amekataa kurud amesema nmemzodoa hvyo anaona aibu kuirud........
Hahahaaaa nawe ulali tu shemejii mkuu aje kumalizia uhondo!!! mi nahisi uwepo wako ndo shida..
amekataa kurud amesema nmemzodoa hvyo anaona aibu kuirud........
aah! Shemeji leo silali kabisa nazisaka usiku kucha mpaka nifute jina la shemeji nikuite wife ........... Si unakumbuka kuwa kwann nakuita shemeji?
Haya.. endelea kuota shemejiiii..
wakat mwingne ndoto huwa kweli hahahaaa!
Ndoto haiwezi kua kweli shemejiiiii, Ndoto ni ndoto tu... ukitoka nje ya chumba chako hata kusahau ulichoota ni rahisi...
mbona simpo tu..check time za sms, time ya mkeo anayo rudi na kuwa hoem unaijua
so mda huo atakuwa yupo mbali na friend wake , kama sms zinaonyesha time ambayo mkeo akiwa home or mbali na friend wake lakin bado sms zilikuwa zikijibiwa jiongeze
ila kama hiyo trick waliikwepa wew muite friend wa mkeo mzungumze hujue ukweli