Mgibeon
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 11,141
- 20,787
konda msafi hebu andika Uzi mwengine mtamu kuhusu maisha kule Kaburu maana naamini kuna visa vingi unavyo mbali kile cha khumbu!
Wabongo katika ubora wenuTatizo lilikuja kutokea siku moja kwenye Birthday Party ya Mchungaji wetu ilifanyika usiku nyumbani kwake. Tulifika waumini kama wote.Kulikuwa na Nyama choma kama zote. Sasa yule demu mrembo mwenye ndinga lake nae alikuwepo. Nikasema leo lazima nitumie nafasi vizuri. Party ilifanyika nje halafu kulikuwa na kigiza giza fulani hivi, Nikasema Leo natumia hii nafasi vzr, Nikawa napiga piga nae story pale, mara tunapiga piga picha pale, sikufanya makosa hadi tukabadilishana namba. Kosa nililolifanya ni kwamba baada ya kutoka pale zile Picha nakumbuka nilipost Facebook. Halafu Kanya sijawai hata siku moja kumpost. Ugomvi kati yangu na Kanya ulikuwa mzito. Ishu ya namna hii kwa Wanawake ni kubwa sana.
poor reasoning
Aliianzisha on 15 april naona ikabuma akaja na hii mpya ya akina Kanya hio ya kwanza anadai yule muuza ngada ni Ibra halafu anasema yeye ni Muisilamu na alienda kanisani kujifanya ni mkristo hata huwezi kujua kipi kipi Bs tu yaani.
Duuh endelea kushika zamu shuleni kwasbb wewe ni KILAZAHii CHAI HII CHAAI AISE KONDA USITUONE WOTE MAZWAZWA Nmesoma kichwa na sehemu ya 1 nkarefer na ile stor ya khumbu ambapo ulisema bondeni umefika kwa ndugu zako na ulkua na ndugu zako na lengo la kushuka bondeni llkua ni kujiendeleza na elim na ulienda round ya kwanza ukarudi kumalizia Advance bongo then ukarudi tena bondeni LEO UNALETA UZI TENA AAFU UNASEMA HUKUA NA NDUGU??YALEYALE YA MOTIVATION SPIKA enewei hii ni chai kama chai nyngne zlizojaa uko kwenye kula tunda kimasihara
Its just a quote,a belief,a hope and an inspiration to die.Mkuu avatar yako unaweza nielezea nielewe
Mkuu usicheke ujue kwenye harakati Tanzania niliimaliza maana kusema travellor akae dukani asubiri mteja ambae hawana ahadi nae nilishindwa
Mpyagula kwny mipunga huko hadi kutokea Loya.Hivi mkuu unapajua mpyagula , unaweza kupitia igunga au nzega, haya sio maisha kule mama ntilie wanauza 500 unapata ugali na kambale mkubwa, kuna mabasi wa waraabu koko yanaenda kule basi mtu kule anakuhadithia huku ukituliza hela unatoboa unamchek kiaina unasema ni kweli Boss, funguo za chumba chako lodge anakaa nazo mwenye nyuma, ukitakA kutoka anaitwa kufunga mlango ukirudi kijana anaenda kumwita akufungulie Bongo nyoso acha tu
Konda Msafi ana wivu sana. Ameona huu uzi unamfunika kwenye ule uzi wake wa Khumbu anaanza majungu, mara amuulize jamaa maswali yasiyo na kichwa wala miguu.konda msafi hebu andika Uzi mwengine mtamu kuhusu maisha kule Kaburu maana naamini kuna visa vingi unavyo mbali kile cha khumbu!
Mkuu nilitaka nisikujibu ila nimeona nikikaa kimya watu wanaweza kuamini hiki ulichokiongea. Humu bhana hatujuani, hata wewe hunijui ila umeongea kama unanijua. Kama hatujuani huo wivu unaouongelea wa nini? Pili niwie radhi kukuambia kuwa kuna vitu huvijui na ni bora ukakaa kimya kuliko kujiaibisha. Kuhusu kuoverstay na kugongewa exit nina uhakika kuna kitu umekificha na kama hujakificha basi huyo kondakita alikuficha. Ukiover stay halafu ukawa unarudi kwenu immigration officer hawawezi kukuzuia kurudi kwenu japo wakikufanyia roho mbaya wanaweza kukukamata na kukufungulia mashitaka ila kwa sababu ulitoa rushwa ya rand 300 wanaweza kukuruhusu uondoke nchini mwao ila huwezi kukanyaga nchini kwao ndani ya miaka 5 kama hutalipa hiyo fine ya kuover stay. Ndio maana nimekuambia kuna kitu hujakiongea kuhusu kuoverstay au huyo konda wa basi hakukuambia. Ukioverstay ukiwa unarudi kwenu in most cases watakuruhusu upite ila utapigwa fine ambayo utaambiwa either uilipe hapo hapo au ukailipie ubalozini kwao nchini mwako. Usipoilipa huwezi kurudi tena nchini kwao kwa muda wa miaka 5 labda ubadirishe passport, na sasa hivi hata ukibadirisha passport ni kazi bure maana finger print zako zitasoma kwenye system yao. Kuna mengi ningekueleza ila acha niishie hapa.Konda Msafi ana wivu sana. Ameona huu uzi unamfunika kwenye ule uzi wake wa Khumbu anaanza majungu, mara amuulize jamaa maswali yasiyo na kichwa wala miguu.
Mfano, eti ukioverstay South Africa huwezi kupita kwenda Lesotho hata kwa rushwa...kkkk, rushwa (kitu kidogo) ipo kila mahali.
Kuna mwaka nilikuwa natoka SA na basi la Shalom kwenda Lusaka ili niunganishe kuja Nakonde/Tunduma, Kondakta wa basi anatangaza kabisa kama passport yako ina shida (umezidisha siku za kukaa SA)nione, anazikusanya hizo passport na Rand 300 kila moja anaenda kuwagongea nyie mnasubiri kwenye basi. Tena ilikuwa December kipindi kibaya Home Affairs wote huwa wanaweka kambi hapo Beit Bridge.
Rushwa ipo Afrika nzima.