NA LENGO LA RAIS NI KUWATAJIRISHA WALAZENDO KAMA BAKHARESAMbele ya kiwanja cha bure tena kikubwa hata ka ni mimi najenga tu kiwanda.
Bei wamesema estimate $10Million kwa kila kiwanja, hiyo pesa kwa Bakhresa sio kitu, na kwa sukari anaweza kuirudisha fasta tu maana serikali tunapokwenda tukiwa na sukari ya kujitosheleza ujue import yote itapigwa chini kama sio kufunga kabisa wanaweza weka tarrifs za hatari, kwa hiyo jamaa atauza sukari nchini si mchezo. Yaani hapa Rais anazidi kumtajirisha jamaa.
NAJUA UMEUMIA BAKHARESA KUPEWA EKARI 10,000 BURE.....POLE SANA BAWACHANaye amekurupushwa. Alime tu, maana hakuna namna. Serikali ilipokuwa inaahidi viwanda na ajira, kumbe ilikuwa inategemea wengine ndio wafanye!
Kama walishajadiliana Kabla ya Mkutano Huo Hilo Halina Shida! Ila kama alishtukiziwa Ni Kichekesho! Ila Kilichonishangaza Ni Magufuli Kusema, "Nakupa Ekari 10,000 za Ardhi" Hiyo Lungha aliyotumia Labda iwe hizo ekari 10,000 atakazompa Bakresa, awe Magufuli amezirithi kutoka kwa Wazee wake, Lakini Kama Ni Ardhi ya Taifa hili, Kauli hiyo iliashiria Majivuno, na Kiburi cha Uzima, Angesema "Tutakupa" au "Serikali yangu Itakupa" au "Serikali itakupa" Ekari 10,000 angalau ingeleta Picha ya Kauli ya Heshima kwa Taifa!Pengine Hakuwa Tayari Kuingia Kwenye Kilimo Cha Miwa. Pia Kila Kitu Ni Mipango, Na Alihitaji Kwanza Kutegemeza Alivyo Navyo Ndio Aangalie Aina Mpya Ya Biashara. Sasa Kapewa Eneo, Tena Na Rais! Mbaya/zuri Zaidi Kaambiwa Na Cha Kuzalisha, Yani Sukari Ya Viwandani. Naomba Tujadili Hili. Ni Afya Kibiashara Kuongozwa Kufanya Jambo? Kwani Kwa Mujibu Wa Kauli Ya Rais Ni Lazima Alime Hiyo Miwa
Ekari za Bure Kutoka Urithi Binafsi wa Magufuli au Ardhi ya Watanzania wote?NAJUA UMEUMIA BAKHARESA KUPEWA EKARI 10,000 BURE.....POLE SANA BAWACHA
Rudi ukasome katiba ya nchi yako. Ardhi yote ni mali ya raisi wa jamuhuri ya muungano wa tz na itatumika kwa maslai mapana ya wananchi wote!Ekari za Bure Kutoka Urithi Binafsi wa Magufuli au Ardhi ya Watanzania wote?
"Umesoma Katiba ya Libya au?" Ardhi ya Tanzania Ni ya Rais sio, oh should I now say, Mfalme Makufuli Aishi Milele, tafadhali Ikupendeze Kichwa chako kilicho juu ya shingo yangu Ukipe neema kiendelee kuwa juu ya shingo yangu ee mfale mkuu!Rudi ukasome katiba ya nchi yako. Ardhi yote ni mali ya raisi wa jamuhuri ya muungano wa tz na itatumika kwa maslai mapana ya wananchi wote!
Ninyi Ndio Mlimpengeza Rais Kuleta Kupatwa kwa Jua, AkyaMungu!Rudi ukasome katiba ya nchi yako. Ardhi yote ni mali ya raisi wa jamuhuri ya muungano wa tz na itatumika kwa maslai mapana ya wananchi wote!
Ombi la raisi ni amri... ni oda mkuu.... kifupi pale SSB hapindui ukilinganisha na ardhi ya bure....Mkuu,ivi ulimwelewa Rais au umesoma Kifaransa? Pale hakulazimishwa ndo maana rais kasema Bakhresa ndani ya siku 5 akubaliane na Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji
Aisee.........Kila kitu ni mipango.
Huenda alimuomba kabla na akamwambia anachotaka kulifanyia shamba husika...kilimo cha miwa.
inawezekana sio surprisekama unavyodhani mkuu.
NAJUA UMEUMIA BAKHARESA KUPEWA EKARI 10,000 BURE.....POLE SANA BAWACHA
Alimwambia kiwa tayari, kwa hiyo kwa sasa kama hayuko tayari sio lazima!Siku akiwa tayari na shamba bado likawa halina mwekezaji anaweza kukumbushia ahadiPengine Hakuwa Tayari Kuingia Kwenye Kilimo Cha Miwa. Pia Kila Kitu Ni Mipango, Na Alihitaji Kwanza Kutegemeza Alivyo Navyo Ndio Aangalie Aina Mpya Ya Biashara. Sasa Kapewa Eneo, Tena Na Rais! Mbaya/zuri Zaidi Kaambiwa Na Cha Kuzalisha, Yani Sukari Ya Viwandani. Naomba Tujadili Hili. Ni Afya Kibiashara Kuongozwa Kufanya Jambo? Kwani Kwa Mujibu Wa Kauli Ya Rais Ni Lazima Alime Hiyo Miwa