Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,949
- 47,738
Wala hakuna popoteπππunawapelekaga wapi
Umri una husiana na nini hapo?Una umri gani my daughter?
Kuna jambo nimetumwa na mchungaji nikamfikishie in personUnataka ukajaribu bahati yako?π
Hakuna kilichofanyika nilikuwa mkali sanaπππWewe uliutaka, ghetto kwake ulifata nini na unajua bachela..!!
Nwei vipi mlitumia kinga au mnapuuza tangazo la Trump πΉ
Hapa huna hisia Naye Ila yeye anazo,laiti ungekuwa umedatta kwake ungekuja kulalamika unavyomtega Ila hajiongezikaka au rafiki wa kiume.
Angeniambia mapema nisingeendaUmekuja machinjoni hutaki kubakwa
Haaaa haaa πWewe uliutaka, ghetto kwake ulifata nini na unajua bachela..!!
Nwei vipi mlitumia kinga au mnapuuza tangazo la Trump πΉ
I am looking forward to receiving your address. Thanks.Akhuuuπππ naijua hiyo
Kuna mawili ungejiandaa Au usingeenda.Angeniambia mapema nisingeenda
Angekuwa mstaarabu ningevutiwa naye shida hakutaka kulaza damuHapa huna hisia Naye Ila yeye anazo,laiti ungekuwa umedatta kwake ungekuja kulalamika unavyomtega Ila hajiongezi
Mlienda round ngapi?Hakuna kilichofanyika nilikuwa mkali sanaπππ
Acheni kumsumbua mama wa watu kwa mambo ya kijingajinga.Wewe mtu mzima anajipeleka kwenye nyumba ya mwanaume hata haujamfahamu vizuri alitaka wasome biblia.Mpeleke ustawi wa Jamii, au muite Waziri Gwajima akupe mwongozo.
Mchungaji hutuma watu wawili au watatu lakini mwenyewe mmmπππKuna jambo nimetumwa na mchungaji nikamfikishie in person
ππ aisee hatariMlienda round ngapi?
Harage aliinjika na moto wa kawaida au gesi? πΉ
Mimi nitaongozana na Mrs, hivyo jumla tutakuwa wa3 na she will be safe too.Mchungaji huruma watu wawili au watatu lakini mwenyewe mmmπππ
Binadamu wa siku hizi ni wabishi sanaππMlienda round ngapi?
Harage aliinjika na moto wa kawaida au gesi? πΉ