Remmy
JF-Expert Member
- Jun 9, 2009
- 4,701
- 1,797
Ndugu zangu, Leo baada ya kupoteza muda wangu mwingi kumsikiliza Mh Dr JK nimepata kumfahamu zaidi na namna anavyoendesha nchi yetu.
1. Raisi wetu ana ''average thinking capacity'' kama sitakosea masomo yake ya degree ya kwanza alipata GPA ya 2.0 hadi 2.5.
2. Dr JK anaongoza hii nchi kwa kutumia madesa na hii ni hatari sana maana hafikirii kufanya tofauti na kilichofanywa nyuma hata kama kuna haja ya kufanya hivyo.
Mwenye mengine unakaribishwa kushusha....
Nawakilisha
Average thinking capacity is enough! nadhani wengi wamely humo, ni wachache waliozaliwa na high thinking capacity ambao tunawaita genious!