MENGELENI KWETU
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 9,557
- 24,182
Hiyo clip wape wakina Shein, Mwinyi, JK, na Karume waone jinsi wanakoipeleka Zanzibar.
Acha Wivu wa Kike
Ipo siku wapendwa ndugu zangu watutsi watatawala hata USA,Russia, England.. They were made to rule not to be ruled no matter how few they are..
Nimeitafuta na kuipata. Nimeweza kuangalia dakika 1.21. Kati ya 5.37. Nyingine namwachia Mahiga. Hata mbuzi huwezi kumfanya hivyo.
BURUNDIANS SLAUGHTERED LIKE CHICKEN LIVE via Mike ...Mkuu tuwekeeni linki hata sisi tutWafute tunaweza iona.
MAMA wa TAIFA???.. kivipi??
Mkuu tuwekeeni linki hata sisi tutafute tunaweza iona.
Hii kanda niliipata katika Facebook. Nikamwambia mama(hapa nazungumza kuhusu Mama Maria Nyerere) "Hii kanda inatisha. Sijui utaweza kuitazama kiasi gani.
Kama hauwezi kuitazama zaidi, niambie,nitaizima. " Ni kanda ya dakika tano Nikaanza kumuonyesha. Hawa watu,they are quite young,wamewakamata mateka,wamewafunga mikono na miguu,wamewagag.
Wamewaweka vitambaa mdomoni,wanaanza kuwachinja mmoja mmoja na halafu kuwatupa katika mass grave,kaburi la halaiki.. Hivi ndiyo wanavyowachinja. Now read this very carefully. It is very educational. Mtu mmoja anachinja.
Anamkanyaga kichwa na mguu,anamchinja shingo nusu,yaani 50% ya shingo linachinjwa,halafu attention inaondoka kwenye shingo. Anauchoma mwili na kisu,anachoma viuongo vya ndani;moyo,ini,kila kitu,bila kusahauu,anamgeuza mtu kumchoma figo.
Wanamkata nyeti zake,sehemu za siri,na,mimi nilishindwa kuiona hii mara moja,lakini wale waliokuwa more observant wameona kwamba wanamkata ulimi,wanayatoa macho,na kuondoka nayo.
Halafu nilipigwa na mshangao,I was overcome with mirth,wakati yule muuaji mmoja anaamua kisu chake kinaanza kuisha makali kwa ajili ya chinja chinja yote iliyotokea. Kwa hiyo anaanza kukinoa.
Anashika visu viwili,one in each hand,anavinoa,one with the other. It is truly devilish. Mama akauliza,ni hasira gani inayowafanya hawa wafanye hivi.
Nikamwambia mama,tazama,hata hasira hawana,wanafanya mambo yote kwa utulivu kabisa. Unsurprisingly,mama alishindwa kuitazama ile kanda mpaka mwisho.Kwa hiyo sikumwoshesha zaidi.Nilitaka aione angalau kidogo ,ama atashindwa kuelewa jambo litakalotokea sasa hivi.
Balozi Mahiga umemsikia asubuhi katika kipindi cha Nipashe anasema Warundi "wamestaajabu" kuabiwa kuna matatizo katika nchi yao. Kwamba Warundi wameipa Tanzania jukumu la kuiondoa mashaka AU kuhusu hali ya usalama Burundi.
Mkuu tuwekeeni linki hata sisi tutafute tunaweza iona.
Mkuu nenda YouTube kama unaRoho ndogo plzz...mimi hata dakika sikumaliza kuangalia hiyo clip Kiukweli afadhali ya Mnyama anaHuruma kuliko hao. Warundi...halafu ni Vijana wadogo sana....Utakuta wanafanya vile kwa kutumwa na watawala kwa chuki za SIASA daaah.....
Mbona nimetafuta huko youtube sijaigumia niandike vipi bosi?
Mkuu tumetofautiana roho mimi ndio burudani zangu izoYa nini? Achana nayo huwezi kuiangalia. Ni ngumu sana
Mkuu tumetofautiana roho mimi ndio burudani zangu izo