Nilinusurika kudakwa na baba mtu

Nilinusurika kudakwa na baba mtu

mwanakijiji lugusi

Senior Member
Joined
Apr 13, 2016
Posts
128
Reaction score
98
Nakumbuka ilikuwa 2012 nilienda kwao demu kumpa hi mida saa 3 usiku.Akaniambia dingi hayupo njoo nipo rum kwangu,kidume nikazama nikapewa na mzigo,mambo si yakanoga.Huku kumbe mdingi karudi tayari kafunga na milango yote na funguo akaenda nazo chumbani kwake.Huwezi amini nililala ndani kwao demu mpk asubuhi saa 5 ndo nilitoka.Mkojo wa usiku nilikojolea kwenye jagi la maji ya kunywa.
 
mmmmh endelea ulipokojolea jagi la maji ya kunjwa ilikuwaje!.....
 
Nakumbuka ilikuwa 2012 nilienda kwao demu kumpa hi mida saa 3 usiku.Akaniambia dingi hayupo njoo nipo rum kwangu,kidume nikazama nikapewa na mzigo,mambo si yakanoga.Huku kumbe mdingi karudi tayari kafunga na milango yote na funguo akaenda nazo chumbani kwake.Huwezi amini nililala ndani kwao demu mpk asubuhi saa 5 ndo nilitoka.Mkojo wa usiku nilikojolea kwenye jagi la maji ya kunywa.
Kwa hiyo usiku huo hamkunywa maji kabisa? enheee sasa mpaka kunakucha ulipiga vingapi?
 
Kama Ningekua Me Ndo Baba Ningehakikisha Adhabu Ninayokupa Ungegaili Kuoa Kabsa Na Mwanamke Ndo Kabsaa Kweli Nasema Wewe Na Ye Mngelaani Kuzaliwa
 
Nakumbuka ilikuwa 2012 nilienda kwao demu kumpa hi mida saa 3 usiku.Akaniambia dingi hayupo njoo nipo rum kwangu,kidume nikazama nikapewa na mzigo,mambo si yakanoga.Huku kumbe mdingi karudi tayari kafunga na milango yote na funguo akaenda nazo chumbani kwake.Huwezi amini nililala ndani kwao demu mpk asubuhi saa 5 ndo nilitoka.Mkojo wa usiku nilikojolea kwenye jagi la maji ya kunywa.
Hadithi yako inatufundisha nini?
 
Back
Top Bottom