Mount Kibo
JF-Expert Member
- Apr 7, 2013
- 1,956
- 553
Na mimi ndo namshanga..kwanza ameanza stori kama vle ni yeye ..baadae anakuja na swaga eti hili limemkuta rafiki yangu.Kama kweli inawezekana marehemu yaliyomkuta ni sehemu ya ule usemi `Malipo ni hapa hapa duniani'Wewe ulikua unafanya shughuli zipi mpaka ukapata upenyo wa kuchambua 'mesej' za marehemu?