Nilitembea na ndugu yake.....

we potezea tu, maisha yenyewe ya kuchakuchuana haya,ukute hata yy kachakachua ndugu yako,we hujui tu na huna haja ya kujua!!
 
Best we tumia nyama ya ulim na hulka ya kike kumpasulia uo ukwel usijal atakuelewa tu
 
Wala usiwe na hofu Da pretty, just be honest na umweleze ukweli mpenzi wako. Huna haja ya kukosa amani coz hilo sio kosa labda kama ulimwongopea na kumfanya aamini kuwa hukuwahi kuwa na mahusiano hapo nyuma. Muwahi kabla hajaambiwa na wengine coz haitaleta picha nzuri na hiyo itamfanya asikuamini. Kuwa makini na kauli utakazotumia my dear. Mungu akutangulie.
 
Undugu gani huo wa maboga kukutana kikapuni? mwambie mpenzi wako ukweli ili uwe free, unajua huyo kijana lazimaaseme tu,upende usipende, sasa ilikuwaje hukumtaja wakati mnaambiana mambo yenu ya past?hapo ulichemka sana
 
da pretty uko sawa tu na mimi, honey pot its yours, you can give it to any one.
Mweleze huyo kijana alijue hilo mapema.
Pia its sounds like umemzidi umri kidogo.
Kitu gani kimekufanya uone kama kamzidi umri?
 
Undugu gani huo wa maboga kukutana kikapuni? mwambie mpenzi wako ukweli ili uwe free, unajua huyo kijana lazimaaseme tu,upende usipende, sasa ilikuwaje hukumtaja wakati mnaambiana mambo yenu ya past?hapo ulichemka sana

Hapana D,

Hawa watu wana muda wa miezi 2 tangu waanze uhusiano. Ni muda mfupi sana kumweleza mtu kila kitu chako. Kwa hiyo mleta mada hana kosa lolote. Pia kuna watu wanasema kwamba amekosea kujifanya hamjui huyo ndugu waliyekutana naye...hilo pia si kosa kwani haya mambo yanahitaji muda na mazingira mazuri kuyaongelea.

Jambo ambalo nakubaliana na wadau ni binti kuwa makini katika kuchagua maneno wakati anaongea na huyo BF wake!
 
Halafu wewe DP usirudie kutumia maneno makali namna hiyo. Kichwa cha habari kina-mislead. Kinaonesha kama ulikuwa na uhusiano na mtu, na wakati huo huo ukanganya mapenzi na ndugu yake. Ila mada yenyewe inaongelea uhusiano halali uliokuwepo kabla ya kukutana na huyu kijana. Kwa hiyo ungesmea kuwa ulikuwa na uhusiano na ndugu wa BF wako wa sasa. Kuwa na uhusiano na mtu (hadi wa kimapenzi si kosa) ila kutembea na kufanya ngono na mtu mwingine wakati huo uko kwenye uhusiano (kutembea nje ya uhusiano wako au ndoa) ndo dhambi ambayo wanaume wengi huwawia vigumu kuisamehe. Issue yako ni very simple! Labda mwanaume awe mpuuzi!!

sORRY DC,
sijui kuedit ningefanya hivyo, but sikujua kwa haraka nitumie neno gani
 
da pretty uko sawa tu na mimi, honey pot its yours, you can give it to any one.
Mweleze huyo kijana alijue hilo mapema.
Pia its sounds like umemzidi umri kidogo.
Sijamzidi wala hatulingani, ananizidi 3yrs
 
Bidada tena ukimaliza hapo uwahi haraka kabla ya hatari, yule aliyejifanya hakujui sasa hivi anatembeza sumu hatari, yaani anaweza akawa amesha waambia watu hata wanne "namjua yule msichana" bora umwambie kabla hajaambiwa na mwingine, inaonekana kwenye kuelezea background yule ulimruka , narejea kwenye thread moja ilikuwepo hapa juzi kwamba kwa nini wanawake huwa wanapunguza idadi ya wanaume waliokuwa nao mahusiano,while wanaume wanaongeza? jibu tumelipata kwako
Hapana hatukuuliza tulikua na wangapi kabla hatujakutana ila tuliulizana uhusiano wa mwisho na kuanza upya. By the way hakukua na kutaja majina kwamba nilikua na fulani ni kabila fulani na anakaa wapi. So still isingeweza kumpa picha kama nilikua na ndugu yake.
 
Habari,
Hivi karibuni nimeingia kwenye uhusiano mpya na kijana ambaye ninahisi ananipenda kweli.
Tunakaribia mwezi wa pili katika uhusiano sasa, ni mvumilivu na hana haraka na mwili wangu.
Ni rafiki mzuri na amenitambulisha kwa rafiki na ndugu zake wengi maana karibu kila weekend nakutana na watu wapya.
Kilichotokea jana kanitambulisha ndugu yake ambaye nilimbana sana kujua undugu wao akaniambia bibi zao ni ndugu. Huyo kijana tunafahamiana vizuri japo tulijifanya hatujuani ni kua alikua shemeji yangu kipindi cha nyuma nimewahi kuwa na uhusiano na kaka wa huyo kijana niliyetambulishwa.
Huyo kakaake kijana nilikua nae mwaka 2005 nikiwa chuo na tuliachana baada ya yeye kwenda nje na kukata mawasiliano na mimi.
Tukaongea vizuri kama hatujuani ila kiukweli nilikosa amani na nimekosa amani hadi sasa na hata sielewi nifanyeje!
Najiuliza vipi kama atamwambia au nikimwambia atalipokeaje na huyu mpenzi anaonesha kuniamini.
Nifanyeje? Sielewi..............!



kumwambia nin?
tatizo ninin?
mi wala sjakuelewa ata kdg pbm ninin
 
Akichelewa atakuta mwana si wake, kuna watu wanasema ni mapema kusema, ithot uhusiano unapoanza mnaambiana background yote bila kificho

Watu wengine especially wanawake hawapendi kuongelea mahusiano yao ya nyuma. Ukitaka kujua lazima u-probe na inawafanya wajisikie vibaya kuulizwa. Nadhani wanahisi kuwa na wanaume wengi huko nyuma ni uhuni wakati wanaume wanaona fahari kutaja kuwa FG wa sasa labda ni wa 115!!!

Katika mazingira ya sasa ambayo watu hawasubiri hata birthday yao ya 10, ni bora kuweka mambo mezani ila sishaurii hizo topic kupewa kipaumbele katika siku 100 za mwanzo wa uhusiano! Kwanza watu watamaniane sana kabla ya kumwagiana nyongo!
 
kumwambia nin?
tatizo ninin?
mi wala sjakuelewa ata kdg pbm ninin

Binti wa watu kakosa amani kuvumbua au kugundua kuwa karibia anapandanisha mtu na ndugu yake...Hilo siyo tatizo?

Halafu la msingi linalotufanya tumshauri ni kwamba binti wa watu pressure inapanda na kushuka wakati hana kosa lolote la jinai au la kimaadili!
 
Hapana hatukuuliza tulikua na wangapi kabla hatujakutana ila tuliulizana uhusiano wa mwisho na kuanza upya. By the way hakukua na kutaja majina kwamba nilikua na fulani ni kabila fulani na anakaa wapi. So still isingeweza kumpa picha kama nilikua na ndugu yake.
Basi hana cha kukuuliza kama ni hivo, maana mahusiano mengi yanapoanza huwa mnaambina mengi sana, na kama hamkutajiana majina ndio vizuri kabisa, kumbe una kazi rahisi sana kuliko unavotegemea
 
can you do that????
women huwa hawasemi kila kitu from my experience
Kuna ya siri hatusemi ila hili lake lilishuhudiwa na watu wengi, nafikiri mwanzo wa mahusiano unakuwa hakuna cha kuficha, ya kuficha ni yale yaliyofanyika katika uhusiano au ni aje the boss
 
Back
Top Bottom