Niliomba kazi air hostess nikanyimwa

Niliomba kazi air hostess nikanyimwa

Niliwahi kuomba kazi ya air hostess ATCL nikapigwa danadana hadi nikakata tamaa. Mvuto ninao tena urefu ninao. Sasa matokeo yake mnaajiri vijitu vifupi mnaishia kupondwa bungeni

Uliomba Kazi na ukanyimwa je, uliweza na Kutoa kitu Kingine ulichokabidhiwa na Mwenyezi Mungu chenye Ushawishi wa Kimwonekana na Kimwili kwa Wapokea Maombi hayo ambao najua ni Wanaume watupu na wakashindwa Kukusaidia uweze Kupata hiyo Kazi ambayo inaonekana unaipenda na kuitamani hadi hivi leo Mkuu?
 
Utakuwa wewe ndio mzuri hapo nyumbani kwenu tuu ila huku kwenye jamiii utakuwa unaonekana kama mwanaume tuuu
Nilijilinganisha na air hostesses niliowakuta yaani hamna kitu. Wafupiiiii
 
Unajua kiingishi wewe,ukarimu je..? Na hilo jina lowasa limesimama Kama nini..? Uzuri unao chura je..? Urefu unao michuchumio utaweza..?
 
Back
Top Bottom