pilato93
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 7,804
- 9,428
Biashara kubwa au uwekezaji mkubwa hawakurupuki kabla ya kuwekeza lazima wangalie risk na profit ya kile anachowekeza huyo mzee alishazungumza na magu kabla ya kufungua hicho kiwanda alichokwenda kukifungua mjomba magu, alicho Fanya magu ni kutuibia siri na kuichia hadharani tu sio kukurupuka mkuu