Kwanza nianze kwa kuomba samahani kwa uzi huu mrefu
Mimi ni kijana wa kiume nna umri wa miaka 22, nilimaliza kidato cha 4 mwaka 2013 katika shule ya jeshi makongo (dar es salaam) nikafaulu kwa daraja la 2 point 18 ambapo alama zangu zilikua kama ifuatavyo
Biology B+, chemistry C, physics C, basic mathematics B plain, geography C, kiswahil B+, English B plain, history B+, civics B
Nikachaguliwa kujiunga na kidato cha 5 mwaka 2014 katika shule ya secondary Tosamaganga mkoani iringa kwa mchepuo wa EGM (kwa kipindi hiki nilikua na ndotonya kuwa bank teller) nikafanya mtihani wa kidato cha 6 baada ya hapo nikaenda JKT kwa mujibu then majibu yakatoka nikiwa kule nikapata Geography D, Economic E na advanced mathematics E hapo nikawa sina sifa za kujiunga na chuo kikuu
Nikiwa bado JKT nikaomba mtu alie nyumbani (ndugu yangu) anifanyie application za chuo ngazi ya diploma kupitia nacte kwa sababu tulichelewa kufanya application nikakosa vyuo vya serikali nikapata chuo flani cha private kipo dar es salaam kozi ya clinical medicine (niliona bora nisome diploma ya kozi za afya sababu ni marketable na pia uwezo wa kusoma ninao) kile chuo kilikua hakifahamiki so wazazi na ndugu wakawa wana mashaka nacho nikashauliwa niende nikasome halafu baadae niombe uhamisho kweli nikaenda kuanza masomo mwaka jana mwezi wa 10 kwa kweli chuo hakiko vizuri hakina mazingira mazuri ya kusomea kipo barabarani sana na eneo lake ni dogo mno yajipaki magari 6 tu panajaa ni jengo la ghorofa 2 tu, chuo hakina zahanati wala duka la madawa, uongozi wa chuo hauko vizuri wanashindwa kucordinate mambo mbali mbali yahusuyo chuo kwa ujumla wanafunzi walienda field week 1 tu pia ada yao ni kubwa sana haiendani na huduma wanayoitoa
Nikaendelea na masomo nikiwa na jipa moyo kuwa nitahama baada ya kufanya process kadhaa za uhamisho zikashindikana, so nikaona bora niterminate masomo kwa mwaka huu 2016/2017 halafu application zikifunguliwa niombe tena mwaka wa masomo 2017/2018 ili nikaanze tena masomo katika chuo kingine (cha serikali) kwa fani either ile ile clinical medicine, diagnostic radiography, optometrist au dental. Sasa kumbe pale nilivyoterminate yule mtu wa chuoni ambae alitakiwa ani decline katika system hakufanya hvo kwahyo juzi hapa ijumaa iliopita nacte walipofungua tu nikaanza kufanya application lakin kwa sabab yule register wa chuoni haku decline kwahyo nikashindwa kufanya application
Nikawaza niombe diploma ya electric and biomedical engineering(kwa sababu ni marketable na nina uhakika naweza kusoma) either DIT au ARUSHA TECHNICAL COLLEGE tatizo katika kutuma maombi inatakiwa copy ya cheti cha form 4 ambacho mm kwa sasa sina wakati nipo chuoni mwaka jana tulivikusanya ili viende necta vikahakikiwe na wanasema vinarudi baada ya mwaka 1. Kwayo hapa najikuta sina jinsi kwa hyo naomba ushauri sehemu hz mbili
1.je nikarudie mtihani wa form 6 kwa mchepuo wa EGM (masomo economic na advanced mathematics) ili niweze kusoma bachelor ya engineering ambayo ipo compatible na EGM
2. Au nikarudie advance kwa ujumla yan form 5 and 6 kwa mchepuo wa PCB (naweza) ili nianze kusoma degree moja kwa moja kwa mwaka 2019/2020 kwa sabab hata nikianza diploma mwaka huu degree (MD) nikaifikia 2027 na hapo hadi niwe nimepata GPA ya 3 diploma (naweza kupata lakini ya mungu mengi) lakini nikirudia advance form5 na 6 mwaka huu ntamaliza form 6 2019 ntaanza degree mwaka 2019/2020 ntamaliza (MD) mwaka 2025 na naomba shule bora ya kuweza kusoma PCB ada isiyozidi mil 2.5
Narudia tena kuomba samahani kwa uzi huu mrefu ila naomba msaada wenu kimawazo ndugu zangu