Mtalingolo
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 2,181
- 410
- Thread starter
-
- #21
Eee bwn hata ka-Uzi katamu !
Unajua kwa nini ?
Kwa sababu ni mtambuka kuanzia hao waliotuzaa nawao pia walikua watoto !
Ndiyo kusema hamna aliyekwepana na mambo ya ujinga wa kitoto.
Natamani ni'force members wote wachangie huu uzi mi nitoke kwanza maanake nimekaangiwa mayai na vijirost naona vinapoa, acha nipeleke pwani then nirejee
nilikua naamini RAIS ni mtu mwenye akili kuliko watu wote kwenye iyo nchi...
Husn ,
pamoja na yote mi naamini umeacha simu/computer yako ukatoka kusindikiza wageni kiduchu, kapita mtoto/mtu mwingine kachezea kakujibia.
Na kama ni wewe basi leo hujaamka vizuri, labda kuna mtu/Jirani kakutibua asubuhiasubuhi.
Mtu alikua akinitania "mchumba" nalia.. Nafikiri atanioa kweli.
Niliamini watu wanao vaa miwani ni watu wasomi na wenye akili nyingi,na mi pia niltamani sana kuvaa miwani..ila mpaka leo cjaugua macho.lol.
Hiyo namba 3.
Wazungu wote wanajua kingreza
Bibi akisema kalalia ubavu mmoja
Mungu ni mzungu
Niliamini k ya housemade wetu ilikuwa inatiwa sukari kama alivosifiwa na BF wake. nk.nk.nk.nk.
wewe mtoto mimi mama yako nilikuambia useme hivi 'nilikuwa naamini wakubwa hawaendi haja kubwa'.
Kongosho,
Mi sijakuelewa ina maana kama vile TBL kuzalisha bia au TANESCO kuzalisha umeme ukijua ni matusi au?
Mmh wewe ulikuwa mkubwa wewe, mi nilikuwa nalala na house girl wetu kwa bed moja na walaaaaa sikuwa na waza kitu, ...
Una bahati sana
Ungelala na @arusha, baba mngoni, mama mchaga!!
Angeshakubemenda siku nyingi na ndi umgewaza kitu
Ndio mambo ya utoto hayo,yani mpaka naanza form one nilikua naamini ivo,kumbe wengi tu alosto!!Nakuunga mkono CANTA, na pia niliamini ukitaka kumwomba hela mzungu unamwambia" GIVE ME MY MONEY"...
Whaoooh... Mshukuru mungu pia...
Mtu alikua akinitania "mchumba" nalia.. Nafikiri atanioa kweli.
Mtu alikua akinitania "mchumba" nalia.. Nafikiri atanioa kweli.