Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,862
Hata wanawake wanaambukizwa magonjwa mengi tu na wanaumeWanayo mkuu niongelee magonjwa ya zinaa kwa wanaume ili iweje , mimi natumia wanawake tu mkuu[emoji120]
😂 yaani hizo my zinanikumbusha nyambizi moja hivi siipendi kila mda my, my, my mymuna 😅Nimechukia my
🤣🤣
😂 yaani hizo my zinanikumbusha nyambizi moja hivi siipendi kila mda my, my, my mymuna 😅Nimechukia my
🤣🤣
😂😂😂 dah😂 yaani hizo my zinanikumbusha nyambizi moja hivi siipendi kila mda my, my, my mymuna 😅
Kweli mkuu tena sna wazito mno kusema vaa condom.Hata wanawake wanaambukizwa magonjwa mengi tu na wanaume
Sio jina langu hilo 😁😂😂😂 dah
Baba Nyambizi
Mlete nimfundishe. UsimuacheTatizo nikimuelekeza anakuwa mkali. Dawa Ni kuachana naye tu
xaxa hz my ndy xzpndg ajbu,😂😂Xawa my
Nimemjibia 🤣
Xawa my
Nimemjibia 🤣
Hawa namna hii FB wamejaa xana [emoji28][emoji28][emoji28]
My wangu relaxxaxa hz my ndy xzpndg ajbu,😂😂
Ha ha nimeamua kuchangamsha amini nakwambia uandishi wa x badala ya s sio fungu langu.[emoji1787][emoji1787]nacheka kama mazuri mana hata wew pia x inafanya nini hapo??[emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Old is gold Mac 😁😁Hii "My" imenikumbusha mbali sana, 2013 huko.
Hivi sikuhizi bado kuna watu wanaitana "My" 😄.
Depal kwema lakini?
Ha ha nimeamua kuchangamsha amini nakwambia uandishi wa x badala ya s sio fungu langu.
Umeanza lini ukorofi
Aah mie huo uroho wa kishamba sina kabisa. Yani kula hadi kunguru kisa una hamu ya kuku!? 😀Yaaani mtakufa vibaya sana