Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,192
- 46,238
Vipi graduation ya mshua iliendaje?Konda Experience za maisha ya nje ya Bongo zipo tofauti sana usi conclude moja kwa Moja utakosea, Kila mtu ana experience yake na namna alivyopambana kuikabiri hiyo changamoto. Unaweza Ku Overstay, Ukatoa kitu kidogo Passport yako ikawa cleared na Maisha mengine yakaendelea. Na SA ukarudi kwa Passport ile ile. Tumeshafanya ivo sana. Kikubwa jipe nafasi ya kujifunza zaidi.
Leta mambo sasa mkuu.