We Mkuu umeweka rekodi....Kila neno umeanza kwa herufi kubwa.Pengine Hakuwa Tayari Kuingia Kwenye Kilimo Cha Miwa. Pia Kila Kitu Ni Mipango, Na Alihitaji Kwanza Kutegemeza Alivyo Navyo Ndio Aangalie Aina Mpya Ya Biashara. Sasa Kapewa Eneo, Tena Na Rais! Mbaya/zuri Zaidi Kaambiwa Na Cha Kuzalisha, Yani Sukari Ya Viwandani. Naomba Tujadili Hili. Ni Afya Kibiashara Kuongozwa Kufanya Jambo? Kwani Kwa Mujibu Wa Kauli Ya Rais Ni Lazima Alime Hiyo Miwa
Mkuu hujui mheshimiwa ni mzee wa masapraiz? Sidhani kama walishajadili kabla. Angesema. Tusubiri tu utekelezajiKama walishajadiliana Kabla ya Mkutano Huo Hilo Halina Shida! Ila kama alishtukiziwa Ni Kichekesho! Ila Kilichonishangaza Ni Magufuli Kusema, "Nakupa Ekari 10,000 za Ardhi" Hiyo Lungha aliyotumia Labda iwe hizo ekari 10,000 atakazompa Bakresa, awe Magufuli amezirithi kutoka kwa Wazee wake, Lakini Kama Ni Ardhi ya Taifa hili, Kauli hiyo iliashirika Majivuno, na Kiburi cha Uzima, Angesema "Tutakupa" au "Serikali yangu Itakupa" au "Serikali itakupa" Ekari 10,000 angalau ingeleta Picha ya Kauli ya Heshima kwa Taifa!
Mkuu is Virgo your astrological sign?you have strong analytical skills, attention to minor details, umetisha sana! big up
Alright Man, I had to connect dots for something, but how wrong was I?...Your reply sounds familiar to some astrological comments.no mkuu, Saggitarius!
Dah sawa Mkuu....nimeshangaa sana nikasema swaga ya huyu jamaa ni noma...kumbe ni hali na siyo swaga,,,,,powa Mkuu na ujumbe umeeleweka.Hahahaa... simu zetu hizi ndugu. Settings tu
Hivi Marry umegundua kwamba kwenye hiyo post uliyo iquote nimekuita Man? nilivyoona umeriply nikadhani unanisahihisha kumbe hujaona?😀😀😀😀watu wengi hukimbilia kusoma comments za watu na huishia hapo, na aidha watazijibu kwa kusapoti au wataziponda ( jambo ambalo ndilo huchukua nafasi zaidi) ila wewe unaenda mbali zaidi! unasoma comments na kucheki pia namna ambavyo zimeandikwa na mantiki zake , this is a big strength you have, that is how JF need to be , a home of intellectuals sio staili yetu ya kushabikia mada na comments tu bila kuzichambua kwa undani!
Ekari za Bure Kutoka Urithi Binafsi wa Magufuli au Ardhi ya Watanzania wote?
Hivi kwa akili ndogo tu nimfanya biashara gani apewe resource ya ardhi ukubwa huo kisha apewe uhakika wa monopoly ya soko akatae?Pengine Hakuwa Tayari Kuingia Kwenye Kilimo Cha Miwa. Pia Kila Kitu Ni Mipango, Na Alihitaji Kwanza Kutegemeza Alivyo Navyo Ndio Aangalie Aina Mpya Ya Biashara. Sasa Kapewa Eneo, Tena Na Rais! Mbaya/zuri Zaidi Kaambiwa Na Cha Kuzalisha, Yani Sukari Ya Viwandani. Naomba Tujadili Hili. Ni Afya Kibiashara Kuongozwa Kufanya Jambo? Kwani Kwa Mujibu Wa Kauli Ya Rais Ni Lazima Alime Hiyo Miwa
Unajua maana ya Diversified Business? Hiyo ndo anafanya SSB. Hivyo kilimo cha sukari hakitamshinda.Pengine Hakuwa Tayari Kuingia Kwenye Kilimo Cha Miwa. Pia Kila Kitu Ni Mipango, Na Alihitaji Kwanza Kutegemeza Alivyo Navyo Ndio Aangalie Aina Mpya Ya Biashara. Sasa Kapewa Eneo, Tena Na Rais! Mbaya/zuri Zaidi Kaambiwa Na Cha Kuzalisha, Yani Sukari Ya Viwandani. Naomba Tujadili Hili. Ni Afya Kibiashara Kuongozwa Kufanya Jambo? Kwani Kwa Mujibu Wa Kauli Ya Rais Ni Lazima Alime Hiyo Miwa
Umenena.Hivi kwa akili ndogo tu nimfanya biashara gani apewe resource ya ardhi ukubwa huo kisha apewe uhakika wa monopoly ya soko akatae?
Jiulize kwanini alitaka Rais akazindue?
Anajua shauku ya Rais ni ahadi yake ya viwanda kutimia hivyo kufanya yale mkuu wa nchi ameyapa kipaumbele obvious nikujenga uhusiano mzuri na mkuu wanchi na matokeo yake nikupata kibali(favour) ndiyo hayo ya ofa kubwa kubwa.
Lengo la kumualika guest of honor ni kutaka input yake kwenye jambo husika.Hapa naweza sema lengo la Azam group lilifanikiwa kwa kiwango kikuwa sana ninaamini kipindi cha awamu ya 5 Azam group watakula matunda zaidi maana uhusiano mzuri siku zote huambatana na favour.
Sawa akiwa tayari, kwa nini ampangie cha kufanya kwenye hyo ardhi? Serikali imeshindwa hata kuanzisha shamba la miwa tutegemee kuanzisha kiwanda kwei?! Kalagabaho.BAWACHA RAIS ALISEMA AKIWA TAYARI
Pengine Hakuwa Tayari Kuingia Kwenye Kilimo Cha Miwa. Pia Kila Kitu Ni Mipango, Na Alihitaji Kwanza Kutegemeza Alivyo Navyo Ndio Aangalie Aina Mpya Ya Biashara. Sasa Kapewa Eneo, Tena Na Rais! Mbaya/zuri Zaidi Kaambiwa Na Cha Kuzalisha, Yani Sukari Ya Viwandani. Naomba Tujadili Hili. Ni Afya Kibiashara Kuongozwa Kufanya Jambo? Kwani Kwa Mujibu Wa Kauli Ya Rais Ni Lazima Alime Hiyo Miwa[/QUOTE
Bakhresa kukubali imekuumiza sana.Mpaka unaileta hapa tujadili kana kwamba sisi ni bodi ya wakurugenzi
Feasibility study wanafanyaga watoto wake,waliosoma,mwenyewe,said,ana guts zake tu za biashara,akiamua anaingia tu alafu its a history,ndio kipawa chake nadhani..bakhresa group huwa hawakurupuki kujiingiza ktk biashara.
nasikia wana ya kampuni ya consultancy inayomilikuwa na raia wa kigeni ambayo huwa wanaitumia kuwafanyia feasibility study kabla hawaja risk kuwekeza ktk biashara mpya.
Nina hakika hata hili la kiwanda cha sukari,hawatakurupuka.
Senior Kilaz.a[emoji23] [emoji23] [emoji23]Rudi ukasome katiba ya nchi yako. Ardhi yote ni mali ya raisi wa jamuhuri ya muungano wa tz na itatumika kwa maslai mapana ya wananchi wote!
Katika mfumo wa soko huria serikali haitakiwi kuingilia biashara.Pengine Hakuwa Tayari Kuingia Kwenye Kilimo Cha Miwa. Pia Kila Kitu Ni Mipango, Na Alihitaji Kwanza Kutegemeza Alivyo Navyo Ndio Aangalie Aina Mpya Ya Biashara. Sasa Kapewa Eneo, Tena Na Rais! Mbaya/zuri Zaidi Kaambiwa Na Cha Kuzalisha, Yani Sukari Ya Viwandani. Naomba Tujadili Hili. Ni Afya Kibiashara Kuongozwa Kufanya Jambo? Kwani Kwa Mujibu Wa Kauli Ya Rais Ni Lazima Alime Hiyo Miwa