MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 29,097
- 35,478
Ungemwambia na mama Maria Nyerere pia kua ndo CCM inatupeleka uko pia, au uliacha kumwambia makusudi?
Inaombea au
Ungemwambia na mama Maria Nyerere pia kua ndo CCM inatupeleka uko pia, au uliacha kumwambia makusudi?
Kwanza kabisa nikupongeze mtoa post kwa huruma dhidi ya binadamu wenzetu pia npende kukujuza kutokana na clip husika kwamba kuna uwezekano mkubwa hiyo clip ikawa siyo ya mauwaji yanayo endelea rwanda na burundi kwa sababu hzo nchi huska wanatumia kirundi, kinyarwanda na kifrance kama lugha ya mawasiliano na ukiwasikiliza hao wanao tekeleza mauwaji hayo wanaongea kingereza xo naamin yanayo endelea burundi ni kinyume na maadil ya uongozi japo vitu vingine ni propaganda zinaenenezwa kuchochea matatizo yaliyopo
Mkuu mimi naitaka hiyo nipate ilimu kidogo niandike vipi?
Huyu babu Andrew Nyerere kanywa viroba analeta habari za uongo hapa anasema ni Burundi wakati ni wanazungumza kiingereza cha ki-Nigeria. Sisi wabongo tunapenda kukurupuka kuandika na kupost bila ya kuchunguza habari
Nikwel bt tatizo ni kwamba vijana wengi hawajui the problem all this issues
Huyu babu Andrew Nyerere kanywa viroba analeta habari za uongo hapa anasema ni Burundi wakati ni wanazungumza kiingereza cha ki-Nigeria. Sisi wabongo tunapenda kukurupuka kuandika na kupost bila ya kuchunguza habari
Mkuu nenda YouTube kama unaRoho ndogo plzz...mimi hata dakika sikumaliza kuangalia hiyo clip Kiukweli afadhali ya Mnyama anaHuruma kuliko hao. Warundi...halafu ni Vijana wadogo sana....Utakuta wanafanya vile kwa kutumwa na watawala kwa chuki za SIASA daaah.....
Mkuu tumetofautiana roho mimi ndio burudani zangu izo
Nadhani mimi ndo sielewi demokrasia!!!Hapo ni mazungumzo tu, hakuna cha kumuondoa Nkuruzinza wala nini. Huwezi kumuondoa mtu aliyechaguliwa kidemokrasia kwa sababu tu kuna mauaji yanatokea nchini mwake, au hujui kwamba wakimtoa Nkuruzinza wapo watu wanaomuunga mkono watakaoibuka na kuanzisha mapambano kama yanavyoripotiwa sasa? Nkuruzinza kung'oka madarakani kirahisi tu kwa ajili ya wahuni wachache sahau, demokrasia ndio ilimuweka hapo hata kama analalamikiwa kuibadili katiba.
kwani Mama Maria Nyerere alitua,bia tumchague nani?Ungemwambia na mama Maria Nyerere pia kua ndo CCM inatupeleka uko pia, au uliacha kumwambia makusudi?
Mkuu mimi naitaka hiyo nipate ilimu kidogo niandike vipi?
Ipo siku wapendwa ndugu zangu watutsi watatawala hata USA,Russia, England.. They were made to rule not to be ruled no matter how few they are..
Mauji kama haya ndio yamepelekea AU kuamua kushusha jeshi Burundi kuzuia mauji ya halaiki. Ushauri wa Tanzania ni wa kupuuza.
kwani Mama Maria Nyerere alitua,bia tumchague nani?
hukumsikia au hata kuliona tangazo lake/
Nenda kamwambie Lowassa na UKAWA watatupeleka pabaya wanapotaka KULAZIMISHA KUITAWALA TANZANIA
TUTACHINJANA
bora akachunge
Hao watakuwa watutsi wanatengeneza video ili wahutu wasitawale Burundi.
Andrew Nyerere Sio Burundi ni Nigeria, the accent of English ni ya kinaijeria. Andrew Nyerere Siku nyngine ukiona picha au video charibu kufanya uchunguzi kabla hujapost.
Hii kanda niliipata katika Facebook. Nikamwambia mama(hapa nazungumza kuhusu Mama Maria Nyerere) "Hii kanda inatisha. Sijui utaweza kuitazama kiasi gani.
Kama hauwezi kuitazama zaidi, niambie,nitaizima. " Ni kanda ya dakika tano Nikaanza kumuonyesha. Hawa watu,they are quite young,wamewakamata mateka,wamewafunga mikono na miguu,wamewagag.
Wamewaweka vitambaa mdomoni,wanaanza kuwachinja mmoja mmoja na halafu kuwatupa katika mass grave,kaburi la halaiki.. Hivi ndiyo wanavyowachinja. Now read this very carefully. It is very educational. Mtu mmoja anachinja.
Anamkanyaga kichwa na mguu,anamchinja shingo nusu,yaani 50% ya shingo linachinjwa,halafu attention inaondoka kwenye shingo. Anauchoma mwili na kisu,anachoma viuongo vya ndani;moyo,ini,kila kitu,bila kusahauu,anamgeuza mtu kumchoma figo.
Wanamkata nyeti zake,sehemu za siri,na,mimi nilishindwa kuiona hii mara moja,lakini wale waliokuwa more observant wameona kwamba wanamkata ulimi,wanayatoa macho,na kuondoka nayo.
Halafu nilipigwa na mshangao,I was overcome with mirth,wakati yule muuaji mmoja anaamua kisu chake kinaanza kuisha makali kwa ajili ya chinja chinja yote iliyotokea. Kwa hiyo anaanza kukinoa.
Anashika visu viwili,one in each hand,anavinoa,one with the other. It is truly devilish. Mama akauliza,ni hasira gani inayowafanya hawa wafanye hivi.
Nikamwambia mama,tazama,hata hasira hawana,wanafanya mambo yote kwa utulivu kabisa. Unsurprisingly,mama alishindwa kuitazama ile kanda mpaka mwisho.Kwa hiyo sikumwoshesha zaidi.Nilitaka aione angalau kidogo ,ama atashindwa kuelewa jambo litakalotokea sasa hivi.
Balozi Mahiga umemsikia asubuhi katika kipindi cha Nipashe anasema Warundi "wamestaajabu" kuabiwa kuna matatizo katika nchi yao. Kwamba Warundi wameipa Tanzania jukumu la kuiondoa mashaka AU kuhusu hali ya usalama Burundi.