Nilipata ajali na Mungu akaninusuru

🤣🤣🤣alijikuta sokoine ghafla..mie ningemkalishia msumari kbs
Muone hapo alivyonunuliwa. Yaani CCM ni matapeli.

Mtu ambaye CHADEMA walimwamini wakampa tiketi ya kugombea ubunge, CCM ya kina Pole pole wakamtapeli akahama halafu wakamhonga utendaji wa kijiji😂😂😂😂 ili akapigwe. Wamemkomesha dadekiiii🤣🤣🤣

1618575636152.png
 
Back
Top Bottom