Nilimpinga lema wakati anamuunga mkono lissu mkanibeza

Nilimpinga lema wakati anamuunga mkono lissu mkanibeza

Wakati wa uchaguzi ndani ya chadema nilimpinga sana Lema, niliona mbali sana.
Mnaona sasa? Kikowapi?
Huenda uliona mbali na pia akisoma upepo mapema kuwa mbowe hana nafasi Tena.Pia Lema huenda alitaka nafasi kubwa zaidi hii ndiyo inaleta mawazo kama hili
Mbarikiwa Mwakipesile kupewa tuzo ya amani ya Nobel mwaka 2027???
Shikamooni,habarini..Mch Mbarikiwa Mwakipesile ni miongoni mwa watu wachache wanaojipambanua kuihubiri INJILI ya kweli (INJILI kwa vitendo) duniani kote na pengine ni mhubiri pekee anayehubiri INJILI ya kweli pekee kwa Tanzania.

Naandika kuwa atakuja kupata zawadi ya Nobel ya amani ambayo kiuhalisia huangalia watu wanaogusa maeneo mbalimbali ya kimaisha.

Tuonekwanza maana ya tuzo hii
Tuzo ya amani ya Nobel ni tuzo ya kimataifa yenye heshima kubwa inayotolewa kwa mtu, kikundi, au shirika lililofanya kazi kubwa zaidi au bora zaidi ya kukuza udugu kati ya mataifa, kupunguza au kufuta majeshi, na kuandaa au kuendeleza mikutano ya amani
Miongoni mwa sababu zitakazomfanya Mch Mbarikiwa Mwakipesile kupewa tuzo hii
1.Kutokulipiza kisasi
2.Kuwa mhubiri pekee ambaye Yuko tayari kuwa na utajiri mdogo kuliko washirika wake
-mfano, Nimeona muumini wake Robert Mwaikwila(samahani kama jina la pili limekosewa) mumoja akitajwa kwa utajiri mkubwa zaidi ya Mbarikiwa Mwakipesile ambaye ni MCHUNGAJI wake miaka mingi na siyo kwamba alimkuta na utajiri HUO
3.Anafundisha sana "umhimu wa utu" katika kila akihubiri
-binafsi ukiniuliza lengo kuu la Mch Mbarikiwa Mwakipesile kuihubiri INJILI nitakujibu kuwa anahubiri Ili watu wote wawe na utu
4.Ameandika vitabu vyenye mvuto wa kidunia ambapo
Ameandika vitabu vya;
A. WANADINI NDIO KIKWAZO KIKUU CHA UKOMBOZI HALISI WA WANADAMU DUNIANI
B.SOLUTION (SULUHU):Nina SULUHU la nini kifanyike ili duniani pawe salama na pazuri kuishi kuliko ilivyo sasa
5.Ameimba nyimbo zenye mguso wa kweli kiroho na kimwili
Kwaufupi ndivyo niwazavyo
 
Maslahi, chama kwa sasa hakina maslahi. Usitegemee mtu kama Lema kuendelea kuunga mkono hafakati ambazo hazileti ugali mezani.
TL alitakiwa ajue harakati zake hazitaki watu/mtu mwenye njaa.
Lema kashazoea udalali akiwa na Mbowe.
 
Back
Top Bottom