Acha utoto wa kujichatisha, ushakuwa mtu mzima wewe.
Acha utoto wa kujichatisha, ushakuwa mtu mzima wewe.
😄😄😄uxniite xabbu ntkaxrka..! Na unjua nknun xpndez, mxiiieeeew
Bado akili zako ni teke na laini laini kuweza kukaa na mwanamke.Tatizo nikimuelekeza anakuwa mkali. Dawa Ni kuachana naye tu
@Unique Flower , eti una uandishi wa kishoga shoga kama huyo dogo ?Anaandika kama yuniki flawa akiwa kapaniki
[emoji23][emoji23][emoji23]“…mutoto…”
Mkuu mfundishe ukimwacha unamwachia nani?[emoji23]
Tena ni katoto kiakili tu ila kwenye mambo hakajambo