Nilimuonyesha Mama wa Taifa kanda ya mauaji ya Burundi

Mkuu nimeangalia sekunde sidhani kama zimefika tano kiukweli sidhani wale watu wamelishwa nini kufanya unyama namna ile.

Kwa hali hii Burundi kupata amani itachukua mda mrefu sana kwani chuki za namna hii hudumu vizazi na vizazi.
Wanahitaji maombi tuwaombee.

Halafu watu kama wewe ndio mnapewa matango pori mnayabeba hivyohivyo na kuwapa wenzenu. Hiyo clip sio ya Burundi, iangalie kwa mara nyingine na usikilize vizuri lugha inayozungumzwa.Hiyo ni ya Nigeria.
 
Haya Maneno unayaongea kabla ya kuiona ukiina huwezi vumilia kama wewe ni ninadamu uliyekamilika,
Mwenye mwili,nafisi na Roho utaishia sekunde tano?
Itafute humu linki ipo anzia page ya kwanza nafikiria ya nne utaiona.

Mkuu nimeiona na nisha idownload tayari
 
Halafu watu kama wewe ndio mnapewa matango pori mnayabeba hivyohivyo na kuwapa wenzenu. Hiyo clip sio ya Burundi, iangalie kwa mara nyingine na usikilize vizuri lugha inayozungumzwa.Hiyo ni ya Nigeria.

Mkuu kuna mahali nimemutaka endrew nyerere arudi hapa atuthibitishie kwa nini anaamini ni Burundi.
 
Hivi hiki cheo cha Mama wa Taifa,kimeanzishwa lini?-samahani lakini.Lakini.
 
Hii kanda niliipata katika Facebook. Nikamwambia mama(hapa nazungumza kuhusu Mama Maria Nyerere) "Hii kanda inatisha. Sijui utaweza kuitazama kiasi gani.

Kama hauwezi kuitazama zaidi, niambie,nitaizima. " Ni kanda ya dakika tano Nikaanza kumuonyesha. Hawa watu,they are quite young,wamewakamata mateka,wamewafunga mikono na miguu,wamewagag.

Wamewaweka vitambaa mdomoni,wanaanza kuwachinja mmoja mmoja na halafu kuwatupa katika mass grave,kaburi la halaiki.. Hivi ndiyo wanavyowachinja. Now read this very carefully. It is very educational. Mtu mmoja anachinja.

Anamkanyaga kichwa na mguu,anamchinja shingo nusu,yaani 50% ya shingo linachinjwa,halafu attention inaondoka kwenye shingo. Anauchoma mwili na kisu,anachoma viuongo vya ndani;moyo,ini,kila kitu,bila kusahauu,anamgeuza mtu kumchoma figo.

Wanamkata nyeti zake,sehemu za siri,na,mimi nilishindwa kuiona hii mara moja,lakini wale waliokuwa more observant wameona kwamba wanamkata ulimi,wanayatoa macho,na kuondoka nayo.

Halafu nilipigwa na mshangao,I was overcome with mirth,wakati yule muuaji mmoja anaamua kisu chake kinaanza kuisha makali kwa ajili ya chinja chinja yote iliyotokea. Kwa hiyo anaanza kukinoa.

Anashika visu viwili,one in each hand,anavinoa,one with the other. It is truly devilish. Mama akauliza,ni hasira gani inayowafanya hawa wafanye hivi.

Nikamwambia mama,tazama,hata hasira hawana,wanafanya mambo yote kwa utulivu kabisa. Unsurprisingly,mama alishindwa kuitazama ile kanda mpaka mwisho.Kwa hiyo sikumwoshesha zaidi.Nilitaka aione angalau kidogo ,ama atashindwa kuelewa jambo litakalotokea sasa hivi.

Balozi Mahiga umemsikia asubuhi katika kipindi cha Nipashe anasema Warundi "wamestaajabu" kuabiwa kuna matatizo katika nchi yao. Kwamba Warundi wameipa Tanzania jukumu la kuiondoa mashaka AU kuhusu hali ya usalama Burundi.
 
Kwa hiyo wewe Andrew ni kaka wa taifa?

Mama Maria Nyerere atabaki kuitwa Mke wa Baba wa taifa lakini siyo Mama wa Taifa.
 
Mkuu kuna mahali nimemutaka endrew nyerere arudi hapa atuthibitishie kwa nini anaamini ni Burundi.
Hawezi kurudi tena mkuu ameshajua kuwa watu wameushtukia upuuzi wake. JF siku hizi great thinkers ni wengi kuliko maboga, tujitahidi sana MTU anapoleta uzushi tumpunge na tumpe ukweli halisi. Ninaamini Andrew nyerere anatumika.
 
Niliiona hiyo clip kwenye whatsapp group moja. Hakika nilistaajabu unyama na ukatili wa kiwango kile ukifanywa na vijana wadogo kabisa. Je, ni kweli kuwa Burundi ina amani kama walivyomueleza Dr. Mahiga??? Na, je AU wataamua kuingilia kati kwa kupeleka majeshi ya kulinda amani pasi na kujali maneno ya Serikali ya Bujumbura kuwa kuna amani???

Kwa hali ya uuaji wa aina ile nachelea kusema kunahitajika hatua za haraka maana wamama na raia wanalalamika (tunashuhudia BBC Swahili na Dira ya Dunia) wakilia kwa majonzi na huzuni kubwa waamkapo na kukuta maiti za vijana wao zikizagaa nje ya makazi yao!!!

Hakika unyama huu ukiachwa uendelee Warundi watapitia wakati mgumu sana. Cha ajabu ni kuwa Viongozi wa Afrika hawasemi wamuondoe Nkurunzinza (chanzo cha matatizo) wanahimiza majadiliano na peace keeping mission kwa muhalifu na muhujumu Katiba. Ndiyo nature ya viongozi wa sasa wa Afrika.

Nani wakumfunga Paka kengele?Wote ni wamoja.
 
Halafu watu kama wewe ndio mnapewa matango pori mnayabeba hivyohivyo na kuwapa wenzenu. Hiyo clip sio ya Burundi, iangalie kwa mara nyingine na usikilize vizuri lugha inayozungumzwa.Hiyo ni ya Nigeria.
Clip ya Nigeria? Wewe unaongea maneno mazuri. Nkurunzinza atafurahi. Utamwokoa asishukiwe na wanajeshi 5000 wa AU.
 
Mkuu hata maneno yanayozungumzwa huyasikii? Hata rafudhi yao huisikii? Kwani una nini na warundi?Andrew, acha upotoshaji tafadhali. Hayo ya kushukiwa na majeshi ya AU unayaota wewe labda kama hilo jeshi unalimiliki wewe! Hata hayo mazungumzo yenu ya kihuni serikali ya Burundi imeyakataa.....,sasa wewe na mchambawima1 pelekeni hilo jeshi lenu muone cha moto. Kama itatokea jeshi hilo halijapelekwa basi wewe na wenzako mnaoshadadia nendeni mkalinde hiyo amani.
 
Siyo mimi ninayesema hiyo clip ni ya Burundi. Heading yenyewe inasema clip ni ya Burundi. Kuhusu wanavyoongea I had not noticed kwamba wanaongea Kingereza. Lakini watu wanaosema hiyo clip ni ya Nigeria why do they not develop that thought and speculate as to why Nigeria would want to commit crimes and blame Burundi. Halafu angalia jambo moja ambalo ni very shocking. Youtube wanasema hawataki kuionyesha ile clip kwenye website yao. Wakati ambapo hapa kuna debate what should be done. Wakati Security Council wamesema watarudi tarehe 15 Januari kujaribu kwenda Burundi.
 
Last edited:

Heading imejustify with no dought that it is a crip for Burundi killings. But Andrew, you need to research first before you say anything. No research no right to speek. As for me i don't believe that Nkurunziza is insane enough to kill his people then deny AU peacekeepers. Hivi ulibahatika kuwaona wajumbe wa upinzani walioalikwa na Museveni kwenye mazungumzo? Baada ya hapo,ulibahatika kusikiliza malalamiko ya serikali ya Burundi kuhusu mkutano ule? Unajua ni kwa nini serikali ya Tanzania inakataa kupelekwa kwa jeshi la AU Burundi ? Hivi unawajua exactly who are behind those problems in Burundi ? Unajua ni nchi gani au zipi zinashadadia kwa nyumanyuma majeshi ya AU yapelekwe Burundi? Ukinijibu hayo maswali kwa ufasaha nitaamini kweli unafuatilia kwa ukaribu masuala ya kisiasa ya duniani then nitakupa history nzima ya mgogoro ule hadi kwa ushahidi ambao hauna shaka. Usiponijibu nitaamini unaendeshwa na siasa za uhima ( Nitakupa ushahidi wa jambo hili bila kuficha chochote) Karibu!
 
Ufisa

Ufisadi umezidi. Olof Palme aligundua kwamba kampuni moja ina supply arms to both Frelimo and Renamo. Akasema kesho asubuhi nataka kuona ripoti kwenye deski langu. Usiku wakamuua. Banyamulenge wakaenda kumuondoa Mobutu. Kumbe Museveni was behind it all. Naye Museveni alitumwa na US State Department. Ilikuwepo armed force ya mining company pale iliyowashambulia Banyamulenge na kuianzisha ile march to Kinshasa. Kama alivyosema Donald Trump juzi kwamba Museveni has troubled those people enough. If I become president of the U S,I will arrest him. Kuhusu Burundi sijui kuna matatizo gani.
 
So it means you are not aware that Museveni and Paulo Kagame are behind all that is happening in Burundi ? Let me tell you brother, ingawaje hujajibu maswali yangu exactly, mgogoro wa Burundi engineers ni kagame na museveni hata mgogoro wa Congo, zaire ya zamani hao wawili ni vinara wakubwa. Basi kwa kuwa mambo mengi niliyokuuliza sina haja ya kukuambia chochote maana nimegundua hujui mambo mengi ila unaandika kwa ushabiki.
 
Andrew,

Kagame is instigating the Burundi unrest, motives could be
1) Burundi can be a weak point of Invasion to Rwanda if the hostile force wants to attack it

2) The total sidelining of Tanzania bya Kagame and his allies failed due to Burundi coalizing with TZ

3) There are some tribalism, Kagame wants a friendly Tutsi ally to get power.
 
Hiyo video ipo youtube. Namshukuru hiyo aliyepata. Lakini it is banned in Facebook. Nimeiweka katika Facebook page yangu. One moment it was there,the next momentit was gone.Nashauri watu waisave off line before it is banned everywhere. And yet yule Mike aliyeitoa yupo Facebook.
Kuna ushahidi gani usiopingika kuwa video hiyo ni ya waburundi?
 
So it means you are not aware that Museveni and Paulo Kagame are behind all that is happening in Burundi ? Let me tell you brother, ingawaje hujajibu maswali yangu exactly, mgogoro wa Burundi engineers ni kagame na museveni hata mgogoro wa Congo, zaire ya zamani hao wawili ni vinara wakubwa. Basi kwa kuwa mambo mengi niliyokuuliza sina haja ya kukuambia chochote maana nimegundua hujui mambo mengi ila unaandika kwa ushabiki.
Ni kina Museveni na Kagame walimwambia ajiongezee kipindi kikine cha utawala kinyemela?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom