Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,862
Umeanza lini ukorofiAnaandika kama yuniki flawa akiwa kapaniki
Umeanza lini ukorofiAnaandika kama yuniki flawa akiwa kapaniki
Unique FlowerAnaandika kama yuniki flawa akiwa kapaniki
Nimecheka sana😆Mutoto mwenyewe..🤣🤣🤣
Lete mkuuNa mimi nitaleta chat yetu na babe wangu
hahahaha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kweli si mwandiko huoKwa haraka haraka hapo hukosi UTI kali sana
Namaanisha alimaliza form four kitambo ila kwa sasa ana miaka 2323 ndo anamaliza f4 mi 22 ndo namaliza degree eeeh mbona kachelewa kuanza shule hivyo 🤔
Ok sawasawaNamaanisha alimaliza form four kitambo ila kwa sasa ana miaka 23
Hivi vitoto mnavyo toka navyo kuweni makini wakuu vingi vina magonjwa sugu ya zinaa .Hahaha mwenyewe nimeokota sampuli ya hivyo nikishaichakata tu naikacha maana hata akiandika na struggle kuelewa. Ngoja anaandika 'goja'.
Ila pisi kiaina.View attachment 2535833
Hivi vitoto mnavyo toka navyo kuweni makini wakuu vingi vina magonjwa sugu ya zinaa .
Nipe namba yake mkuu kama unamuachaAna miaka 23
Wanayo mkuu niongelee magonjwa ya zinaa kwa wanaume ili iweje , mimi natumia wanawake tu mkuu[emoji120]Wenye magonjwa tu ni wanawake wanaume hawana ?
Sio mtoto kiivyo mkuu miaka 26 ni mtoto? Sema tu nahisi shule hakuna. Ni zile za kata form four failure.Hivi vitoto mnavyo toka navyo kuweni makini wakuu vingi vina magonjwa sugu ya zinaa .
Xaxa xi uxumbufu jamaniMueleweshe taratibu, nilishakua na pisi ya hivyo nikamuelekeza na akabadilika. Tafuta muda umwambie face to face kwenye sms hawezi kukuelewa kirahisi
Vizazi vya dotcom wanaona taabu kuandika s wanatumia X.
Hapo Umejichanganya !!Anazingua
Khakhakhaaaa!! Kufa kufaana ausio 😂!Nipe namba yake mkuu kama unamuacha
Ntajitolea kumfundisha kuandika[emoji28][emoji28]Khakhakhaaaa!! Kufa kufaana ausio [emoji23]!