Nilimuonyesha Mama wa Taifa kanda ya mauaji ya Burundi

Kikwete
Ni kina Museveni na Kagame walimwambia ajiongezee kipindi kikine cha utawala kinyemela?
Wakati wale viongozi wa EAC,they thought he could pull it off. Hata Obama alipofika East Africa hakuona anything unusual. Lakini something went wrong in the past month.Something happened.

Ni kina Museveni na Kagame walimwambia ajiongezee kipindi kikine cha utawala kinyemela?
 
MAMA wa TAIFA???.. kivipi??
Hata mm nashangaaa! Mama wa taifa?????is this guy serious! You know and I know huyo ni mama wa lile teja makongongoro. ..Kofia oyeeeh.......miwani oyeeeh.......viloba oyeeeh......shida inakuja kwanini unachukua milioni yangu ya form wakati unajua jina langu litakatwa hahahahah remember jangwani wakati chama cha mafisadi wanazindua camp.......baada ya pale waliliengua halikushiriki tena.

HOWEVER we all know and agree that ni mke wa BABA WA TAIFA MWL JULIUS KAMBARAGE NYERERE may almighty God rest his soul in eternal life. Amin
 
Mimiqa

Mimi nimesema siyo Mama wa Taifa. Isipokuwa bora awe Mama wa Taifa kwa sababu ya kushuka kwa standards za maadili. Watu wanaonyeshwa picha za mauaji ya Burundi hawashtuki kwa sababu eti wana roho ""ngumu"".
 
ça va andrew nyerere obtenu votre point . Merci
 
Mimiqa
Mimi nimesema siyo Mama wa Taifa. Isipokuwa bora awe Mama wa Taifa kwa sababu ya kushuka kwa standards za maadili. Watu wanaonyeshwa picha za mauaji ya Burundi hawashtuki kwa sababu eti wana roho ""ngumu"".
Andrew, umeulizwa mara nyingi sana, "una uhakika gani kuwa hiyo video ni ya mauaji ya Burundi ?" wala hutaki kujibu. Sasa mimi nakuomba tuambie wanajamvi hayo kweli ni mauaji ya Burundi ? Tupe basi na sisi ushahidi tukuamini! Mi naona unaendekeza uhima tu.
 
Kinyemela wakati kapigiwa kura waziwazi we hukuona uchaguzi?
Uchaguzi au uchafuzi? Ulitegemea ashindwe mtihani alioutunga mwenyewe? Kwanini mtu mmoja atawale mihula mitatu na wakati wako wengine?
 
Interahamwe ni noma washaanza kuchinja tena
Tangu lini Wanyarwanda/Warundi wakazungumza kingereza cheye accent ya Kinaijeria!! Wakati mwingine tunapaswa kuwa makini sana has hasa linapo kuja suala la kuhamusha hisia kali baina ya makabila haya mawili - tukumbuke watafanya lolote under the sun kujaribu kudiscredit wenzao na hii haijarishi kama mleta propaganda ni Muhutu au Mtutsi wote wana matatizo walio ya acquire kutoka kwa wazazi wao wakingali bado watoto,narudia si rahisi ku arase sumu ya chuki za kikabila ambazo zimekwisha kuwa embedded kwenye akili zao kwa kuwasikiliza wazazi wao. Jaribu kufatia kwa karibu wanavyo jibizana jibizana humu ndio utapata picha kamili.

Binafsi ningeletewa video clip kama hiyo au kuipakua sehemu,basi ningeichunguza kwa umakini mpaka nijiridhishe kwamba hayo si maigizo/digital manipulation zenye lengo la propaganda za kikabila - vile vile na accent ya lugha ndio inathibitisha kwamba maigizo yote hayana uhusiano wowote na kinacho endelea BURUNDI.
 
Last edited:
Mimiqa
Mimi nimesema siyo Mama wa Taifa. Isipokuwa bora awe Mama wa Taifa kwa sababu ya kushuka kwa standards za maadili. Watu wanaonyeshwa picha za mauaji ya Burundi hawashtuki kwa sababu eti wana roho ""ngumu"".
Mkuu video clip hiyo has nothing to do na machafuko nchini BURUNDI.
 
Mimi nimesema pia mara nyingi kama ile video ni feki au siyo feki that is nothing to do with me. Yule alyeiupload youtube ndiye wa kuulizwa. Lakini hata kama isipokuwa inahusu Burundi yale mambo lazima yawe investigated either na AU au Human Rights Watch. Who is it that is cutting up people like that. ?
 
Last edited:
Mbona haya maswali humuulizi paka au yoweri ?
Mkuu hawana ubavu wa kuwahoji Viongozi walio pewa na Mungu hati miliki ya kutawala milele - we wambie NKURUZINZA hapo watakuandikia kitabu kizima kuhusu ubaya wa NKURUZINZA kutaka kuongeza muhula wa tatu.
 
Tangu lini Wanyarwanda/Warundi wakazungumza kingereza cheye accent ya Kinaijeria!! Wakati mwingine tunapaswa kuwa makini sana has hasa linapo kuja suala la kuhamusha hisia kali baina ya makabila haya mawili - tukumbuke watafanya lolote under the sun kujaribu kudiscredit wenzao na hii haijarishi kama mleta propaganda ni Muhutu au Mtutsi wote wana matatizo walio ya acquire kutoka kwa wazazi wao wakingali bado watoto,narudia si rahisi ku arase sumu ya chuki za kikabila ambazo zimekwisha kuwa embedded kwenye akili zao kwa kuwasikiliza wazazi wao. Jaribu kufatia kwa karibu wanavyo jibizana jibizana humu ndio utapata picha kamili.

Binafsi ningeletewa video clip kama hiyo au kuipakua sehemu,basi ningeichunguza kwa umakini mpaka nijiridhishe kwamba hayo si maigizo/digital manipulation zenye lengo la propaganda za kikabila - vile vile na accent ya lugha ndio inathibitisha kwamba maigizo yote hayana uhusiano wowote na kinacho endelea BURUNDI.
Mkuu hao jamaa wanatisha, imefikia hatua wanachukua picha za vita za nchi zingine wanasema eti ni Burundi. Ujue Nkurunziza amewakamata penyewe ,wamebaki wanarukaruka kama dagaa wanaokata roho.
 
Umejuaje sijalalamikia uhuni wao! Wote ni kundi moja! Wewe unafikiri mimi ni mjinga kama wewe unayeona makosa ya upanda mmoja tu?
Kweli wewe macho mdiliko na ndio maana huoni matokeo yake unaropokaropoka kama fisi anakata roho. Ni wapi ulipofanya utafiti ukagundua ninaemtetea ana makosa? Mimi simtetei mtu, ninasema ukweli!
 
Tangu lini Wanyarwanda/Warundi wakazungumza kingereza cheye accent ya Kinaijeria!! Wakati mwingine tunapaswa kuwa makini sana has hasa linapo kuja suala la kuhamusha hisia kali baina ya makabila haya mawili - tukumbuke watafanya lolote under the sun kujaribu kudiscredit wenzao na hii haijarishi kama mleta propaganda ni Muhutu au Mtutsi wote wana matatizo walio ya acquire kutoka kwa wazazi wao wakingali bado watoto,narudia si rahisi ku arase sumu ya chuki za kikabila ambazo zimekwisha kuwa embedded kwenye akili zao kwa kuwasikiliza wazazi wao. Jaribu kufatia kwa karibu wanavyo jibizana jibizana humu ndio utapata picha kamili.

Binafsi ningeletewa video clip kama hiyo au kuipakua sehemu,basi ningeichunguza kwa umakini mpaka nijiridhishe kwamba hayo si maigizo/digital manipulation zenye lengo la propaganda za kikabila - vile vile na accent ya lugha ndio inathibitisha kwamba maigizo yote hayana uhusiano wowote na kinacho endelea BURUNDI.
Sawa mkuu pengine nimekosea kucheki vzr vp kwenye ule uzi ulimwambia @mchambawima 1 ile picha ya polisi amemuwekea bomu ni ya uongo, unasubiriwa hujarudi tena mkuu!
 
Kweli wewe macho mdiliko na ndio maana huoni matokeo yake unaropokaropoka kama fisi anakata roho. Ni wapi ulipofanya utafiti ukagundua ninaemtetea ana makosa? Mimi simtetei mtu, ninasema ukweli!
Hahaha husifii mtu hahah
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom