Hannah
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 10,218
- 41,795
Kama mwalimu wa lugha naunga mkono hoja. Apigwe chini ili aende shule kwanza.Kwa anavyo andika tu piga chin mkuu , atakuambukiza uti na fangasi sugu.
Kama mwalimu wa lugha naunga mkono hoja. Apigwe chini ili aende shule kwanza.Kwa anavyo andika tu piga chin mkuu , atakuambukiza uti na fangasi sugu.
Ni kero ipo siku nitamwambia japo najua ni mtu wa kukasirika hovyo akiambiwa ukweli.Ni kama jamaa yangu kanizidi umri kama miaka saba hivi hua anaandika hivyo hivyo, utasikia niambie jexhi.. ko tunafanyeje xaxa. Nikiona hivi hua napiga straight [emoji28][emoji28]
Ila wewe jamaa king'ang'aniziHahaha mwenyewe nimeokota sampuli ya hivyo nikishaichakata tu naikacha maana hata akiandika na struggle kuelewa. Ngoja anaandika 'goja'.
Ila pisi kiaina.View attachment 2535833
Sasa ntajibuje ujumbe ambao sijauelewa?Wa2 mnaringa xana
Kwani ukinjb ivo utapungukiwa nn
Sipendi na nachukia mtu anaeandika xx aseehhhNimekuwa nikimuelekeza kwa upole ila anaonekana Ana kiburi
Au na ye haelewi.. mtu ameshaambiwa atashtuliwa, ila hasikii 🤣🤣Ila wewe jamaa king'ang'anizi
Mie nitoe kwenye hao wagonjwa xawa eenhHii ko ni ugonjwa wa wengi
😂 wapo wengi sanaHahaha mwenyewe nimeokota sampuli ya hivyo nikishaichakata tu naikacha maana hata akiandika na struggle kuelewa. Ngoja anaandika 'goja'.
Ila pisi kiaina.View attachment 2535833
Yaani 🖖🏾Kwa mwandiko huo atakusumbua sana huyoo halafu hapo chini anajibu jeurii !!
Axeeee xx takuwajeSipendi na nachukia mtu anaeandika xx aseehhh
Famchezo eheeMie nitoe kwenye hao wagonjwa xawa eenh
JikadheSasa ntajibuje ujumbe ambao sijauelewa?
Kichwa cha chini kimeshaamka anawaza utelezi tu.Au na ye haelewi.. mtu ameshaambiwa atashtuliwa, ila hasikii [emoji1787][emoji1787]
Na hili neno my limekaa kinafki sana.Jikadhe
muwache braza xawa..Hapo mmekutana pipa na mfuniko vumilianeni mkiachana hakuna atakae weza kuwavumilia
KataviBila shaka itakuwa pisi ya kanda ya ziwa ofisa
Siwezi kuvumilia UjingaSema nini na wewe una hasira arif hawa wakupuuzia we mchukulie hivyo hivyo na ukiona sms zake miyeyusho ruka hewani, kesi kwisha.
Hapa nachangamsha genge hua siandiki hivyo aisee.Famchezo ehee
Kuandika kipaji.. we mwenyewe hizo X zako huzioni bado?
Naunga mkono hojaNa hili neno my limekaa kinafki sana.