Nilivyomuona Mwana F.A Anafunguliwa Mlango wa VAT, Hakika Hakuna Ajuaye Kesho Yake

Unaambiwa fisadi balaa walipiga hela ndefu na mchengerwa. Kwenye yard yake nyumbani kwake kuna mabughatti, rangerovers 2025, wagon, rolls royce
 
Mkuu,

Unaibu Waziri tu ndiyo unakusumbua hivi?

Tena wa serikali inayonuka damu.

Au kuna zaidi?

Wengine hayo magari tumepanda tangu utoto.

Shida yako nini?
Jomba una wivu wa kikuda sana. Wewe mpagani acha roho mbaya
 
Kwanza kabisa mimi si mpagani, ila wewe ni mjinga.

Pili wewe ni limbukeni mtu akiwaambieni tu acheni ushamba wa kushobokea magari na vyeo vya serikali za kishenzi hizi mnaona lazima itakuwa ni wivu tu.

Mimi nimeanza kutembea corridors za Ikulu tangu niko tumboni mwa mama yangu, kabla sijazaliwa.

I was there at the Ikulu parties with Kaka Mako na kina Greemy before Greemy went to Ethiopia and then Italy back when Ikulu was Ikulu and the pesident was the president. That's before Hashim Mbita for you when Ambassador Magombe used to run the show.

I was there when Balozi Ben Mashiba was in the Presidential Protection Unit, sharing his Upanga Maliki Rd flat with Edward, before Edward got married. I was there at Edward's wedding.

Insider wa Ikulu Tanzania muda mrefu atajua.

I was there when my mother was at Ikulu, my uncle was Nyerere's propaganda man and another Uncle was heading Usalama.

Mimi si mshamba wa vyeo vya serikali. My father was a presidential appointee by both Mwinyi and Mkapa.

I was there translating the Dhamapada into Swahili with Andrew like a true Brahmin.

I was there when Abbas was creeping for hookers at Oysterbay Hotel in his Mitsubishi Pajero Intercooler Wagon

I was there when Salama was new in town, hiding in her Ikulu room, away from her country cousins from Zanzibar.

I was there when Mkapa was toasting Peter and drinking his highland single malt double doubles until he passes out, to be waken by Ernest.

I was there before he was president at the children parties with the Maros.

I was there at Mfaume, Sea View, Palm Beach Hotel soarees and Etienne's dances.

I was there when Museveni left his Ikulu apartment in Upanga without paying his TANESCO and water bills. Even the Muhimbili taxi drivers were stranded by Museveni.

I was there when Kighoma Ali Malima was fudging budget numbers.

I was there when Col. Seif Bakari was writing notes to Col. Fabian Massawe to get underprivileged kids into Jitegemee.

I was there when Judge Warioba was chatting with Ambassador Opanga about the presidency. When he was going to OFC matches and attending Gotta Iries Reggae Bash.

Wakati huo MwanaFA hakujua hata kupenga makamasi. Baadaye sana tulikuwa tunamuona anapelekwa shule na bibi yake.

Hayo magari makubwa makubwa ya serikali nimepanda tangu mdogo mpaka nimeyachoka.

Sasa hivi naendesha yangu mwenyewe nime park SUV ya Mercedes Benz GLE 450 4MATIC na Beemer hapo nje, tena Beemer X5 nimemuachia mtoto wa High School hajafikisha hata miaka 18 anaenda nalo shule, akirudi anaenda nalo gym.

Sina shobo na magari, gari ni chombo cha usafiri tu.

Sasa nawezaje kuwa na wivu na watu wanaopanda magari ya serikali ya kazi za lawama sana?

Mimi nimejiapiza sitafanya kazi ya serikali Tanzania.

Mtu anayepata unaibu waziri leo naanzaje kumuonea wivu wakati ni unaibu waziri wa lawama tu katika serikali iliyojaa damu kwa mtu anayejielewa?
 
Mkuu nimestuka sana baada ya kuona Heading
"MWANA FA KAFUNGULIWA MLANGO WA VALUE ADDED TAX (VAT)

Nkajiuliza jamaa kaanza lini kufanya biashara ,kumbe unamaanisha V8
 
Kwanza kabisa mimi si mpagani, ila wewe ni mjinga.

Pili wewe ni limbukeni mtu akiwaambieni tu acheni ushamba wa kushobokea magari na vyeo vya serikali za kishenzi hizi mnaona lazima itakuwa ni wivu tu.

Mimi nimeanza kutembea corridors za Ikulu tangu niko tumboni mwa mama yangu, kabla sijazaliwa.

I was there at the Ikulu parties with Kaka Mako na kina Greemy before Greemy went to Ethiopia and then Italy back when Ikulu was Ikulu and the pesident was the president. That's before Hashim Mbita for you when Ambassador Magombe used to run the show.

I was there when Balozi Ben Mashiba was in the Presidential Protection Unit, sharing his Upanga Maliki Rd flat with Edward, before Edward got married. I was there at Edward's wedding.

Insider wa Ikulu Tanzania muda mrefu atajua.

I was there when my mother was at Ikulu, my uncle was Nyerere's propaganda man and another Uncle was heading Usalama.

Mimi si mahamba wa vyeo vya serikali. My father was a presidential appointee by both Mwinyi and Mkapa.

I was there translating the Dhamapada into Swahili with Andrew like a true Brahmin.

I was there when Abbas was creeping for hookers at Oysterbay Hotel in his Mitsubishi Pajero Intercooler Wagon

I was there when Salama was new in town, hiding in her Ikulu room, away from her country cousins from Zanzibar.

I was there when Mkapa was toasting Peter and drinking his highland single malt double doubles until he passes out, to be waken by Ernest.

I was there before he was president at the children parties with the Maros.

I was there at Mfaume, Sea View, Palm Beach Hotel soarees and Etienne's dances.

I was there when Museveni left his Ikulu apartment in Upanga without paying his TANESCO and water bills. Even the Muhimbili taxi drivers were stranded by Museveni.

I was there when Kighoma Ali Malima was fudging budget numbers.

I was there when Col. Seif Bakari was writing notes to Col. Fabian Massawe to get underprivileged kids into Jitegemee.

I was there when Judge Warioba was chatting with Ambassador Opanga about the presidency. When he was going to OFC matches and attending Gotta Iries Reggae Bash.

Wakati huo MwanaFA hakujua hata kupenga makamasi. Baadaye sana tulikuwa tunamuona anapelekwa shule na bibi yake.

Hayo magari makubwa makubwa ya serikali nimepanda tangu mdogo mpaka nimeyachoka.

Sasa hivi naendesha yangu mwenyewe nime park SUV ya Mercedes Benz GLE 450 4MATIC na Beemer hapo nje, tena Beemer X5 nimemuachia mtoto wa High School hajafikisha hata miaka 18 anaenda nalo shule, akirudi anaenda nalo gym.

Sina shobo na magari, gari ni chombo cha usafiri tu.

Sasa nawezaje kuwa na wivu na watu wanaopanda magari ya serikali ya kazi za lawama sana?

Mimi nimejiapiza sitafanya kazi ya serikali Tanzania.

Mtu anayepata unaibu waziri leo naanzaje kumuonea wivu wakati ni unaibu waziri wa lawama tu katika serikali iliyojaa damu kwa mtu anayejielewa?
Umeandika kwa uchungu sana. Penga hilo kamasi. Wewe kukulia Ikulu haimaanishi unakosa wivu. Mtu much know kama wewe huwezi teuliwa hata kuwa mkata nyasi wa Ikulu.
 
Uchungu ubauona wewe huwezi juelewa mtu hataki teuzi za serikali ya Tanzania.

Mimi nimeitwa na balozi wa Tanzania UN niende nyumbani kwake, kuongea na yeye na rais Kikwete nipangwe kwenye hizo teuzi nikirudi Tanzania.

Nikampa balozi udhuru tu nikisema ningetamani kuwa nao wakuu, lakini nina kazi nyingi zikizokwishapangwa awali.

Nikikataa kujutana na balozi na Kikwete kuunganishwa kwenye pipeline ya teuzi hizi.

Kabla Mwana FA hajafakamia teuzi.

Sasa mimi nimechukua uraia Marekani na hang out Cipriani Wall Street. Nimeshajitia kwenye kushobikea hizo teuzi mwenyewe.

Uteuzi wa serikali ya kishenzi Tanzania nilishakataa mwenyewe nakwambia, huelewi wapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom