Nilipopewa simu ya marehemu......

Nilipopewa simu ya marehemu......

Ushimen

Platinum Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
44,856
Reaction score
113,314
Alikua kijana mtanashati na mwenye kujipenda pale mtaani kwetu.
Mauti yalimkuta baada ya kuwekewa sumu na asiyejulikana kwenye kinywaji.
Kwakuwa marehemu alikua mtuwangu wa karibu, nilikhusika katika maandalizi ya maziko, pamoja na shugulizote pale nyumbani kwao.
ilipewa jukumu la kumiliki simu ya marehemu kwa muda ilikupokea simu zinazo ingia pamoja na kuwajulisha ndugu, jamaa na marafiki kuhusu msiba.
Ghafla nilivutiwa na majibizano ya meseji kwenye simu ile alokua akijibizana na mwanamke, na nilipoisoma vizuri ndipo nilipogundua kuwa ilikua ni namba ya mkewangu. Moja kwa moja nikagundua mkewangu alikua na mahusiano na marehemu.
Ndipo bilakuaga niaondoka kuelekea nyumbani.
Nilipofika bila kuchelewa wala salamu nikampokonya mkewangu simu yake, nikaanza kukagua meseji moja baada ya nyingine na huku mapigo ya moyo yakipaa kwa kasi. Ndipo nilipo zishuudia meseji nyingi za kimahaba amabazo mkewangu alikua akiwasiliana na marehemu. Nilimuita kwa ghadhabu na hasira huku nikitetemeka, na bila kusubiri nikaanza kumsomea madhambi yake na nikimuonyesha ushahidi wa mseji zile.
Chaajabu mkewngu alicheeeeka hadi akagaagaa chini, hapo pigwa na bumbuwazi kwa mara nyingine tena.
Mkewangu alinipa jibu ambalo limeniweka njiapanda. Ameniambia hiyo simu na meseji hizo sio zake, bali ni rafikiyake wanaefanya kazi pamoja ndio alikua akiazima simu yake na kuitumia kuwasiliana na mareheu. Kwani hakupenda kutumia simu yake kwa kuhofia kugundulika na mumewe.

Mkasa huu umemkuta rafikiyangu, na hajui lakufanya zaidi amechanganyikiwa kwa kua hajui aamini lipi. Pia anashindwa kumshirikisha mume wa rafiki wa mkewe huyo anaedaiwa na mkewe kuhusika na meseji zile, anahisi ataleta vurugu na ugonvi kwenye familia ili.

Ushauri wadau
 
haha mie umbea ushanshikajeeeeee uuwi com bak soon
 
Eheee..maana hapa nina kazi ya kutunga hadithi. Naona ukimalizia itanifaa sana. Can i copy it?
 
Wewe ulikua unafanya shughuli zipi mpaka ukapata upenyo wa kuchambua 'mesej' za marehemu?
 
Msamehe marehemu ili safari yake iwe yenye amani
 
Alikua kijana mtanashati na mwenye kujipenda pale mtaani kwetu.
Mauti yalimkuta baada ya kuwekewa sumu na asiyejulikana kwenye kinywaji.
Kwakuwa marehemu alikua mtuwangu wa karibu, nilikhusika katika maandalizi ya maziko, pamoja na shugulizote pale nyumbani kwao.
Nilipewa jukumu la kumiliki simu ya marehemu kwa muda ilikupokea simu zinazo ingia pamoja na kuwajulisha ndugu, jamaa na marafiki kuhusu msiba.
Ghafla nilivutiwa na majibizano ya meseji kwenye simu ile alokua akijibizana na mwanamke, na nilipoisoma vizuri ndipo nilipogundua kuwa ilikua ni namba ya mkewangu. Moja kwa moja nikagundua mkewangu alikua na mahusiano na marehemu.
Ndipo bilakuaga niaondoka kuelekea nyumbani.....

Samahani wadau,
nitarudi kuwapa kilicho jiri

acha uongo ww! Inamaana mkeo alikuwa hajajua kuwa jamaa kafariki? Yaan ww ujue halafu mkeo asijue wakat wote mnakaa pamoja! Hujanishawishi bado na hatutaki mejesho wako
 
acha uongo ww! Inamaana mkeo alikuwa hajajua kuwa jamaa kafariki? Yaan ww ujue halafu mkeo asijue wakat wote mnakaa pamoja! Hujanishawishi bado na hatutaki mejesho wako


Mgirik, kwanza usipende kuwakilisha mawazo ya mtu mwingine,
namaanisha usipende kudandia gari kwa mbele,
nisawa na kunywa chai kwa picha ya mkate.
 
acha uongo ww! Inamaana mkeo alikuwa hajajua kuwa jamaa kafariki? Yaan ww ujue halafu mkeo asijue wakat wote mnakaa pamoja! Hujanishawishi bado na hatutaki mejesho wako


Mkuu, ukija humu jf kwa lengo la kushawishiwa utaangukia pua Mgiriki.
Hapa ni hoja kwa kwenda mbele, acha tabia ya ku kurupuka kwa usilo lijua, na kwa kukuonyesha kwamba nina uwezo wa kukushawishi, ni kuona umeusoma uzi husika na ukatoa ushirikano kwa ku re-play.
 
Mgirik, kwanza usipende kuwakilisha mawazo ya mtu mwingine,
namaanisha usipende kudandia gari kwa mbele,
nisawa na kunywa chai kwa picha ya mkate.

usipende kudanganya watu wazma na akili zao ukadhan watoto wenzio........ Nisawa na kuota kama umemuoa mtoto wa obama
 
Mkuu, ukija humu jf kwa lengo la kushawishiwa utaangukia pua Mgiriki.
Hapa ni hoja kwa kwenda mbele, acha tabia ya ku kurupuka kwa usilo lijua, na kwa kukuonyesha kwamba nina uwezo wa kukushawishi, ni kuona umeusoma uzi husika na ukatoa ushirikano kwa ku re-play.

na usije ukajidanganya kuwa utaleta uongo wako hapa na utaungwa mkono hlo sahau......
 
acha uongo ww! Inamaana mkeo alikuwa hajajua kuwa jamaa kafariki? Yaan ww ujue halafu mkeo asijue wakat wote mnakaa pamoja! Hujanishawishi bado na hatutaki mejesho wako


Mgiriki, kunawenzio hapa jamvini husema (minapita tu). Nakupa vyako ili siku nyingine usirudie tabia hii kwa mdau mwingine, na kwa kuku ongezea kaa ukijua (jitambue) kwamba wadau wa aina kama wewe wamewavunja mioyo wadau wengine wengi wenye kupenda kuleta mada jamvini kwa kuhofia kuzodolewa na member kama wewe.
 
usipende kudanganya watu wazma na akili zao ukadhan watoto wenzio........ Nisawa na kuota kama umemuoa mtoto wa obama


Mgirik, ukija na hoja ya utoto nadhani haupo vizuri, na niseme bilashaka utakua umevurugwa.
Hapa jf sidhani kama pana nafasi ya hoja dhaifu kama unayotaka kuitumia (utoto, uongo). Kimsingi hulazimishwi kuamini au kutoamini.
Labada nikufumbue kidogo kwamba humu jamvini wadau huja kwa sababu tofauti tofauti. Wengini kujifurahisha, kupunguza msongo wa mawazo, kutakaushauri na kadhalika.
WEWE NAHISI UMEVURUGWA NYUMBANI AU KAZINI na umeamua kuja kuzimalizia jf......
 
na usije ukajidanganya kuwa utaleta uongo wako hapa na utaungwa mkono hlo sahau......



Mgiriki, kwanza sihitaji kuungwa mkono zaidi ya ulivyonionyesha ushirikiano wa hoja dhaifu zisizo na afya, na bahati nzuri nimekupata na nakupa bakora za kutosha na kwaniaba ya wengine wenye hoja na mawazo mgando kama ya wewe.
 
Back
Top Bottom