisini nikawa sifanyi kiufasaha.
Niliwaza sana hatimaye siku moja nikaamua niende kupima alafu nianze kutumia hizo dawa.
Kufika maabara nikapima, lahaulaaaaaaa, nikawa nipo safi, nililia mbele ya Yule daktari machozi ya kutosha, nikamuomba anipime mara ya pili akapima, nikawa nipo mweupe kabisaaa .
Hii siku sintaisahau katika maisha yangu, ilikuwa siku ambayo nilirudisha matumaini ya kuishi
Kuanzia siku hiyo nikapona vihoma homa nikawa mtu mpya kabisa. ( Hata mchumba wangu ambaye nilikuwa nae nikaamua kuachana nae hadi pale Mungu atakaponipa mume) nilimwambia tu kama unanihitaji fanya unioe full stop.), niliahidi kutokufanya mapenzi tena hadi nikiwa kwenye ndoa ndivyo nilivyomwahidi Mungu.
Lengo la huu uzi ni kukumbushana tu kuwa Ukimwi upo, lakini kwa hili Mungu ameniokoa
Jina la Bwana libarikiwe!
Huyu dada kasanda kizembe sana hawa madreva wakati mwingine wivu unawajaa sana, kuna jamaa alipata jimama lipo vyema lilikua linamlea kuna siku dreva wake alimtafuta mwana akamuambia awe makini maana yule mama ana ngoma. Baada ya muda jamaa kupima akajikuta fresh pia akamsisitiza yule mama wakapime pia akamkuta yupo poa tu.....bado sio udhibitisho huo, labda hata ni tezi dume akaona noma kukuambia.
Na hivyo ndivyo ilivyo baada ya kufanya ujinga ndiyo unaona tatizo....Baada
Baada ya kufanya ujinga ndo ukagundua tatizo lako,ama kweli kama wadada mpo hivi mbona mnakatisha tamaa sana maana,mna tamaa mno za fedha daaah umefanya niumie Moyo,kwa kweli Mungu tusaidie
Wowote tu kazi wanayo. Huyo ana ndoa yake ila kamfuata huyu huoni kama na kuolewa nako ni shida tu? Hapo ameshamuambukiza mkewe kwa tamaa zake.Nami nimekukatia tiketi uje Mwanza nina mazungumzo. Ukipandishwa kwenye mwewe unatoa mzigo bila hata kutongozwa. Vijana mnategemea kuoa kazi mnayo.
Siyo kweli, hapo unatudanganyaSina hamu ni mwezi wa pili sasa na nimeamua kujitunza maisha yangu yote
AsanteHpn yupo sahihi utakiwi kukasirika ndugu yngu pole kwa mitihani...
AsanteHongera dada, mshukuru Mungu kwa hilo na kumbuka nadhiri yako usiivunje!
Soma vizuri nilichoandikaKumbe. Ni miezi mi2 tu kapime tena baada ya miez mingine mi3 ukikutwa huna ngoma hapo ndo ufanye sherehe
MWANENU NILIMTENGA KITAMBO NILIPOANZANA NA HUYU MHE.Aseeeh, Dada pamoja na yote uliyotaja hapa...Kwanza nilikuonea huruma Sana lakin Mwishoni ulivyosema hata mwanetu ulimpga chini na jibu ulilotoa hili kwa Comrade kipepe tena kwa herufi kubwa. Tukikujibu vibaya humu ni HALALI tunakuwa sahihi kabisa!!! Kuwa na huruma tafadhari angalau hata ungetuficha suala la mwanetu...
Mimi au wewe?Na hivyo ndivyo ilivyo baada ya kufanya ujinga ndiyo unaona tatizo....
Hapo ndiyo unapata funzo,usipoweza kujifunza basi wewe ni kilaza....
Pole mdada huyo wazir goli 2 wewe kurudi dar dereva kwani ulikuwa unafanya nae bila condoms?Hi guys
I hope mko vizuli,
Mimi siyo mgeni huku kama ambavyo mmeniona ila hii id ni ngeni, nimeamua kuficha jina halisi ili niwe huru kushare hili jambo langu ambalo nimekuwa nikitamani niseme ikiwa ni pamoja na kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuniokoa na janga hili.
Awali mimi ni mdada mwenye umri wa miaka 27 nipo kwenye ajira Wizara flani huu mwaka wa 2.
Ilikuwa mwaka jana December ambapo nilipata ka semina Fulani nje, nikiwa safarini nikutana na Waziri mmoja mtu mzima kidogo ( tukasalimiana, of course yeye hakujitembulisha maana ni maarufu ila mimi nilijitambulisha baada ya kusalimiana) tukabadilishana mawasiliano.
Baada ya kuludi nchini tuliendelea kuwasiliana. Siku moja akiwa kikazi Dodoma aliniomba anikatie ticketi ya ndege nifike Dodoma mara moja tukaongee jambo. Siku hiyo nilikuwa bored kiaina nikakubali wito.
Niliondoka kesho yake nikafika Dodoma dereva wake akawa amekuja kunichukua akanipeleka katika makazi yake pale Dodoma. Baada ya kufika kwake nilikaa kidogo nae mwenyeji wangu akawa amefika.
Tuliongea mambo mengi na mvinjo kidogo jamaa akaniambia amenipenda sana ( japo anayo familia) akaniahidi mambo mengi ( sikumbuki ilikuwaje lakini nilijikuta nikifanya mapenzi na huyu mheshimiwa) bao 2 taam sana.
Tukaagana yeye alipata dharula akaondoka kwenda mkoa wa jirani ila akanicha hapo kwake nikalala kesho yake nikachukuliwa na dereva airport nikarudi zangu dar.
Tuliendelea kuwasiliana hapa jamaa ilikuwa kama kakolea maana alionesha kunijali sana. Baada ya siku mbili alisafiri akaenda nje ya nchi. Tukawa bado tunawasiliana vizuri tu
Nakumbuka nilichukua namba ya simu ya dereva wake na siku moja akawa amenipigia tukapiga stori mbili tatu basi ikawa tunasalimia tu. Nakumbuka siku moja huyu kijana aliniambia ( Mheshimiwa anakupenda sana lakini kuwa makini linda afya yako)Mzee huwa anaenda nje ya nchi kutibiwa ( na hii ni siri kubwa ila mimi naijua nimekuambia maana nakupenda) Nikaamua nichunguze maana maneno hayatoshi kujiridhisha.
Nikaendelea kumchunguza huyu jamaa na picha alikuwa ananitumia lakini niligundua kitu kwamba ana ugonjwa ila sikujua ni ugonjwa gani maana kisukari wala presha hakuwa navyo ( Nikagundua ni mwathirika wa H.I.V) nilichanganyikiwa sana nikapunguza mawasiliano nae, mwishowe nikaamua nimblock kila sehemu.
Baada ya miezi minne kuisha nikaanza kupatwa na homa za ajabu ajabu hapa nikajua teyari nimeshaanza kuumwa. Nililia, nikapauka hata kazi zangu za ofisini nikawa sifanyi kiufasaha.
Niliwaza sana hatimaye siku moja nikaamua niende kupima alafu nianze kutumia hizo dawa.
Kufika maabara nikapima, lahaulaaaaaaa, nikawa nipo safi, nililia mbele ya Yule daktari machozi ya kutosha, nikamuomba anipime mara ya pili akapima, nikawa nipo mweupe kabisaaa .
Hii siku sintaisahau katika maisha yangu, ilikuwa siku ambayo nilirudisha matumaini ya kuishi
Kuanzia siku hiyo nikapona vihoma homa nikawa mtu mpya kabisa. ( Hata mchumba wangu ambaye nilikuwa nae nikaamua kuachana nae hadi pale Mungu atakaponipa mume) nilimwambia tu kama unanihitaji fanya unioe full stop.), niliahidi kutokufanya mapenzi tena hadi nikiwa kwenye ndoa ndivyo nilivyomwahidi Mungu.
Lengo la huu uzi ni kukumbushana tu kuwa Ukimwi upo, lakini kwa hili Mungu ameniokoa
Jina la Bwana libarikiwe!
Kwani na wewe ni Waziri au angalau MBUNGE? Au Mkurugenzi hivi au hata Manager?????Pole na kila la kheri katika maamuzi hayo mazuri,twende tukapime tulisongeshe!
Hapana mimi ni mkulima wa makataa!Kwani na wewe ni Waziri au angalau MBUNGE? Au Mkurugenzi hivi au hata Manager?????
Tangazo la biashara.....UKIMWI upo unaua. Dada acha kudanganya vijana wetu.bao 2 taam sana.