denoo49
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 6,113
- 6,953
Kwahiyo upo tayari akunenee sahivi ya kuwa utakufa? Hili ndio swali la msingi, huko pengine inajulikana.Akiniambia nitakufa atakuwa hajatabiri chochote kwa sababu hata mimi najua nitakufa na kila mtu mwenye akili anajua atakufa.
Akiniambia nitakufa siku gani na saa ngapi, hapo anaweza kunisaidia kama utabiri wake utakuwa kweli.Maana naweza kujiandaa vizuri zaidi.
Anaweza kuniambia siku na saa nitakayofariki?
"PAMBANA NA HALI YAKO"