Sheikh! ukila pilau ya wenye nayo, nawe kubali kuliwa:View attachment 41577Alipata GPA ya 2 mpaka 2.5? Wewe una matatizo kuliko hata unayemjadili. Hivi pale UDSM wale wanaongoza pale ni maprofesa. Wana nini cha ziada na GPA zao kubwa. Tatizo la Tanzania sio elimu za viongozi wetu. Hata mtu mwenye GPA ya 5 awe Rais linaweza lisitokee Jipya. Sisi tunachagu Watawala na wala sio viongozi.
hivi wale walioitwa na Rais ni wazee wa DSM au wazee wa CCM?
Nikweli kabisa amesema hivyo!Wewe, ni kweli amesema hivyo? Ndo maana hajui kwa nini watanzania ni masikini ama anajua na wao wanajitakia!
hivi wale walioitwa na Rais ni wazee wa DSM au wazee wa CCM?