Nilimuombea Mama huyu apate mtoto wa kiume - amepata!

Wakuu, sikilizeni habari hii ya ajabu! Ni habari ya mama mmoja ambaye kila alipopata ujauzito, alizaa mtoto wa kike. Mara ya kwanza, mara ya pili, mara ya tatu - wote wa kike. Alifurahi kuwapata hao, na aliwalea kwa upendo. Hata hivyo moyoni alitamani apate na wa kiume.

Kwa imani, nilianza kumuombea. Yesu aliye hai alisikia maombi, mama huyo akapata ujauzito na kujifungua mtoto wa kiume! Sasa amejaa furaha na shangwe kuu.

Je, na wewe una hitaji hilo? Unahitaji mtoto wa kiume au wa kike na hujapata? Yesu hana upendeleo, anaweza kukutendea muujiza huo hata kama madaktari wamekuambia "haiwezekani." Kinachotakiwa tu ni wewe uombe kwa imani, bila mashaka, wala kusikiliza sauti zinazokukatisha tamaa.

Katika Yn 14:13-14 Yesu ameahidi akisema "nanyi mkiomba lo lote kwa jina langu, hilo nitalifanya, ili Baba atukuzwe ndani ya Mwana. Mkiniomba neno lo lote kwa jina langu, nitalifanya."

Tena anasema katika Yohana 16:24
"Hata sasa hamjaomba neno kwa jina langu; ombeni, nanyi mtapata; furaha yenu iwe timilifu."

Biblia ni kitabu cha kweli, na ahadi za Mungu zilizoandikwa katika kitabu hiki ni za kuaminika. Haleluya!!
Pambana. Utawapata wajinga kibao wa kuwatoza sadaka. Hata hapa JF utawaokota kadhaa.
 
Mkuu Hadi menopause iishe tutaona mengi
 
Amina.
 
Chanzo kikubwa ni ulevi. Hata upinge
We ulisema watu wanajiharibu kwa sumu ya Pombe , nikakwambia siyo wote wenye Magonjwa ya Ini walipatia kwenye Pombe,, we unaleta habari za Chanzo kikuu,,
Kwahiyo huyo Mungu wako anachagua UPONYAJI kutokana na vyanzo? ... Halafu hao wote walio Muhimbili na Ocean Road wote walikuwa wanywa Pombe?
 
Wakuu, sikilizeni habari hii ya ajabu! Ni habari ya mama mmoja ambaye kila alipopata ujauzito, alizaa mtoto wa kike. Mara ya kwanza, mara ya pili, mara ya tatu - wote wa kike. Alifurahi kuwapata hao, na aliwalea kwa upendo. Hata hivyo moyoni alitamani apate na wa kiume.

Kwa imani, nilianza kumuombea. Yesu aliye hai alisikia maombi, mama huyo akapata ujauzito na kujifungua mtoto wa kiume! Sasa amejaa furaha na shangwe kuu.

Je, na wewe una hitaji hilo? Unahitaji mtoto wa kiume au wa kike na hujapata? Yesu hana upendeleo, anaweza kukutendea muujiza huo hata kama madaktari wamekuambia "haiwezekani." Kinachotakiwa tu ni wewe uombe kwa imani, bila mashaka, wala kusikiliza sauti zinazokukatisha tamaa.

Katika Yn 14:13-14 Yesu ameahidi akisema "nanyi mkiomba lo lote kwa jina langu, hilo nitalifanya, ili Baba atukuzwe ndani ya Mwana. Mkiniomba neno lo lote kwa jina langu, nitalifanya."

Tena anasema katika Yohana 16:24
"Hata sasa hamjaomba neno kwa jina langu; ombeni, nanyi mtapata; furaha yenu iwe timilifu."

Biblia ni kitabu cha kweli, na ahadi za Mungu zilizoandikwa katika kitabu hiki ni za kuaminika. Haleluya!!
Vizuri, naomba uniombee na mimi jaman! Nipate Ajira.
 
Bwana Yesu asifiwe sana
 
Kama unashindwa kuamini kwamba huyo mama amepata muujiza baada ya kuombewa, hata wakipona wagonjwa elfu utapinga tu. Wewe sio wa kwanza kupinga.
Kweli kabisa, kwa Mwamposa wamepona maelfu wamemgeuzia kibao eti tapeli, na wewe ebu kaombee wapone maelfu maelfu uitwe tapeli.
 
Wakuu, sikilizeni habari hii ya ajabu! Ni habari ya mama mmoja ambaye kila alipopata ujauzito, alizaa mtoto wa kike. Mara ya kwanza, mara ya pili, mara ya tatu - wote wa kike. Alifurahi kuwapata hao, na aliwalea kwa upendo. Hata hivyo moyoni alitamani apate na wa kiume.

Kwa imani, nilianza kumuombea. Yesu aliye hai alisikia maombi, mama huyo akapata ujauzito na kujifungua mtoto wa kiume! Sasa amejaa furaha na shangwe kuu.

Je, na wewe una hitaji hilo? Unahitaji mtoto wa kiume au wa kike na hujapata? Yesu hana upendeleo, anaweza kukutendea muujiza huo hata kama madaktari wamekuambia "haiwezekani." Kinachotakiwa tu ni wewe uombe kwa imani, bila mashaka, wala kusikiliza sauti zinazokukatisha tamaa.

Katika Yn 14:13-14 Yesu ameahidi akisema "nanyi mkiomba lo lote kwa jina langu, hilo nitalifanya, ili Baba atukuzwe ndani ya Mwana. Mkiniomba neno lo lote kwa jina langu, nitalifanya."

Tena anasema katika Yohana 16:24
"Hata sasa hamjaomba neno kwa jina langu; ombeni, nanyi mtapata; furaha yenu iwe timilifu."

Biblia ni kitabu cha kweli, na ahadi za Mungu zilizoandikwa katika kitabu hiki ni za kuaminika. Haleluya!!
Hitaji langu CCM uondoke madarakani niombee mtumishi
 
Kuna wajinga watajichanga muda sio mrefu utawaokota
Mimi hiyo stage ya kuwaza pesa tu kila wakati nimeishaivuka. Utasubiri sana kuona nachangisha pesa humu.
Kama hujui..
“...shina moja la maovu ya namna zote ni kupenda fedha; ambayo wengine hali wakiitamani hiyo, wamefarakana na Imani, na kujichoma kwa maumivu mengi.” (1 Timotheo 6:10)
 
Back
Top Bottom