Masai wa Town
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 6,711
- 24,490
Sababu kuu ni kwamba amegoma kuacha utoto.
Nimekuwa nikimuelekeza kwa upole ila anaonekana ana kiburibx ndio nini?
Tatizo nikimuelekeza anakuwa mkali. Dawa Ni kuachana naye tuWanaume wengi huku wakituma charts zao na wapenz wao yaan huwa hawajui kuandika 😂😂😂
SureKwa anavyo andika tu piga chin mkuu , atakuambukiza uti na fangasi sugu.
Mueleweshe taratibu, nilishakua na pisi ya hivyo nikamuelekeza na akabadilika.Nimekuwa nikimuelekeza kwa upole ila anaonekana Ana kiburi
Vizazi vya dotcom wanaona taabu kuandika s wanatumia X.Wanaume wengi huku wakituma charts zao na wapenz wao yaan huwa hawajui kuandika 😂😂😂
Kwa anavyo andika tu piga chin mkuu , atakuambukiza uti na fangasi sugu.
Umekuja kutoa siri zetu sijapendaWanaume wengi huku wakituma charts zao na wapenz wao yaan huwa hawajui kuandika 😂😂😂
Unique Flower njoo jitetee 😅Anaandika kama yuniki flawa akiwa kapaniki
Sio tu kufupisha soma tu ujumbe wake wa mwanzo utagundua hamna kitu apo .Nitatizo sana jamani..!!Nenda nae taratibu akikua ataachaa yani mesej inafupishwa hadi kero loh[emoji1787]