miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,110
ushahidi upande wa pili hayupo so just go ahead na maisha yako
bora unisaidie kushangaaHainingii akili....yaani mtu aogope kuwasiliana na buzi lake kwa simu yake atumie simu ya mwengine tena mke wa mtu hata kama ni kweli ila huyu mkeo nae hajiheshimu atakubali vipi kumfichia uchafu shosti wake kwa kuiweka rehani ndoa yake........
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
mmmmmh! Punguza kupigilia msumari wa moto bas
Nipo wanajamvi, ni majukumu tu ndio yanabana.
Asanteni kwa ushauri, pamoja na changamoto zilizo chamgiwa. Na kwakua muhusika ni member wa jf, bilashaka amewapata vilivyo.
Mgirik, sijakimbia mkuu. majukumu ndio yamenibana.