ICT_student_TZ
JF-Expert Member
- Jun 27, 2018
- 392
- 181
ok kama ni hivo vizuri sana..Huwa Wanapewa vyote viwili kila kimoja kwa wakati wake
ok kama ni hivo vizuri sana..Huwa Wanapewa vyote viwili kila kimoja kwa wakati wake
Usibishe vitu usivyojua.Shida sio kulearn ila kuelewa ndo tatizo labda jamaa hajui kujielezea ila kitu kama hichi hakipo kamwe sababu..
1. Kwanza huwezi fanya mtihani wa form six akati wewe unasoma diploma au wewe inakuingia akilini???? Usome diploma alafu uletewe mtihani wa form six???????
Sema hongera labda wewe umelearn something...
Mtu mjinga ni yule asiejua kitu na anajua hajui. Ujinga sio kitu cha kudharauliwa maana unaweza kuelimishwa(kujuzwa) ukaondoa ujinga.Shida sio kulearn ila kuelewa ndo tatizo labda jamaa hajui kujielezea ila kitu kama hichi hakipo kamwe sababu..
1. Kwanza huwezi fanya mtihani wa form six akati wewe unasoma diploma au wewe inakuingia akilini???? Usome diploma alafu uletewe mtihani wa form six???????
Sema hongera labda wewe umelearn something...
Ndo nini sasa??? Bishana kwa hoja usiwe mjinga...Mtu mjinga ni yule asiejua kitu na anajua hajui. Ujinga sio kitu cha kudharauliwa maana unaweza kuelimishwa(kujuzwa) ukaondoa ujinga.
Mtu mpumbavu ni yule asie jua kitu fulani lakini hajui kama hajui, anadhani anajua, juu ya yote hakubali kama hajui na hataki kujua.
Upumbavu ni tatizo na fedhea kubwa, maana ni ngumu kwa mpumbavu kuelimika na kuelimishwa(kujuzwa) sababu mpumbavu anajiona anajua. Mpumbavu hubaki na ujinga wa kudumu daima.
Usibishe vitu usivyojua.
Hata watu waliosoma diploma kitambo wakitokea form 4 wengi tu walikuwa wanafanya mtihani wa form 6 wakiwa ktk ya masomo ya diploma.
Kwa huyu dogo atakuwa kasoma ile program maalum ilianza wakati wa awamu ya Kikwete na kufanyiwa mabadiliko enzi za Magufuli.
Umesahau wale wa UDOM walio itwa vilaza?




Labda kama wanafanya mitihani ya Arts advance...Umeambiwa mwaka huu pia wamedahiliwa wanafunzi wengine kusoma hiyo kozi.Bora ulitolewa maana ni utaratibu wa kihuniii sana..
Kozi wanasoma masomo ya sayansi au arts kulingana na ulivyo faulu kidato cha 4.Labda kama wanafanya mitihani ya Arts advance...
Yani ualimu unasoma ndani ya mwaka mmoja????? Au masoma ya diploma na A level yanaenda pamoja???? Au unajisajili udom diploma alafu unaenda kusoma A level shule nyingine.. Yani sijaelewaa labda mpaka nikasome nionee ila kwa akili za kawaida its Nonsense na haiingii akiliniKozi wanasoma masomo ya sayansi au arts kulingana na ulivyo faulu kidato cha 4.
Kinashindikana nini kusoma masomo ya advance hiyo miaka 2 ya kwanza na kumalizia kizi za ualimu mwaka wa mwisho wa 3 kwa mfano?
Kwa taarifa yako, umeambiwa kozi ni ya miaka 3 ndio wanahitimu astashahada(diploma).
Ila we jamaa kichwa ngumu sana sijui wa wapi yani huelewi chochote elimu yako sijui imekusaidia nini umeshaambiwa huo mfumo ulikuwepo na hata mwaka huu tamisemi imetoa majina ya watu kwenda kusomea hiyo kozi hebu Fungua akili uelewe basi usiwe close mindedBora ulitolewa maana ni utaratibu wa kihuniii sana..
Nina wasiwasi na elimu yako (sio Shule )
Narudia tena ELIMU YAKO





Elimu yangu ni kubwa sana ndo maana nashindwa kuelewa upuuzi ninaoambiwa hapa...!!Nielewe nini...!! Ebu nijibu ukimaliza hiyo Course unapewa Cheti cha A level au Diploma???? Na unapewa diploma ya nini kama maana diploma ni miaka mitatu sasa kuna haja gani ya wewe usome na A level tenaa at the same time?????? Unasoma chuo alafu unanambia tena ni A level???? Hivi mmelewa pombe...???? Sema labda mtu anasoma Udom masomo ya Phy..Chem na education kwa pamoja na kufanyia mtihani sio kuanza kunambia habari za A level na diploma kwa wakati mmoja... kafieni mbele hukoo na upuuzi wenuIla we jamaa kichwa ngumu sana sijui wa wapi yani huelewi chochote elimu yako sijui imekusaidia nini umeshaambiwa huo mfumo ulikuwepo na hata mwaka huu tamisemi imetoa majina ya watu kwenda kusomea hiyo kozi hebu Fungua akili uelewe basi usiwe close minded
Kuendelea kukuelekeza mtu kama wewe ni kuusapoti na kuuendeleza ujinga wako ngoja nikuache kidogo fikirisha ubongo ujue ni jinsi gani yanayodhaniwa hayawezekani yanawezekanaNielewe nini...!! Ebu nijibu ukimaliza hiyo Course unapewa Cheti cha A level au Diploma???? Na unapewa diploma ya nini kama maana diploma ni miaka mitatu sasa kuna haja gani ya wewe usome na A level tenaa at the same time?????? Unasoma chuo alafu unanambia tena ni A level???? Hivi mmelewa pombe...???? Sema labda mtu anasoma Udom masomo ya Phy..Chem na education kwa pamoja na kufanyia mtihani sio kuanza kunambia habari za A level na diploma kwa wakati mmoja... kafieni mbele hukoo na upuuzi wenu
Kafie mbele huko huna point...!!!Kuendelea kukuelekeza mtu kama wewe ni kuusapoti na kuuendeleza ujinga wako ngoja nikuache kidogo fikirisha ubongo ujue ni jinsi gani yanayodhaniwa hayawezekani yanawezekana







