Mkuu acha kuntukana mwenzako,Diploma ya ualimu uwa ni two years(i thnk so) sasa kwa upande mama ndalichako alikuja akasema kwamba....kwasababu hawa wametoka form four direct inatakiwa wafanye ACSEE na Masomo ya Diploma kwa pamoja
But ilikuwa kwa masomo mawili tuu! tofauti na Advance direct unafanya masomo matatu yote(eg. sikuizi o'level mtu anaweza akachagua akafanya chem &bios na masomo mengine yaliyobaki ila physics haifanyi
So this year wamefanya necta mwezi wa pili na pepa ya diplima wakafanya baadae
So wana wanagewa cheti kutoka NACTE NA NECTE....mkuu kuwa mwela kuna kijana nilimfundishaga ana result slip ya necta
So msaidien if is possible kwa yeye kupata chuo kupitia hizp pass mark za two sublect, may be anataka aachane na Education