Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,501
- 46,547
Huyu haparamii tu kila uzi kama yule ila nae tumpe muda, kila uzi atakua anashusha vifungu.Faizafoxy wa kikristu
Baraka ni ridhaa hata shetani anaweza toa baraka.Kwani mimi nimesema hufanikiwi? Hata shetani anafanikiwa sana kuwachinja watu(Yn 10:10)
Watu wanajiharibia maini kwa kunywa mipombeAcha UTAPELI wewe, jinsia kitu chenye 50% kutokea siyo kitu cha kufanyia maombi....
Kama una nguvu za hayo maombi yako twende tukasidie watu wanatafuta FIGO na MAINI.....
Acha blah! blah!,,, tapeli tu wewe huna lolote,,, kwahiyo wagonjwa wote mahospitalini hawana Imani?Hivi wewe unafikiri watu wote hospitalini wana imani au wanamwamini Yesu? Miujiza haifanyiki kiholela. Ni mpaka ukubali kwamba Yesu anaweza kutenda miujiza. Hata Yesu alipokuwa duniani, kuna mahali alienda lakini hakutenda miujiza kwa sababu ya kutokuamini kwao.
Marko 6:5
Wala hakuweza kufanya mwujiza wowote huko, isipokuwa aliweka mikono yake juu ya wagonjwa wachache, akawaponya. Akastaajabu kwa sababu ya kutoamini kwao.
Unajihakikishiaje kuwa mtoto aliezaliwa mwanamme, ni kwa sababu ya maombi yako.Kama unashindwa kuamini kwamba huyo mama amepata muujiza baada ya kuombewa, hata wakipona wagonjwa elfu utapinga tu. Wewe sio wa kwanza kupinga.
Ndo ufahamu wako ulipoishia...Watu wanajiharibia maini kwa kunywa mipombe
![]()
WHO wathibitisha pombe ni sumu. Sasa nina ujasiri wa kusema: "kunywa pombe bila kulewa ni dhambi."
Kama ulikuwa huna habari, kisayansi, pombe ni sumu. Wataalamu wa afya wanaeleza kuwa Ethanol, kiambato kikuu katika pombe, ni dutu ya sumu kwa mwili wa binadamu. Shirika la Afya Duniani (WHO) through International Agency for Research on Cancer (IARC) linaiainisha pombe (ethanol in alcoholic...www.jamiiforums.com
Mimi sijui. Lakini kwani wao hawajasikia kabisa kwamba Yesu anaponya? Kwanini hawaamini. Waambie waiige imani yangu. Nikiumwa sikimbilii hospitali. Namkimbilia Yesu. Share this message with them.Acha blah! blah!,,, tapeli tu wewe huna lolote,,, kwahiyo wagonjwa wote mahospitalini hawana Imani?
Hako kachaka ka Imani ndo mnajifichia...
🤣🤣🤣Ukute ana vinasaba na zumaridi😅😅
elfu wengi mmoja tu huweziKama unashindwa kuamini kwamba huyo mama amepata muujiza baada ya kuombewa, hata wakipona wagonjwa elfu utapinga tu. Wewe sio wa kwanza kupinga.
kwahio kuponyesha wagonjwa huwezi?.Hivi wewe unafikiri watu wote hospitalini wana imani au wanamwamini Yesu? Miujiza haifanyiki kiholela. Ni mpaka ukubali kwamba Yesu anaweza kutenda miujiza. Hata Yesu alipokuwa duniani, kuna mahali alienda lakini hakutenda miujiza kwa sababu ya kutokuamini kwao.
Marko 6:5
Wala hakuweza kufanya mwujiza wowote huko, isipokuwa aliweka mikono yake juu ya wagonjwa wachache, akawaponya. Akastaajabu kwa sababu ya kutoamini kwao.
Kwakweli kapata replacement bibi Fai 😹😹Faizafoxy wa kikristu
😹😹😹 JF kila sample ipo…!!Ukute ana vinasaba na zumaridi😅😅
Anayeponya ni Yesu. Mimi huwa naomba tu kwa imani. Sababu za wanaomuamini Yesu kutopona zipo nyingi. Soma uzi huu na replies zangu zote utapata kitu.kwahio kuponyesha wagonjwa huwezi?.
nambona kunawagonjwa kibao wanao muamini yesu na hawaponi?
imekaaje hii?