Nilimwona Mzee Bakhresa Akitafakari Sana

Nilimwona Mzee Bakhresa Akitafakari Sana

Kila kitu ni mipango.

Huenda alimuomba kabla na akamwambia anachotaka kulifanyia shamba husika...kilimo cha miwa.

inawezekana sio surprisekama unavyodhani mkuu.
ulipotelea wapi mkuu? Mara ya mwisho kukusoma humu ilikuwa mwanzon mwa mwaka huu kwenye Ile thredi ya masamaki mdau alivyokukumbushia
 
Katika mfumo wa soko huria serikali haitakiwi kuingilia biashara.

Magufuli anaingilia biashara kwa kuchagua nani azalishe nini.Kauli zake zinaingilia biashara huru.
Huu ni ukweli. Sasa ile dhana ya invisible hand kwenye uchumi naona inaanza kuwa visible hand
 
Huu ni ukweli. Sasa ile dhana ya invisible hand kwenye uchumi naona inaanza kuwa visible hand
Kuna watu tayari wako katika biashara ya sukari. Wengine wanaanzisha viwanda as I write this.

Magufuli kawapita wote bila hata kuwasikiliza matatizo yao na kwenda kumtaja anayemtaka yeye afanye biashara hiyo bila tenda wala hata mazungumzo yanayoeleweka.

This is unfair and unpresidential.

This article below talks about 150 tonnes of sugar a day, that is nothing to sneeze at!

http://allafrica.com/stories/201606240711.html

24 June 2016
Tanzania Daily News (Dar es Salaam)

Tanzania: Mikumi to Have Mini Sugar Factory
By Abduel Elinaza

Mikumi sugarcane growers have reasons to smile as local investors are finalising proposal to build a small scale sugar factory.

The investors, under Geoman Cane Estate Limited, received 287,000 US dollars (about 600m/-) addition support from the Southern Agricultural Growth Corridor of Tanzania (SAGCOT)'s Catalytic Trust Fund to boost their activities meant to expand market for farm produce from small scale farmers.

The founder of the company, Dr George Mlingwa, said during the handover ceremony of the grant in Dar es Salaam on Wednesday that the factory will have the capacity to produce 150 tonnes of sugar per day at starting stage before reaching its maximum 500 tonnes.

"There are about 500 families that depend on sugarcane cultivation, but they stopped farming due to long distance from Mikuni to Kilombero - about 70 kilometres away," Dr Mlingwa said.

The growers, under Mikumi Sugarcane Growers Association, have the capacity of producing between 5,000 and 10,000 tonnes of canes a year depending on market availability.

Dr Mlingwa, a former Member of Parliament (MP) for Mikumi constituency, said once in operation the association will be given not less than 10 per cent of the company's share. The total investment for the mini-sugar factory 8.0bn/- was raised through a commercial loan

The company needed an extra 400,000 US dollars (over 800m/-) for supporting the out-growers and purchasing of canes managed as part of the money. The SAGCOT CTF loan is footing the gap.

The remaining balance was secured from Southern Agriculture Growth Corridor of Tanzania (SAGCOT) Catalytic Trust Fund loan. The factory output will assist reducing the country's sugar deficit by 1.3 per cent and also economically empowered Mikumi residents.

"The cane growers used to sell their products to jaggery (unrefined sugar) producers. Today there is no jaggery producer thus complicated their sugarcane cultivation," Dr Mlingwa said.

The factory has the capacity of employing 200 staff. The SAGCOT CTF Executive Secretary John Kyaruzi said the project was outstanding since it will assist to boost farmers' welfare and reducing sugar deficit.

"And the good thing, the project only needs less than a year to go into production. Therefore farmers will start selling their canes in next season," Mr Kyaruzi said. The CTF rationale is to increase demand side and create new markets for agriculture produce that way enables farmers to increase output due to ready available marketplace.

The CTF financing is provided at a low cost or interest free loans, repayable as soon as business attracts private finance, thus catalysing and sustain local content in agribusiness investments.
 
Umenena.
Biashara kitu cha kwanza ni Soko pili Eneo kama alivyosema mwanae tatu mtaji ambao upo, ni Mfanyabiashara Mjinga tu anayeweza kukataa offer kama hii ya Mkuu wa Nchi.
Bado kahakikishiwa kama hizo ekari 10'000 hazitoshi atampa nyingine apate nini?
Mnaangalia tu eneo la shamba. Kuna kujenga kiwanda kipya cha sukari pia. Tunajua michakato na gharama zake?
 
Bakhresa biashara yake kubwa ni ya kuanzia kuchakata na kutengeza bidhaa kamili na hazalishi mali ghafi.

Hivyo kujiingiza katika kilimo cha uzalishaji mali ghafi hiyo ni biashara nyingine kabisa si vyema kumlazimisha/kumshauri mtu kujiingiza kwenye shughuli mtambuka.
 
Naye amekurupushwa. Alime tu, maana hakuna namna. Serikali ilipokuwa inaahidi viwanda na ajira, kumbe ilikuwa inategemea wengine ndio wafanye!

Duh...Yaani wewe ukisikia serikali itatengeneza ajira milioni mbili nchini unadhani kuwa serikali ndiyo itakayoajiri wote hao??? Serikali inajenga mazingira, inaleta wawekezaji na kadhalika kadhalika na ambao pamoja na serikali ndio wanaleta ajira...
 
hakuna deal zuri kama hilo, hekari 10,000 si masihara lazima bakhresa alikimbilie! na JPM alijua tu bila motivation hiyo Bakhresa hatajenga hicho kiwanda, ila bakhresa akitumia watafiti wake hiyo busness itafanikiwa na wafanya biashara kibao watawekeza huko pia
Tunajenga platform ya madalali! Maana kama Bakhresa hatakuwa tayari kulima miwa na tayari rais keshamkabidhi hekari 10,0000! What's the next best thing he could do?
 
bakhresa anaweza.kuwaambia TRA wakae mwaka mzima.bila kukusanya kodi,na matumizi ya kila mwezi ya serikali wakawa wanafata kwake

Uongo Hana uwezo huo. Katangaza Corporate tax yake anayolipa kwa Mwaka ni 50Billion ikimaanisha Net Profit yake Ina range 150 Billion kwa Mwaka. Mapato ya TRA kwa Mwezi ni 1 Trillion average. All in all Bakhresa ni Tajiri Mkubwa sana Ila tusimkuze kuliko uhalisia kwa story za Kwny Viosk vya Viroba.
 
Pengine Hakuwa Tayari Kuingia Kwenye Kilimo Cha Miwa. Pia Kila Kitu Ni Mipango, Na Alihitaji Kwanza Kutegemeza Alivyo Navyo Ndio Aangalie Aina Mpya Ya Biashara. Sasa Kapewa Eneo, Tena Na Rais! Mbaya/zuri Zaidi Kaambiwa Na Cha Kuzalisha, Yani Sukari Ya Viwandani. Naomba Tujadili Hili. Ni Afya Kibiashara Kuongozwa Kufanya Jambo? Kwani Kwa Mujibu Wa Kauli Ya Rais Ni Lazima Alime Hiyo Miwa

=============================
Katika mfumo wa soko huria serikali haitakiwi kuingilia biashara.

Magufuli anaingilia biashara kwa kuchagua nani azalishe nini.Kauli zake zinaingilia biashara huru.
Kuna watu tayari wako katika biashara ya sukari. Wengine wanaanzisha viwanda as I write this.

Magufuli kawapita wote bila hata kuwasikiliza matatizo yao na kwenda kumtaja anayemtaka yeye afanye biashara hiyo bila tenda wala hata mazungumzo yanayoeleweka.

This is unfair and unpresidential.

This article below talks about 150 tonnes of sugar a day, that is nothing to sneeze at!

http://allafrica.com/stories/201606240711.html

24 June 2016
Tanzania Daily News (Dar es Salaam)

Tanzania: Mikumi to Have Mini Sugar Factory
By Abduel Elinaza

Mikumi sugarcane growers have reasons to smile as local investors are finalising proposal to build a small scale sugar factory.

The investors, under Geoman Cane Estate Limited, received 287,000 US dollars (about 600m/-) addition support from the Southern Agricultural Growth Corridor of Tanzania (SAGCOT)'s Catalytic Trust Fund to boost their activities meant to expand market for farm produce from small scale farmers.

The founder of the company, Dr George Mlingwa, said during the handover ceremony of the grant in Dar es Salaam on Wednesday that the factory will have the capacity to produce 150 tonnes of sugar per day at starting stage before reaching its maximum 500 tonnes.

"There are about 500 families that depend on sugarcane cultivation, but they stopped farming due to long distance from Mikuni to Kilombero - about 70 kilometres away," Dr Mlingwa said.

The growers, under Mikumi Sugarcane Growers Association, have the capacity of producing between 5,000 and 10,000 tonnes of canes a year depending on market availability.

Dr Mlingwa, a former Member of Parliament (MP) for Mikumi constituency, said once in operation the association will be given not less than 10 per cent of the company's share. The total investment for the mini-sugar factory 8.0bn/- was raised through a commercial loan

The company needed an extra 400,000 US dollars (over 800m/-) for supporting the out-growers and purchasing of canes managed as part of the money. The SAGCOT CTF loan is footing the gap.

The remaining balance was secured from Southern Agriculture Growth Corridor of Tanzania (SAGCOT) Catalytic Trust Fund loan. The factory output will assist reducing the country's sugar deficit by 1.3 per cent and also economically empowered Mikumi residents.

"The cane growers used to sell their products to jaggery (unrefined sugar) producers. Today there is no jaggery producer thus complicated their sugarcane cultivation," Dr Mlingwa said.

The factory has the capacity of employing 200 staff. The SAGCOT CTF Executive Secretary John Kyaruzi said the project was outstanding since it will assist to boost farmers' welfare and reducing sugar deficit.

"And the good thing, the project only needs less than a year to go into production. Therefore farmers will start selling their canes in next season," Mr Kyaruzi said. The CTF rationale is to increase demand side and create new markets for agriculture produce that way enables farmers to increase output due to ready available marketplace.

The CTF financing is provided at a low cost or interest free loans, repayable as soon as business attracts private finance, thus catalysing and sustain local content in agribusiness investments.

Update kwa hisani ya Kiranga
Haya yote ni mawazo ya kipuuzi kabisa. Ujinga huu mods muwe mnafuta! Wapinga maendeleo ni watu kama hawa. Hawa ndio wameifikisha nchi hii hapa ilipo leo bila aibu. We jamaa nadhani hata familia yako inakushinda kuiongoza na kuimudu. Na nyie ndio wale mliambiwa wapumbaf.. na ma.lo.f.a
 
Wacha Mapovu. Una Hisa Kwa Bakhresa? Au Umepewa Kazi Ya Umeneja Wa Hilo Shamba? Sikuwa Na Nia Mbaya. Nilitazama Hili Jambo Kiuchumi Zaidi Na Si Kisiasa
 
Kama walishajadiliana Kabla ya Mkutano Huo Hilo Halina Shida! Ila kama alishtukiziwa Ni Kichekesho! Ila Kilichonishangaza Ni Magufuli Kusema, "Nakupa Ekari 10,000 za Ardhi" Hiyo Lungha aliyotumia Labda iwe hizo ekari 10,000 atakazompa Bakresa, awe Magufuli amezirithi kutoka kwa Wazee wake, Lakini Kama Ni Ardhi ya Taifa hili, Kauli hiyo iliashirika Majivuno, na Kiburi cha Uzima, Angesema "Tutakupa" au "Serikali yangu Itakupa" au "Serikali itakupa" Ekari 10,000 angalau ingeleta Picha ya Kauli ya Heshima kwa Taifa!
Wazee kwa semantics mko njema!!
Yaani lazima mpate cha kutolea povu..

Haya hebu tueleze kwanza JPM alipokua akiongea na Bakhresa, alikua anaongea nae kama nani??
Was it kama yeye binafsi as JPM ama kama Rais wa JMT??

Maana kama JPM ndio Rais mwenye dhamana ya kuiongoza nchi hii aliyokabidhiwa na wananchi wa JMT sioni mantiki ya kauli yako kubeza maneno aliyotumia...

Rais ni institution mjomba... alipoongea yeye ndio Taifa limeongea...

Muwe mnaangalia na vya kuchambua na kushangaa, maana imefika pahali mnajikanganya tu wenyewe bila sababu ya msingi..
 
Mbele ya kiwanja cha bure tena kikubwa hata ka ni mimi najenga tu kiwanda.
Bei wamesema estimate $10Million kwa kila kiwanja, hiyo pesa kwa Bakhresa sio kitu, na kwa sukari anaweza kuirudisha fasta tu maana serikali tunapokwenda tukiwa na sukari ya kujitosheleza ujue import yote itapigwa chini kama sio kufunga kabisa wanaweza weka tarrifs za hatari, kwa hiyo jamaa atauza sukari nchini si mchezo. Yaani hapa Rais anazidi kumtajirisha jamaa.

Tena io deal aiwahi sana aipoangalia mo dewji ataingilia kati kuchukua deal,maana ni mkubwa wa mambo yule kijana hahah
 
wakati "maheta" wa SSB mkiendelea kutilia shaka uwezo wake wa kujenga kiwanda cha sukari ktk ekari elfu kumi za ardhi atakayo kabidhiwa na serikali,kumbukeni ameomba kuanzisha mradi wa speed boat za kubeba abiria ktk fukwe ya habari ya hindi.na kwa mujibu wa kauli ya rais aliyoitoa jana pale mwandege,ni kama tayari amepewa go ahead kuanza mradi huo.
 
Back
Top Bottom