Andrew Nyerere
JF-Expert Member
- Nov 10, 2008
- 3,007
- 2,470
- Thread starter
- #21
Sasa hivi siyo Mama wa Taifa. Hili ni jambo la kuamuliwa na Taifa.
Nimeomba PM, ndio. Kwani lazima clip? kinachowezekana ambacho hakiruhusiwi huku Andrew Nyerere ignore him.Watu tuko busy, ukisaidiwa link umeokoa muda.Mbona unampa Andrew wakati mgumu?
Hivi wewe unaweza kurusha clip yoyote hapa kwney pm za JF? Ushawahi?
Labda umuomba akupe link ya FB au ingia you tube katafute mwenyewe kama una hamu ya kuangalia binadamu mwenzako akichinjwa
Niliiona hiyo clip kwenye whatsapp group moja. Hakika nilistaajabu unyama na ukatili wa kiwango kile ukifanywa na vijana wadogo kabisa. Je, ni kweli kuwa Burundi ina amani kama walivyomueleza Dr. Mahiga??? Na, je AU wataamua kuingilia kati kwa kupeleka majeshi ya kulinda amani pasi na kujali maneno ya Serikali ya Bujumbura kuwa kuna amani???
Kwa hali ya uuaji wa aina ile nachelea kusema kunahitajika hatua za haraka maana wamama na raia wanalalamika (tunashuhudia BBC Swahili na Dira ya Dunia) wakilia kwa majonzi na huzuni kubwa waamkapo na kukuta maiti za vijana wao zikizagaa nje ya makazi yao!!!
Hakika unyama huu ukiachwa uendelee Warundi watapitia wakati mgumu sana. Cha ajabu ni kuwa Viongozi wa Afrika hawasemi wamuondoe Nkurunzinza (chanzo cha matatizo) wanahimiza majadiliano na peace keeping mission kwa muhalifu na muhujumu Katiba. Ndiyo nature ya viongozi wa sasa wa Afrika.

Ipo siku wapendwa ndugu zangu watutsi watatawala hata USA,Russia, England.. They were made to rule not to be ruled no matter how few they are..
Tupe linkNimeitafuta na kuipata. Nimeweza kuangalia dakika 1.21. Kati ya 5.37. Nyingine namwachia Mahiga. Hata mbuzi huwezi kumfanya hivyo.
Hili la kupeleka majeshi Burundi lina changamoto zake. Watakwenda kulinda nini wakati wanaopigana hawajulikani. Binafsi suluhu ilikuwa kuiondoa serikali ya Kurunzinza maana imepoteza legitimate ya kuongoza nchi baada ya kulazimisha mhula wa tatu. Kinachotakiwa sasa ni kuwa na serikali ya mpito, kuipitia katiba yao upya na kuandaa uchaguzi mpya ili wapate serikali halali. Ikiwa majeshi yatapelekwa na malengo hayo itakuwa na maana. Kinyume chake ni kupeleka majeshi ambayo hayatakuwa na kazi na kuzaa vurugu zingine.Niliiona hiyo clip kwenye whatsapp group moja. Hakika nilistaajabu unyama na ukatili wa kiwango kile ukifanywa na vijana wadogo kabisa. Je, ni kweli kuwa Burundi ina amani kama walivyomueleza Dr. Mahiga??? Na, je AU wataamua kuingilia kati kwa kupeleka majeshi ya kulinda amani pasi na kujali maneno ya Serikali ya Bujumbura kuwa kuna amani???
Kwa hali ya uuaji wa aina ile nachelea kusema kunahitajika hatua za haraka maana wamama na raia wanalalamika (tunashuhudia BBC Swahili na Dira ya Dunia) wakilia kwa majonzi na huzuni kubwa waamkapo na kukuta maiti za vijana wao zikizagaa nje ya makazi yao!!!
Hakika unyama huu ukiachwa uendelee Warundi watapitia wakati mgumu sana. Cha ajabu ni kuwa Viongozi wa Afrika hawasemi wamuondoe Nkurunzinza (chanzo cha matatizo) wanahimiza majadiliano na peace keeping mission kwa muhalifu na muhujumu Katiba. Ndiyo nature ya viongozi wa sasa wa Afrika.
Ile video inatisha sana huezi kuiangalia hadi mwishoNimeitafuta na kuipata. Nimeweza kuangalia dakika 1.21. Kati ya 5.37. Nyingine namwachia Mahiga. Hata mbuzi huwezi kumfanya hivyo.
Niliiona hiyo clip kwenye whatsapp group moja. Hakika nilistaajabu unyama na ukatili wa kiwango kile ukifanywa na vijana wadogo kabisa. Je, ni kweli kuwa Burundi ina amani kama walivyomueleza Dr. Mahiga??? Na, je AU wataamua kuingilia kati kwa kupeleka majeshi ya kulinda amani pasi na kujali maneno ya Serikali ya Bujumbura kuwa kuna amani???
Kwa hali ya uuaji wa aina ile nachelea kusema kunahitajika hatua za haraka maana wamama na raia wanalalamika (tunashuhudia BBC Swahili na Dira ya Dunia) wakilia kwa majonzi na huzuni kubwa waamkapo na kukuta maiti za vijana wao zikizagaa nje ya makazi yao!!!
Hakika unyama huu ukiachwa uendelee Warundi watapitia wakati mgumu sana. Cha ajabu ni kuwa Viongozi wa Afrika hawasemi wamuondoe Nkurunzinza (chanzo cha matatizo) wanahimiza majadiliano na peace keeping mission kwa muhalifu na muhujumu Katiba. Ndiyo nature ya viongozi wa sasa wa Afrika.
Hapo ni mazungumzo tu, hakuna cha kumuondoa Nkuruzinza wala nini. Huwezi kumuondoa mtu aliyechaguliwa kidemokrasia kwa sababu tu kuna mauaji yanatokea nchini mwake, au hujui kwamba wakimtoa Nkuruzinza wapo watu wanaomuunga mkono watakaoibuka na kuanzisha mapambano kama yanavyoripotiwa sasa? Nkuruzinza kung'oka madarakani kirahisi tu kwa ajili ya wahuni wachache sahau, demokrasia ndio ilimuweka hapo hata kama analalamikiwa kuibadili katiba.
Demokrasia gani hiyo ambayo imekuja baada ya yeye Nkurunzinza kuibaka demokrasia na kuibadili katiba!? Demokrasia ambayo amei-edit na kui-modify kulingana na personal wishes zake...hiyo kweli ndio demokrasia inayopaswa kutambuliwa na jumuhia za kimataifa kama AU?
Na kama AU wanaitambua, basi ni kwasababu demokrasia inayoendeshwa ndani ya mataifa ya AU haitofautiani na hii demokrasia ya Nkurunzinza.
Link Hapana. Google mwenyewe " Burundian slaughtered like chicken you tube" utajijuu.Tupe link
"Mama wa taifa"??